Takwimu: Mechi 1,097, mabao 801.
Cristiano Ronaldo amekuwa mchezaji wa kwanza katika historia kufunga mabao 800 ya kiwango cha juu katika maisha yake ya soka alipoifungia Manchester United mabao mawili katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Arsenal siku ya Alhamisi.
Ilikuwa ni jibu la kawaida la...
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Juma Homera, ameagiza watendaji wa Vijiji na Kata walioshindwa kufikia kiwango cha ukusanyaji wa mapato ya ndani kupangiwa kazi nyingine.
Homera ametoa kauli hiyo wakati akizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani mara baada ya Uongozi wa Halmashauri kutangaza...
Simba mpya haipati matokeo mazuri msimu huu.
Simba imesajili wageni wengi na kuwaacha wageni wengine kama francis kahata.
Je katika wachezaji wapya wa simba ni nani anamzidi kiwango Francis Kahata?
Mganga wa jadi nchini Ghana ameibuka na kudai kwamba yeye ndio alisababisha mchezaji wa zamani wa Chelseafc, @MichaelEssien kushuka kiwango.
Mganga huyo wakati anafanya interview na mtangazaji Arnold Mensah Elavanyo katika kipindi cha Vibes in 5, alisema kwamba alishusha kiwango cha Essien...
Bi. Jesca Kishoa, Mbunge.
Kielelezo cha Amani Ulimwenguni mwa Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara kufikia mwaka 2020 kiliorodhesha Tanzania 52 katika nchi 163, na alama 1.85, chini ya Senegal, Botswana, Ghana na Zambia. Mauritius ilikuwa nchi yenye amani iliyoshika nafasi ya 23 kwa alama 1.54...
Nakusalimuni wakuu.
Binafsi nina ndoto za muda mrefu sana za kufungua Biashara ya kuuza dawa za binaadamu yani Pharmacy kwa rejareja hapa jijini Dar es salam.
Naomba maoni yenu wakuu, ni kiasi gani nahitajika niwe nazo ili niweze kufungua na kuanza hii Biashara. kwa maana ile starting point...
Kesi ya uhaini hukumu yake Ni kifo na Ugaidi hukumu zake Ni hafifu zaidi Ni kitu gani kinaipa serikali yetu hofu ya kutaka watu wasijue kinachoendelea mahakamani?
Ingekuwa nchi za wenzetu kesi hii ingekuwa live luningani hapa kwetu Kuna shida gani?
Kama mnabisha ushahidi upo hapa kesi...
Nchi yetu ya TANZANIA kwa muda mrefu sasa imekuwa ikionesha kuwa elimu inayotolewa katika taasisi zake Ina shida. Haiwapatii wahitinu wake kila ngazi kinachostahili.
Sababu za changamoto hiyo zimetajwa kuwa ni pamoja na:
1. Kiwango Cha baadhi ya watoa elimu kuwa chini hivyo kuathiri uwezo wao...
Katika kipindi cha mwaka 2001-2010 pato halisi la Tanzania(GDP) limeonyesha kiwango cha wastani wa kukua cha 7%. Ukuaji ulishuka mwaka 2009 na kuwa 6.0%, hasa kutokana na kudorora sana kwa ukuaji wa uchumi duniani.
Hata hivyo ulirudia kwenye 7% mwaka 2010. Sekta zilizoonyesha viwango vya...
Katika utafiti nilioufanya kwa kutumia data za kuanzia 2010 hadi 2020( Monthly) nikitumia VECM model, zimeonesha deni la taifa linaiweka nchi katika hali ya kuingiza Economic Shocks kutoka nje ya nchi ambayo huathiri utekelezaji wa sera ya fedha. Aidha, Benki Kuu ya Tanzania(BoT) imeziandika...
Jambo la kheri kuwa sherehe za nane nane zimefutwa kimya kimya.
Juzi kati Mwenge wa Uhuru ulikuwa Morogoro nao kimya kimya.
Mambo ya mbuni yametufikisha hapa.
---- extracts tokea kwake Zitto Kabwe.
Kwamba tunapoteza watu si chini ya 2,000/mwezi kwa Corona. Hali hii si ya kufumbiwa macho...
Kuna wale Malazy waliopinga safari ya rais Samia Suluhu kuja Kenya. Walisema kwamba rais Samia hapaswi kuja Kenya na alistahili kuendeleza roho mbaya na mikwaruzano aliyoanzisha mwendazake ambaye sitamtaja hapa. Lakini cha kushangaza ni kwamba baada ya rais Suluhu kutembea Kenya, sasa Kenya...
Elimu ni uwekezaji kama aina nyingine za uwekezaji hivyo muwekezaji anategemea kupata faidia baadae, ila kuta baadhi ya taasisi au mashirika, mtu ana shahada ila analipwa mshahara wa astashahada.
Au unakuta sehemu mtu ana elimu ya dalasa la saba ila analipwa mshahara zaidi ya mtu mwenye...
Katika video hii [emoji116][emoji116] iliyonishangaza raia mmoja wa India ambae ni mnene kupitiliza amejikuta ameanguka ghafla baada ya kupata shambulio la moyo hali iliyopelekea raia wema wamburuze na kumpakia kwenye guta kama kiroba cha maembe ama furushi la mahindi.
NB:itoshe kusema UNENE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.