Kizimbani
Sura ya 1: Kukamatwa - Mazungumzo na Bibi Gurubaki - Kisha Bi Basitena
Lazima pana mtu aliyekuwa anatembeza maneno ya urongo kuhusu Josefu K., kwani mwenyewe alijua hakufanya kosa lolote lakini, siku moja asubuhi, alikamatwa. Kila siku saa mbili asubuhi aliletewa kiamsha kinywa na...