Salaam
Kuna audio inasambaa mitandaoni kwamba kuna dawa za meno zinagawiwa Mashuleni ambazo zinaharibu homoni za kiume.
Kwamba TBS ilithibitisha. Je, kuna mtu ana uhakika na hizi taarifa au ni Uzushi tu wa mitandaoni.
Wizara ya Elimu inajua hiki kitu na Uliruhusu?
Msililize huyu anachoongea
Maajabu ya mbegu za maboga ambayo ulikuwa huyajui bado. Inatokeaje mbegu za maboga kuongeza nguvu za kiume? Kwanza kabisa zinaondoa msongo wa mawazo kitu ambacho ni namba 1 katika kusababisha upungufu wa nguvu za kiume.
Lakini pia zinashusha lehemu (cholesterol), zinatibu kisukari, zinatibu...
HABARINI WAKUU,
Leo nimewiwa na kuona ni vyema kutoa elimu japokua kidogo kuhusu upimaji wa mbegu za kiume na elimu juu ya uwezo wa kizalisha Kwa mwanaume(Fertility).
MANII (SEMINAL FLUID) ni mchanganyiko wa mbegu za kiume(sperm) na majimaji mengine kutoka kwenye Korodani (testis) na tezi...
Niaje katika jukwaa hili…
Mimi ni mwanamke mwenye umri wa miaka 39, natafuta rafiki wa kiume mwenye umri wa miaka 40-50 tu.
Vigezo:
Awe single (Mgane/ Mtalaka)
Awe Mkristo (Msabato atapewa kipaumbele)
Lengo la vigezo, sitaki mume wa mtu maana sitakuwa huru naye. Pia nahitaji Mkristo maana...
Hakika hamtaiona mbingu, mtaangamia vibaya, kifo chenu kitakuwa cha majuto na mateso. Haijalishi umeshawishiwa au umeshawishi, kumwingilia mtoto wa mwenzio kinyume na maumbile ni laana na mnadhalilisha hao vijana na wazazi wao. Acheni mara moja, tubuni, msifanye hivyo jamani, siyo vizuri wana...
Mwanaume anasemwa kutokana na mafanikio yake.
Sio lazima kuwa Bakhresa.
Ila ni ile thamani anayoongeza kwenye jamii inayomzunguka. Mtu anayechota maji mtaani anathaminiwa kuliko mtu anayekesha kwenye vibanda vya kucheza gemu.
Hivyo ajitahidi aweze kipengele fulani cha maisha na akitumie...
Ukweli ni kwamba, hutakiwi kujichosha kuwa mwanamume anayemtaka mwanamke hatofanikiwa. Na sio wewe tu, tangu dunia hii ianze hakuna mwanaume aliyefanikiwa kwenye hilo.
Wakati mwanamume anataka mwanamke ambaye labda anampenda na kumuheshimu tu, wanawake wenyewe wanataka mwanaume mwenye mwili wa...
Tukianza na Joti, na yale majamaa ya kwenye zekomed za Masanja, aje yule dogo anafaa dera anaigiza Juakali/not so sure ila tamthilia kule DSTV, wanaume wanavaa manguo ya kike na kuigiza kama wanawake, wapigwe marufuku kwasababu kidogo kidogo wanafanya jamii ione muonekano wa aina hiyo kwa...
Mimi ni binti wa miaka 27,natafuta rafiki wa kiume.
SIFA NILIZO NAZO.👇
Mimi ni mweupe, mrefu, mwembamba kiasi, elimu ya kawaida, mfanya biashara.
SIFA ZA RAFIKI WA KIUME ANAYE HITAJIKA👇.
(1)Awe mrefu
(2)Rangi yoyote.
(3)Dini awe mkristo au mwislam.
(4)Elimu form four kuendelea.
(5)umri...
Lema ana hoja nzuri sana na nzito shida ni jinsi alivyowasilisha. Nami napenda kuizungumzia lakini katika namna tofauti.
Vijana wengi wa kiume wameonekana kujiajiri kwenye boda na betting. Bila kujali viwango vyao vya elimu wapo kwenye boda au betting.
Lakini Je, umejiuliza lile kundi kubwa la...
Hii imekaaje wakuu. Mpaka leo nazeeka sijawahi kuona au kusikia mtu masikini yaani mwenye kipato duni na pengine mwenye elimu duni akihangaishwa na shida hizi za kukosa nguvu za kiume.
Hawa wenzetu wanatumia mbinu gani au ndio vile Mungu hakunyimi vyote?
Wanabodi,
Tunapoelekea kuadhimisha Siku ya Wanawake Duniani, kila Machi 8, leo naomba tujadili uwezo wa wanawake kwenye baadhi ya maeneo.
Japo kazi ni kazi tuu, hakuna kazi za kike wala za kiume, jee kuna ukweli kuwa kwenye baadhi ya kazi, wanawake wana uwezo nazo kuliko wanaume, ikiwemo ile...
Katika kitu nilichojifunza katika mahangaiko ya dunia yangu ukweli ni kuwa mtoto wa kiume apewe support kubwa ukilinganisha na wa kike.
Mtoto asome asisome apewe support asipewe support mwisho wa siku lazima atakuwa chini ya mamlaka ya mwanaume achana na hao wanaojiita single mothers mtoto wa...
Sio wenye dini wala wasio na dini wote dhahama hii inakanyaga pote. Cha msingi hofu ya mungu ndo inabidi itawale kwenye ubongo wetu la sivo tunaenda kuwa na wanawake wengi wenye jinsia ya kiume nawambia.
TAMAA
vijana wengi tamaa zinawaponza kutaka UTAJIRI wa haraka au kutaka kazi yenye mshahara...
Huyu askari kadharirisha jeshi la polisi kiukweli . Serikali inafumbia macho masuala haya why? huyu yuko na familia na watoto . Kuna watu wanasema tunamchafua kwani alikuwa kaelewa kusema labda kabakwa au katekwa amejitakia mwenyewe na unaonekana amejirekodi . Video ya pili anaonekana anapigiwa...
Tokea nimkanye Binti yangu kwa Maneno ya Kisela ( Kimjini Mjini ) kama haya yafuatayo amebadilika, ananiogopa na ananitii ile mbaya.
"Oya si unajiona umeshakua sawa Viziwa vimejitokeza na Makalio yako Kuvimba kama Maandazi ya Azam? Sasa Wewe neng'eneka tu hovyo na Wanaume Wakulale mpaka hizo...
Wakuu, nina mdogo angu age 18 kamaliza four mwaka huu, bila shaka hatoweza pata maksi za kwendelea. Sasa ni kozi gani ambayo itamsaidia mbeleni uko hata kwa kujiajiri.
Ya kwanza napendekeza udereva, ila ningetaka kujua na nyingine ambayo haitopitwa na wakati maana maendeleo haya ya sayansi...
SIGARA: Uchunguzi uliofanyika kwa wanaume 50,360 ulionesha uhusiano wa karibu kati ya idadi ya sigara & muda unaotumika kuvuta na hatari ya mwanaume kupungukiwa nguvu zake za kiume (Erectile Dysfunction) kwani sigara huzuia mzunguko wa damu kote mwilini, ikiwemo na sehemu za siri ...
Sources ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.