kiuchumi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stephano Mgendanyi

    Pre GE2025 Mbunge Mavunde Awawezesha Kiuchumi Wafanyabiashara wa Soko la Sabasaba Jijini Dodoma

    ▪️Awapatia miradi ya Kiuchumi na kutunisha mfuko wa Kikundi. ▪️Wafanyabiashara wamshukuru kwa kuwajali na kuwaendeleza kiuchumi ▪️Wampongeza Rais Samia kuboresha miundombinu ya masoko Jijini Dodoma 📍Dodoma Mbunge wa Jimbo la Dodoma mjini Mh. Anthony Mavunde ameahidi kuwaendeleza kiuchumi...
  2. Stroke

    Marekani Kujitoa WHO ni vita vya kiuchumi na China

    Marekani kujiondoa WHO ni kama kete ya kuiachia mzigo wa gharama China inayotaka kujipanua kiuchumi duniani. Wakati marekani ina watu milioni 400 , China ina watu 1.5 bilioni lakini inachangia kidogo zaidi katika WHO kuliko Marekani. Marekani inaona kama inabeba mzigo mkubwa pekee wakati China...
  3. Rule L

    Hivi ni ipi sababu ya msingi inayopelekea watu waliojipata kiuchumi kuachana???

    Habari za weekend wakuu, i hope mu wazima wa afya. Kama heading inavyosomeka, ni ipi hasa sababu ya msingi zaidi ya watu waliojipata kiuchumi kuachana??? Japo hata wale ambao bado hawapo vizuri kiuchumi huachana ila si kwa ukubwa kama ilivyo kwa waliojipata. Watu wanaweza kuanza maisha wakiwa...
  4. Kichuguu

    Kiuchumi: Faida za Kamari ni Zipi?

    (1) Hupunguza hamasa ya uzalishaji kwa kuwafanya watu waamini kuwa wanaweza kupata pesa kwa kucheza kamari tu. (2) Husaidia sana kuongezeka kwa idadi ya masikini na idadi ya matajir na hivyo kupanua pengo baina ya masikini na matajiri. (3) Hutengeza maskini wengi sana kwenye jamii na kupunguza...
  5. Tman900

    Familia/ mtu binafsi zenye nguvu kiuchumi

    Katika hii Dunia Jambo lililo Bora ni kua na Nguvu Kiuchumi, au Kuna Free Economical, hili swala ltakufanya uwe huru na Kuishi kwa Amani sana. Nguvu ya Kiuchumi ni Bora katika Maisha. Watu walio Wengi wanaishi kwa mashaka kwa sababu ya uchumi ila unapokua huru kiuchumi mambo yanakua safi kabisa.
  6. Torra Siabba

    Tanzania ya Rais Samia yaipiku Kenya Kiuchumi kama kinara wa Afrika Mashariki

    Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa kuelekea kuwa nguvu ya kiuchumi katika ukanda wa Afrika Mashariki, mwelekeo uliothibitishwa na uongozi wa mabadiliko wa Rais Samia Suluhu Hassan. Ripoti za hivi karibuni zinaonyesha uwezekano mkubwa wa Tanzania kuipita Kenya kama taifa...
  7. Manyanza

    Kwanini Wanaume wanapofanikiwa kiuchumi huwatelekeza wenza wao ambao walianzia maisha ya dhiki

    Kwanini wanawake wenye tabia njema za kujenga familia imara huwa wanatelekezwa na watoto baada ya mwanaume kufanikiwa kusimama vizuri kiuchumi? Kwanini mwanaume anakuwa mstaarabu sana kama hana fedha lakini akifanikiwa anageuka dikteta,anakuwa mkali kupitiliza,anakuwa msaliti wa mara kwa...
  8. Magical power

    Natabiri kwa watu 21 kuinuka kiuchumi kabla mwezi huu haujaisha. Pokea kuinuka!

    Natabiri kwa watu 21 kuinuka kiuchumi kabla mwezi huu haujaisha. Pokea kuinuka!
  9. K

    Nyota Mpya ya Tanzania: Rais Samia Hassan aongoza Mageuzi ya Kiuchumi

    Tanzania, ambayo kwa muda mrefu imeonekana kama moja ya nchi zenye viwango vya juu vya kiuchumi katika Afrika Mashariki, sasa inavuma kwa uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Tangu kuchukua madaraka mnamo Machi 2021, Rais Samia amejitokeza kama mtu wa mageuzi, akiiongoza nchi kuelekea utulivu...
  10. Wazolee

    BOT wameacha Kutoa sarafu mpya Ili ziingie katika mzunguko hili linamaana gani kiuchumi?

    Wataalamu wa uchumi mkuje mutuelezee Kwa sababu gani Bank kuu wameacha Kutoa sarafu mpya Yani 50, 100 na 200 na kufanya ziadimike katika mzunguko wa biashara Ni kwamba Kuna ishu yoyote ya kiuchumi imewalazimu kufanya hivi au Kuna kigogo tu Fulani ameshiba ugali wake na maharage akasema sitaki...
  11. Braza Kede

    Hivi ni kweli tunapiga hatua kiuchumi au tunadanganyana tu?

