Serikali imeombwa kukiongezea nguvu Kiwanda cha Sukari cha Mkulazi ili uzalishaji wake ufike tani 75,000 kwa mwaka kutoka makadirio ya tani 50,000 za sasa.
Hayo yamebainishwa na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Kampuni ya Mkulazi, Dk Hildelitha Msita wakati wa hafla ya uzinduzi wa kiwanda...