kiwango

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Mfumuko wa bei Nchini Zimbabwe wafikia kiwango cha zaidi ya 130%

    Kiwango cha mfumuko wa bei Nchini Zimbabwe kimeongezeka hadi asilimia 131.7 hadi kufikia Mei, 2022, ikielezwa kuwa athari za vita vya Ukraine zimechangia kuathiri zaidi uchumi ambao tayari ulikuwa umeathirika. Mfumo ulifika asilimia 100 tangu Juni 2021 mbapo mafuta ya kupikia na mikate bei...
  2. Nyankurungu2020

    Dkt. Vicencia Shule: Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini. Hata vijana wa bongo movie wangeweza kuitengeneza

    "Ubora wa filamu ya Royal tour ni wa kiwango cha chini kulinganisha na gharama iliyotumika, hata vijana wetu wa bongo movie wangeweza kutengeneza hii filamu, Tanzania ilishajitangaza, tusijidanganye kwamba Royal tour ndio itaitangaza Serengeti/Mlima Kilimanjaro" Dkt.Vicensia Shule 👇
  3. Analogia Malenga

    TUCTA: Kiwango cha chini cha mshahara kiwe Tsh. 1,010,000

    Katika siku ya wafanyakazi duniani TUCTA wamesema mapendekezo yao mara nyingi yamekuwa hayakubaliki na serikali na hivyo kiwango cha chini kimekuwa duni kwa watumishi wa serikali na binafsi. Mathalani kwa sasa kima cha chini cha mtumishi wa serikali ni Tsh. 315,000 kiasi ambacho hakiendani na...
  4. mitale na midimu

    Hivi takwimu za nani anamiliki silaha zipi na kwa kiwango gani tangu lini nani huwa anazihakiki?

    Dunia kadili siku zinavokwenda inafikirisha sana. Vita ni siri. Kumiliki silaha ambayo ikimdhuru adui ushindi unapikana ni jambo LA Muhimu. Na ni muhimu zaidi adui akiwa hajui ukweli wrote ikiwemo Idadi Uwezo halisi Muda wa kumfikia. Etc Kinachonishangaza. Katika media ambazo Nazi sio za...
  5. H

    Kuwa kipa wa akiba katika timu ni kudumaza kiwango chako.

    Mi huwa sijui hawa makipa huwa wanacheza lini.Halafu unakubalije kuwa kipa wa akiba katika timu.Yaani usubiri hadi mwenzako aumie ndio na wewe ucheze.Hii ina maana umeshajiweka kuwa katika nafasi hiyo na umeridhika. Mbona timu ziko nyingi kwa nini mtu usiende kikipiga katika timu zingine...
  6. Chotti de Alba

    Hivi TARURA mmejiangalia na kujitathmini jinsi mnavyokamua wananchi pesa?

    Wadau. Salam. Hivi TARURA mmejiangalia na kujitathmini jinsi mnavyokamua wananchi pesa? Ngoja niwape scenario. Mfano mimi nimeenda kupaki gari pale makumbusho nje ya jengo la LAPF, Mdada wa parking kaniona kapiga picha kaniandikia deni. Baada ya kupiga picha yeye anaondoka anaenda upande...
  7. S

    CCM kumsifia Dkt. Slaa leo hii ni unafiki wa kiwango cha SGR

    Nashangazwa sana na sifa za kinafiki CCM wanazoompa Dr. Slaa leo hii wakati ni CCM hawa hawa walimuita muongo na mzushi wakati alipokuwa Katibu Mkuu wa CHADEMA. Isitoshe, ni CCM hawa hawa kupitia serikali ya Kikwete, walimpiga Dr. Slaa virungu wakati wa maandamano ya CHADEMA mkoani Arusha na...
  8. Labani og

    Umeonaje kiwango cha Taifa Stars bila wachezaji wa Simba?

    Ikiwa ndani ya mechi mbili ngumu ambazo taifa stars wamecheza moja dhid ya central Africa republic ambayo taifa stars tulishinda bila uwepo wa wachezaji wa Simba Mechi ngumu nyingine ni ya Jana dhidi ya miamba ya sudani ambayo tumetoa droo bila kufungana ambapo ndan ya mech mbili tumepata point...
  9. Idugunde

    Supu na michemsho kwenye mabaa ya Dar es salaam hazina kiwango ukilinganisha na tunazokula mikoani.

    Huwa nashangaa sana nikiwa kwenye ziara zangu huko jijini Dar es salaam. Utakuta supu ya ng'ombe au kuku inauzwa buku nne mpaka sika. Tena kwenye baa za kiwango kikubwa lakini ukionja unakuta hazina kiwango kabisa. Husikii harufu ya ya supu ya kuku au ng'ombe. Supu yenyewe majimaji tu yaani...
  10. F

    Hizi tigo pesa,mpesa, airtel money kiwango cha mwisho kuweka kwa siku ni shilingi ngapi?

    Habari wadau. Kwa wenye uzoefu na hizi mobile money watuambie kiwango cha mwisho ni kiasi gani? Je inawezekana kwenye line moja kuweka milioni 5 kwa siku. Na ukamtumia mtu hiyo milioni 5 kwa muamala mmoja na yeye akapokea bila shida? Kwa mteja wa kawaida tu sio wakala. Je anaweza kuweka...
  11. GENTAMYCINE

    Mliokuwa mkisema Manula anafungwa Tegeta na Mbagala hii Kauli bado mnayo au mmeshaifuta kwa Kiwango chake Kikubwa na cha Kimataifa?

