Kizimbani (or Kisimbani) is a settlement of the Zanzibar Urban/West Region in Unguja, the main island of Zanzibar, Tanzania. It is located in the interior of the island, north-east of Zanzibar City. The remnants of old Persian public baths are found in this town.
Kizimbani is close to an eponymous forest, as well as a spice farm where several kinds of spices are cultivated, mostly as a visitor attraction; most so-called "Spice Tours" proposed by local travel operators are based in Kizimbani. Cultivation on display for the visitors include cinnamon, pepper, ginger, lemon grass, iodine, cocoa, nutmeg, clove, and vanilla.
Mkurugenzi wa Mtandao wa Kijamii wa U turn Collection, Allen Mhina (31) na wenzake wawili wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu mashtaka matatu yakiwemo ya kuchapisha maudhui yanayokiuka haki na uhuru wa mtu mwingine na kumfedhesha mtu kwa njia ya mtandao (cyber Bullying)...
Kesi nane za ukatili wa kingono kati ya 19 zinazohusu watoto waliodhalilishwa na mtoto mwenzao mwenye umri wa miaka 15 mkoani Iringa, zinatarajiwa kufikishwa mahakamani wiki hii.
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Iringa, Allan Bulumbi amesema kuwa uchunguzi wa daktari umebaini kuwa watoto wote...
Nkwandu Kayenze (76) Mkazi wa Kijiji cha Natta Wilayani Serengeti mkoani Mara amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Serengeti kwa tuhuma ya mauaji ya mjukuu wake Matoja Deus (11) ambaye anadaiwa kumpiga hadi kufa baada ya kutumia Shilingi 2,000 bila idhini yake.
ITV
Habari Wakuu,
Leo 04/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuanza kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022...
Dunia inazunguka kwa kasi.
Askari huyu, tarehe 23.3.2017 alimtishia Nape Nnauye bastola asiongee na waandishi wa habari baada ya kutumbuliwa na Rais Magufuli kwa sakata la Makonda kuvamia Clouds FM usiku.
Leo hii ni miongoni mwa maaskari waliokamatwa kwa tuhuma za mauaji mfanyabiashara mkoani...
Kesho tutakuwapo kukipokea kile kielelezo kisichojulikana kilivyomfikia Jumanne mahakamani tokea alipomwachia Inspector Swilla.
Pamoja na kuwa kina kurasa 2 na ni ukurasa wa kwanza pekee ulio na sahihi, mchumi wa maneno aliyedhamiria anaweza kutatizika vipi hata kwenye hali tata kama hizo...
WAHASIBU NA KIBARUA TPA, KIZIMBANI
WAHASIBU wanne wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Kibarua mmoja, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi yenye shtaka moja la kuisababishia Bandari hasara ya zaidi ya Sh. Milioni 600...
HABARI Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amefunguliwa kesi ya jinai Mahakamani akituhumiwa kwa mambo mbalimbali ikiwemo matumizi mabaya ya madaraka ikiwemo suala la kuvamia kituo cha televisheni cha Clouds Media, Machi 17 mwaka 2017
Kesi dhidi ya Makonda imewasilishwa...
Wakuu, story ya kesi ya Ugaidi, kama jinsi ilivyoelekezwa na Bwana Kingai, chanzo chake ni msiri wa Kingai ambaye ni Denis Urio!
Hii case ya ugaidi, kwa 100% inamuhusu sana huyu Denis Urio, ambapo Bwana Kingai alisema alipata taarifa hizo kutoka kwake!
Cha kushangaza, mpaka sasa mashahidi wa...
Pamoja na kuwa inshu ya shaidi kuingia na note book Kizimbani ijumaa wiki iliyopita Jaji alihaidi kuwa mahakama itaifanyia maamuzi Jumatatu hii. Yani ataanzia na objection ya kina kibatala.
Jumatatu mahakama haikukumbuka ata si kuianzia tu maana ndipo walipoishia. Pia nikiamini pingamizi Hilo...
TAKUKURU Mkoani humo imewafikisha Mahakamani Goldina Peter Minja, Rose Koshuma Msangi na Nicodemus Felician Kavishe. Goldina aliwasilisha nyaraka zenye maelezo ya uongo ya "Ukomo wa Ajira yako"
Rose aliwasilisha nyaraka zisizo za kweli ili alipwe mafao ilihali bado ni mtumishi, na Nicodemus...
Kizimbani
Sura ya 1: Kukamatwa - Mazungumzo na Bibi Gurubaki - Kisha Bi Basitena
Lazima pana mtu aliyekuwa anatembeza maneno ya urongo kuhusu Josefu K., kwani mwenyewe alijua hakufanya kosa lolote lakini, siku moja asubuhi, alikamatwa. Kila siku saa mbili asubuhi aliletewa kiamsha kinywa na...
ALIYEKUWA MENEJA MKUU WA KAMPUNI YA STAMIGOLD NA WENZAKE WATATU WAPANDISHWA KIZIMBANI-KAGERA
TAARIFA KWA UMMA
Februari 19, 2021
Ndugu wanahabari,
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Kagera tumeendelea kutekeleza majukumu yetu kama yalivyoainishwa katika Sheria ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.