    Hadi sasa hivi vijiti vya kuchokonolea meno (toothpik) vinatoka China na maeneo mengine ya huko Asia, sisi hatujaweza kuvitengeneza hapa licha ya kuwa na malighafi tele ya kutuwezesha kutengeneza vitu kama ivo yani kwa ufupi hivi vitu vya kuhitaji teknolojia rahisi kama ivo vijiti, masinki ya...
  12. crome20

    KARIAKOO, LANGO LA KIUCHUMI LINAOENDESHWA KAMA GULIO VIJIJNI

    Kariakoo ni fursa kubwa ya kiuchumu kwa Tanzania. Soko hili linazihudumia nchi jirani za EA na za kanda ya kusini kam Congo, Zambia, Rwanda, Malawi, Zimbabwe n.k Kama tungekuwa tunaliona hili kwa mtazam8 mpana, soko la Kariakoo lisingekuwa linaendeshwa kama gulio tu. Matokeo ya uendeshaji na...
  13. M

    Tanzania Yaendelea Kung'ara Uimara wa kiuchumi: Ripoti ya IMF Yathibitisha Udhibiti Imara wa Deni la Taifa

    Ripoti ya hivi karibuni ya Shirika la Fedha Duniani (IMF) kuhusu hali ya deni la mataifa 186 duniani imeonyesha kuwa Tanzania inazidi kuimarika kiuchumi chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan. Katika ripoti hiyo ya Economic Outlook ya Oktoba 2024, Tanzania imeorodheshwa na uwiano wa deni...
  14. S

    Fursa za kiuchumi za kukutoa kimaisha kwa mkoa wa Kigoma hasa Ujiji na Kigoma mjini

    Naomba kufahamishwa fursa za kiuchumi za mkoa wa Kigoma
  15. KING MIDAS

    Kwa yanayoendelea, napoteza imani na Idara ya Usalama wa Taifa, napoteza imani na CCM kama inaweza kutuvusha kiuchumi na kimaendeleo. Uzalendo hamna

    Inasikitisha kuona kwamba taifa linafanya mchezo wa maigizo yanayoligharimu taifa mabilioni ya dola na kumbe hawako serious. Tumejenga reli ya Umeme kwa gharama kubwa sana, halafu kutoka huko Kadogosa mkurugenzi wa shirika la reli anakuja na ajenda ya kununua vichwa vya dizeli. Tunafahamu...
  16. Qs Cathbert

    NAMNA YA KUJIANDAA KIUCHUMI KABLA YA KUANZA UJENZI🦺

    Watu wengi tunafail ku accomplish ndoto zetu za kujenga au tunajenga na kushindwa kumaliza kwasababu tu ya kukosa plan nzuri ya gharama katika ujenzi Stratergical way ya ku-win financial problem katika ujenzi ni kuwa na MATERIAL SCHEDULE ya jengo linalo jengwa,,, Material schedule ni document...
  17. winnerian

    Sisi Tanzania na mataifa mengi ya Afrika tunakabiliwa na hatari ya kuwa watumwa wa kiuchumi na kidiplomasia kwa China miaka siyo mingi

    Fikiria hili: unapomtegemea mtu kwa kila jambo bila kufanya juhudi za kujitegemea, ipo siku utakuta umegeuka mtumwa wake. Hali hii inadhihirika wazi kupitia uhusiano wetu na China, ambapo nchi yetu na nyingine nyingi za Afrika zimewekwa katika hali ya utegemezi mkubwa. Sekta zetu muhimu kama...
  18. Mende mdudu

    Mfumo wa elimu uwe wa kikanda kutokana na fursa za kiuchumi wa eneo husika

    Niende moja kwa moja kwenye mada kutokana na uwepo wa degree nyingi mtaani bora kuwe na mfumo mpya wa elimu kutokana na kanda husika kutoka primary hadi high level. Kwa mfano watu wa Mwanza wawe na silabasi yao inahusu uvuvi na uchumi wa blue toka shule ya msingi kama usafirishaji wa majini...
  19. G

    Ni kweli wafanyakazi wa makampuni ya kutoa mikopo (Micro Finance) wana hali mbaya kiuchumi au ni uzushi tu?

    Kwa jinsi navyochukulia huwa naona makampuni haya yana pesa nyingi kwasababu huwa wanafaidika kupitia marejesho kausha damu na mtu asipolipa wanachukua assets zenye thamani kubwa zilizowekewa dhamana. Leo nimesikia kwamba wafanyakazi wao wengi wana hali za kawaida/ chini kiuchumi Kuna ukweli?
  20. Rorscharch

    Ndugu/Wazazi kulazimisha vijana jobless kushiriki vikao vya harusi ni ukatili wa kiuchumi

    Katika miaka ya hivi karibuni, ugonjwa wa "misplaced priorities" umekuwa tatizo sugu miongoni mwa Watanzania. Kwa lugha nyepesi, tunaweza kusema kuwa vipaumbele vya jamii yetu vimepotoka, mara nyingi vikiegemea kwenye matumizi yasiyo ya lazima badala ya kushughulikia changamoto za msingi. Mfano...
Back
Top Bottom