    Ndani ya Masaa Matatu ya leo nimepishana na Mawakala Watatu Mmoja wa PSG ya Ufaransa, mwingine wa FC Barcelona ya Hispania na wa mwisho ni wa Klabu yangu pendwa ya Liverpool FC ya nchini Uingereza wote Wakihaha kutaka Kuonana na Viongozi wa Klabu ya Simba ili wamsajili Kipa Namba Moja kwa sasa...
  12. Sky Eclat

    Unywaji wa pombe kupindukia husababishwa na kutokujua kiwango cha unywaji

    Wengine wanaokunywa bar walizozizoea wakilewa na kulala wake zao wanapigiwa simu. Kweli dignity iko wapi hapo, mke anakukuta umetapika au kujikojolea. Wengine wenye bar wana wafungia ndani kwa usalama wao. Sasa moto utokee usiku bar wakati imefungwa ndiyo tunaimba parapanda. Wengine...
  13. Miss Zomboko

    Russia: Benki Kuu yaongeza riba kudhibiti thamani ya shilingi na mfumuko wa Bei

    Benki kuu ya Urusi imetangaza kuongeza kiwango chake kikuu cha riba kufikia 20%, kutoka 9.5%, ili kukabiliana na hatari ya kushuka kwa thamani ya fedha yake na mfumuko wa bei wa juu, huku maafisa wakishindana kudhibiti vikwazo kutoka kwa vikwazo vya Magharibi. Moscow pia imeamuru makampuni...
  14. OKW BOBAN SUNZU

    Mimi na wenzangu tumefurahishwa na kiwango cha Peter Banda

    Huyu dogo ana kipaji nina hakika hapa Simba Sc anapita tu kama njia. Ukimtazama kwa jicho la karibu utaona mpira mkubwa anaocheza. Mechi ya Asec aliupiga mpira mkubwa sana pamoja na kukosa magori kadhaa. Jana nilimfuatilia kwa karibu sana nimebaini ana madini mguuni. Huyu akipata striker...
  15. S

    Watanzania hatuna uzalendo wa kiwango hiki, bali naamini watu wana masilahi binafsi huko Ngorongoro na ipo siku ukweli utajulikana

    Uzoefu unaonyesha ukiona watanzania, hasa wanasiasa, wanaungana na wanahabari juu ya jambo fulani huku nguvu kubwa ikitumika kufanikisha jambo hilo , basi ujue teyari kuna watu wana masilahi binafsi na jambo husika, na teyari kuna bahasha zinatembea na wala si uzalendo wa wahusika unaowasukuma...
  16. mdukuzi

    Naota nacheza mpira kwa kiwango cha juu, nini tafsiri yake?

    Kuna ndoto inajirudia rudia mara ya tatu sasa . naota niko uwanjani nasakata kabumbu,mpira ninaocheza humo ni hatari,n aupiga mwingi sana sijawahi kucheza mpira kwa kiwango cha ushindani nikiwa kijana,sasa umri wangu siwezi kusajiliwa timu yoyote nimeshazeeka, Hii ndoto ina maana gani wakina...
  17. Richard

    Serikali ya Rais Samia iachane na Uhandisi Jamii unoendelea kwani unamharibia taswira yake kwa kiwango kikubwa

    Soko la Karume limechomwa lote na hakikusalia kitu hata kimoja na wamachinga wapo hoi bin taaban yaani "they are devastated big time". Soko la Kariakoo nalo liliunguzwa na sasa lipo kwenye matengenezo. Yapo masoko mengine ambayo yamechomwa moto yote na kutekeketea kama lile soko maarufu ya...
  18. Offshore Seamen

    Uvuvi wa samaki jamii ya kamba (Lobsters, Crab, Octopus)

    Tanzania tuna eneo la mwambao wa bahari kutoka Kaskazini mpaka Kusini lenye urefu upatao 1084km, idadi ya vyombo vya uvuvi upande wa Bahari ya Hindi ni pungufu ya vilivyo ziwa Victoria. Ripoti ya mwaka 2019 ilionyesha bidhaa za uvuvi Kutoka baharini zilizopelekwa nje ya nchi ilikuwa ni Tani 5...
  19. JF Member

    Sakata la Spika Ndugai; CCM imeonesha kiwango cha chini cha Uongozi

    CCM kama chama kikongwe na kilichodumu kwa mda wa miaka, ni chama kinachoaminika kuwa na uongozi imara na makini. Binafsi nimeshangaa kuona namna gani umeshindwa kushugulikia swala la Spika na Rais. Maswala haya ni ya mihimili miwili, Spika anatakiwa alindwe kwa nguvu na kama anavyolindwa Rais...
  20. Konzo Ikweta

    Jinsi Natepe alivyomhenyesha Rais Ali Hassan Mwinyi

    Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 83 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka Zanzibar anaitwa mzee Natepe kushika Uwaziri wa Mambo ya ndani ya nchi. Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka Waziri aliyemtangulia kutoka katika nyumba ya Waziri ili yeye aweze kukaa...
Back
Top Bottom