Dini zetu hizi mbili zilikuja na wakoloni (watesi) wetu. Viongozi wa dini waliishi nyumba na mtaa mmoja na wakoloni (watesi) wetu, walisali pamoja, walikula na kunywa pamoja na wakoloni. Waliwabariki kwenye kazi zao za utesi na uporaji wa rasilimali zetu, kuwaombea mema na afya tele na kubatiza...