kiwanda cha chemicals za kuua mbu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Tuna kiwanda cha kuua mbu nchi nzima, ila serikali imedhibitiwa na Mzungu

    Kupitia mahubiri Gwajima ametoboa siri kwamba watu wa Cuba wameweka kiwanda cha kuzalisha chemicals za kuua mbu nchi nzima. Kiwanda kina miaka takribani 15 lakini hakijaleta tija kwa nchi. Ameongeza kiwanda kinahujumiwa na wazungu ili wasikose soko la dawa za malaria
Back
Top Bottom