HOTUBA YA VIRUSI VYA UKIMWI (MTOTO PEKEE WA KIUME WA MZEE UKIMWI)
VVU amesimama jukwaani mbele ya wanadamu, anasema;
"Najua mnanijua ila leo nataka mnijue zaidi. Watu wengi huko mitaani wamenipachika majina ya utani wananiita miwaya, taa, ngoma, kisiki, gonjwa kubwa, na majina mengine...