Ni tukio la kusikitisha sana. Limetokea katika Kitongoji cha Bombani, kijiji cha Dumila Mkoani Morogoro.
Kwa mujibu wa watoa taarifa, mwili wa mtu aliyedaiwa kufa kifo cha ghafla, ulionekana ukitoka jasho na mapigo ya moyo kupiga kwa mbali. Waliotaka daktari aitwe aje athibitishe kama kweli...