Habari Wadau,
Sisi tunajihusisha na ushonaji wa nguo za aina zote kwanza,
Nguo za Harusi ( Suti na Magauni)
Uniform za Maoffisi na Mashuleni
Mishono ya Vitenge
Casual Wear etc
Karibuni Ofisi zetu zipo kinondoni Manyanya opposite na American Chips. Mawasiliano 0737610682
Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limeitaka Qatar kuiondoa sheria inayowapa wanaume mamlaka ya kuwasimania wanawake ili kuwapa wanawake uhuru wa kujifanyia maamuzi.
Maamuzi hayoni pamoja na ndoa, kusafiri na kupata huduma ya afya ya uzazi. Shirika hilo lililo na makao...
Unakuta ni familia yenye uwezo, lakini watoto wao wa kiume hawana uwezo wa kupata watoto. Katika maendeleo ya mwanadamu, kilichosabisha ustaarabu wa kuoana na kuanzisha familia ilikua ni utaratibu wa kurithi mali. Binadamu alipoanza kumiliki ardhi, kulima nafaka na kumiliki wanyama wa kufugwa...
Tunajua Tanzania yako Madhehebu mengi ya Kiimani ila tusidanganyane wala tusizunguke kusema ukweli kwamba tokea Uhuru wa nchi hii hadi sasa Kanisa Katoliki lina nguvu ya 75% ndani ya Watanzania wengi na hata katika Kuamua Tawala (za Kisiasa) katika nchi hii. Wenye Akili najua kwa hili mtakuwa...
Habarini wadau kama heading inavyosema. Kuna ukweli wowote kate ya sex ya mara kwa mara na upungufu wa nguvu za kiume?
Mfano kwa wiki mara 4 na bao tatu tatu.
Mambo vp jamiiforums.
Je, shemeji yako wa kiume anaweza kuwa swahiba?
Ninaomba kuanza kwa kutangua kusema maneno haya machungu ambayo yatawauma wanaume wengi sana. Hata mimi nilikuwa hivi hivi. Mwanaume wengi sana huwa hawawapendi shemeji zao wa kiume siku za mwanzoni.
Just imagine, kwa akili...
Nisipoteze muda.
Wanaume wanaongoza kwa kuwa na stamina kubwa kitandani na kuridhisha wapenzi wao wapo sita. Unaweza kuongeza wa kwako. Wanaume hao ni
1. Makuli/Wapagazi: Demu wako au mkeo akikutana na kuli, walahi hamwachi, andika maumimivu. Makuli ni Wanaume wabeba mizigo.
2. Wanajeshi...
Hii ni kitu nimeiona baada ya kufanya utafiti wa kijuu juu. Nimeona mabinti wengi wanachakarika na ujasiriamali.
Ninekutana na wahitimu wa vyuo ambao ni mama ntilie. Wanapiga umachinga mdogomdogo wa nguo za kike, juice, viatu nk. Pia wamekuwa mstari wa mbele kuhudhuria mafunzo ya ujasiriamali...
Kuna Matunda ambayo tokea nakua hadi hivi sasa nautafuta Uzee wangu yalikuwa yakidharaulika na hayapendwi kabisa Kuliwa na Watanzania ila cha Kushangaza Siku hizi baadhi ya Wajasiriamali ( Wafanyabiashara ) wakiyaandaa vyema, kuyaweka Sokoni na kusema ( kutangaza ) yanatibu au kuongeza Nguvu za...
Kwenye familia yetu tumezaliwa wavulana 6 wasichana 2, dada yetu mkubwa aliolewa mapema sana. Huyu mwingine wakati anaolewa mama alilia sana maana alimzoea sana na ndo alikua msaidizi wake mkubwa sana, "ajabu baba alifurahi sana" sikumwelewa baba alimaanisha nini mpaka baada ya miaka 6 alikuja...
Wanaharakati !
kuweni makini hasa mnapokosoa mambo yenye misingi ya kidini!
Wakati serikali ikiendelea kutekeleza majukumu yake kikatiba, kwa kuhakikisha inakusanya kodi kutoka taasisi zote za kibiashara ikiwemo binafsi na zile zinazomilikiwa na makanisa!
Wameibuka wanaharakati kuhusisha...
Wadau huenda labda Mimi ni mshamba.
Kuna ndugu kaja hapa home, sasa inapokuja suala la kuoga Mimi ninachojua inabidi uoge mara moja kwa ila ndugu naona utaratibu wake ni hadi siku mbili zipite
Mkoa nilipo ni Mbeya, kwa sasa hali ya hewa kuna jua kali kiaina japo mvua ni hizi zinanyesha mara 2...
Je, ni kweli watoto wa kiume siku hizi wanazaliwa wachache?
"Angalia mtaani/vyombo vya habari/watu unaosikia wamejifungua: utaona miongoni mwa watoto waliozaliwa, watoto wa kiume ni adimu -- watoto wengi wakiwa ni wa kike. " alisikika mtu mzima fulani akiongea.
Yana ukweli?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.