Kuna tofauti kubwa kati ya kuwa na akili na kuwa na ufahamu wa juu.
Watu wengi hufikiri kwamba akili (IQ) pekee inatosha kumfikisha mtu kwenye mafanikio, lakini ukweli ni kwamba ufahamu (awareness) wa hali ya juu
ndio unaotofautisha watu wa kawaida na wale wanaoweza kujitambua, kuelewa mifumo...
Ni wachezaji wachache sana wanaoweza kurudisha kiwango chao hasa waliotumika mda mrefu
Huyu jamaa msimu uliopita alikuwa na wakati mbaya sana. Na kwa kweli mashabiki walikuwa wameshapoteza matumaini kwake.
Chini ya kocha mpya kapombe yule wa.kipindi kileee tunamwoma tena V pass.kama kawa...
Mambo vp wakuu,
Kutokana na nyuzi nyingi nazosoma humu ndugu zangu wengi wanapitia mazito kwenye mahusiano yao, swala la kukaa ndani nyumba moja bila kusemeshana, au mwanamke kuchepuka au kususiwa unyumba imekua too much.. inasikitisha sana.
Kwa kweli hali za mahusiano ni mbaya sana, sio...
Leo nimetembelea tovuti ya NBS, katika pititia pitia nimeona kiwango cha ukosefu wa ajira nchini kipo asilimia 7.8, takwimu ambazo zilikusanywa kutoka kwenye sensa ya watu na makazi. Chapisho husika limetolewa Feb, 2024.
Nauliza hizi asilimia za NBS zinaakisi uhalisia uliopo kwa ground? Kwamba...
Miaka ya nyuma sana kuliibuka wauza nyumba maeneo ya Mbagara na viunga vyake yani nyumba inajengwa kisha inauzwa na wauzaji wengi walikuwa Facebook.
Kisa kimoja kilimtokea jamaa yangu kusikia nyumba milioni 30 basi chapu kanunua, sasa alichokutana nacho ndio anajuta ni mwendo wa kurekebesha...
My friends, ladies and gentlemen!
Rushwa inatembezwa kwa wajumbe wa mkutano mkuu wa Chadema Taifa kama njugu, bila aibu au kificho.
Hakuna upande unaogombea uongozi, wa kukemea upande mwingine, kwasababu wote wanashiriki kwenye uovu huo unao chafua haiba ya chama chao na uelekeo wa misingi...
TANRODS ISIMAMIE MIRADI YA CSR IJENGWE KWA KIWANGO
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameuagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuwasimamia Wakandarasi wote wanaojenga na kukarabati miradi ya maendeleo kwa jamii (CSR) hapa nchini ili iweze kukamilika kwa ubora.
Mhandisi...
Naibu Waziri wa Ujenzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya ameuagiza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuwasimamia Wakandarasi wote wanaojenga na kukarabati miradi ya maendeleo kwa jamii (CSR) hapa nchini ili iweze kukamilika kwa ubora.
Mhandisi Kasekenya, ametoa agizo hilo Mkoani Kigoma leo...
Wengine wanaweza wakaishia kusema kuwa ukimchungumza sana bata hutamla, lakini acha tu ukweli usemwe! Watanzania wengi bado ni wachafu!
Siwakejeli! Nitaanzaje kufanya hivyo na huku na mimi ni Mtanzania? Nitawezaje na huku hao ni ndugu zangu, mama zangu, dada zangu, kaka zangu na watu wa...
Anasema kwa mfano kama wewe ni mtu wa hasira sana na ukaendelea kuwa na hulka hio hadi wakati wa full moon basi itakupelekea kufanya jazba kubwa hata kwa vitu vya maudhi madogo.
Anasema pia sio kweli eti full moon inakupa nguvu hasi ndani yako bali ina zidisha energy iliopo., kama uliammka na...
Kuacha ushabiki wa vyama, tunaweza kukubaliana japo kwa kiasi kuwa Tundu Lisu ni mwanasiasa mzuri ila mrengo wake ni wa kiharakati zaidi tofauti na vyama vingine na kuna kiasi kikubwa tu cha watanzania wanavutiwa na siasa za namna hii.
Katika mchakato wa uchaguzi wa mwenyekiti wa CHADEMA taifa...
Wakati tukiinyoshea Yanga kidole na kuituhumu kuwa kiwango kimeshuka basi, tusiisahau Simba pia. Tunajua Simba inaonekana kwa sababu Yanga anafanya vibaya. Simba inapata matokeo ambayo ni mpaka mtu ashike roho hadi mpira umalizike ndio aiachie. Ukiondoa mechi za ligi kuu.
Kwa kundi la CC...
Kutokana na Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama Taifa, CCM wamejawa na hofu kuu. Hofu yao ni kwamba, Je, Tundu Lissu akichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, hali ya kisiasa Nchini itakuwaje?
Wanamwogopa Lissu kutokana na misimamo yake kwamba hawezi...
Kwa muonekano wake, hafanani kabisa na yaliyokuwa yakifanyika chini ya utawala wake.
Katika gereza la Sednaya, kulikuwa na vyumba mbalimbali vya mateso.
Moja ya vyumba hivyo kulikuwepo na mashine ya kugandamizia watu [iron press] mpaka wanakuwa kama chapati!
Nisome tena: kulikuwepo na mashine...
Ndugu zangu, binafsi nimetafakari kwa kina kile kilichofanyika kwenye kile kilichoitwa uchaguzi wa serikali za mitaa. Yaliyofanyika ni zaidi hata ya kinachosemwa. Ni hatari kweli kweli.
Uchaguzi huu umeonesha ni kwa jinsi gani waliopo madarakani wanavyowadharau wananchi wao.
Ebu fikirini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.