kiwanda cha chai

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Taharuki yatanda wafanyakazi 216 kiwanda cha chai Rungwe kufukuzwa kazi

    Taharuki imetanda kiwanda cha Wakulima wa Chai kilichopo Katumba wilayani Rungwe mkoani Mbeya kufuatia wafanyakazi 216 kuandamana kwa mabango kupinga kufukuzwa kazi wakidai stahiki zao, huku wakiiomba serikali kuingilia kati. Imeelezwa kuwa tangu kufungwa kwa kiwanda hicho Mei 9 mwaka huu...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Edwin Swalle aibana vikali Serikali, kiwanda cha Chai Lupembe kurejeshwa

    Serikali imesema kuwa iko kwenye hatua za Mwisho za Tathimini juu ya kiwanda cha Chai Lupembe kinachopaswa kurejeshwa Mikononi mwa Wananchi ambapo imeelezwa kuwa baada ya Tathimini hiyo ya kina kukamilika kiwanda kitarejeshwa kwa Wananchi na hakutakuwa na Mgororo wowote huku ikielezwa kuwa...
  3. JamiiForums Tanzania Kamati ya bunge yaipongeza Serikali uwekezaji kiwanda cha Chai Mponde

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uamuzi wake wa uwekezaji kwenye kiwanda cha Chai Mponde Uwekezaji huo umefanywa kupitia Mfuko wa Fidia kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali: Uwekezaji unaofanyika Kiwanda cha Chai cha Mponde utaongeza thamani kutoka Tsh. 790m hadi Tsh. Bilioni 4.8

    Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu, akizungumza katika hafla ya utiaji saini makubaliano ya kumiliki kiwanda hicho iliyofanyika katika Ofisi ya PSSSF, Msajili wa Hazina iliyofanyika Agosti 9, 2024 Jijini Dodoma. Ofisi ya Msajili wa Hazina kwa kushirikiana na Mfuko wa Hifadhi ya Jamii kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…