Wahitimu wa Chuo kikuu Mzumbe kampasi ya Upanga Dar Es Salaam wapo katika wakati mgumu baada ya chuo hicho kushindwa kuwapa vyeti vyao vya kuhitimu bila maelezo yanayoeleweka.
Hatua hiyo imekuja mwezi mmoja baada ya wahitimu hao kutunukiwa shahada za umahiri na aliyekuwa Makamu wa Rais wa...
Wakazi wa Langai wapo katika hali ya wasiwasi kutokana na kusimama kwa ujenzi wa daraja ambalo lilitarajiwa kuwa kiunganishi muhimu cha usafiri na usalama wa wakazi wa eneo hilo. Mwananchi mmoja ameibua hofu kubwa baada ya mtu kusombwa na maji kwenye daraja hilo, ambalo ujenzi wake...
Anaandika Martin masese
MUHUNI kama HKigwangalla mbunge wa Nzega Vijijini. Dkt. Manguruwe alikuwepo bungeni wakati tozo/kodi katika michezo ya kubashiri zinapitishwa.
Mwaka 2012/2015, serikali ya Tanzania ilibadilisha sheria ya michezo ya kubashiri matokeo (betting) na kuongeza kamari...
Kumekucha Wadau.
Leo asubuhi wakati nawahi kwenye Mitikasi yangu nimejikuta nimenasa katikati ya foleni ambayo hata kusogeza tu mguu ilikiwa shida na ni mchezo wa kila siku hasa kwenye barabara hii ya Mwai Kibaki.
Katika mji wa Dar es Salaam, foleni barabara ya Mwai Kibaki imekuwa ni kero...
Habari wana jf.
Nimejiuliza labda nimechelewa kupata ufahamu wa hili jambo. Je, inawezekana kwa Mtanzania (Mtanganyika). Kuomba uraia wa Zanzibar na kuwa Mzanzibar katika taifa la Tanzania.
Akapata haki ya ku miliki (ardhi) na fursa za ajira zinazo tangazwa kwa wazanzibari pekee?
Kwani wa...
Heshima yenu wakubwa Kwa wadogo.
Nina swali gumu sana naomba mnijibuni.
Kwa anayejua PIKIPIKI kwa KIZUNGU inaitwaje naomba anisaidie.
Atakaeleta jibu sahihi zawadi yake ni vocha ya Tsh 10,000/= ( elfu kumi tu).
Asanteni sana.
Najaribu kukata tiketi kwa njia ya mtandao lakini sifanikiwi, mfumo haufanyi kazi, nifanyeje?
Pia soma: TRC: Tumewakamata Watu kadhaa waliokuwa wanafanya ulanguzi wa tiketi za SGR na kufanya udanganyifu
Yani huu mfumo unachanganya sana watu kwa mfano kwenye kujaza sehemu ya kujaza Professional qualifications kwa watu wa fani ya ualimu hususani Bachelor Degree
Tunashida na ajira lakini mifumo yenyewe ya kuombea ajira ni changamoto sana
Eeh Mungu baba tusaidie wanao wasaka tonge
Tunakosa tena...
Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model.
NB: Tengeneza future ya wategemezi wako ukiwa na nguvu.
Aliyefunguliwa biashara kaolewa na mteja,
Aliyenunuliwa gari anatembea na mziba pancha,
Aliyejengewa nyumba ana jiachia na mpaka rangi,
Ishi na mtu kama ulivyokutana nae,
Tutiane tu ila kuhongana hapana kila itu abaki na chake .
Mapenzi ni mazito usijitwike kichwani utatofoa ubongo...
Sasa yapata miaka mitatu tangu tuaminishwe kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza huduma yake lakini mpaka sasa hakuna kinachoendelea. Ninaomba majibu kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TRC. Atoke waziwazi kupitia luninga kuelezea umma ili tufahamu tatizo liko wapi.
Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya.
Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu sisi wananchi tunataka Katiba Mpya iwe Jua au mvua tunataka Katiba Mpya.
Woga wa nini kuhusu...
Serikali ilitamka kuwa upungufu wa umeme umetokana na ukame lakini sasa hivi mabwawa na mito imejaa kutokana na mvua kuendelea kunyesha.
Pamoja na sababu hiyo kuna maeneo hapa Mwanza tangu asubuhi hakuna umeme. Hivi tunaishi nchi gani hii kila siku ni porojo tu?
"Mkataba wa bandari kati ya TPA (Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania) na DP World hadi hivi sasa Waziri ameshindwa kueleza huyu DP WORLD anakwenda kuwekeza shilingi ngapi? Na anakwenda kuwekeza maeneo gani.
Kama tathimini imeshafanyika kuna shida gani kutueleza huyo DP WORLD anakwenda...
Ndugu zangu Watanzania, Kila nikiutazama uchaguzi ujao haki vile nabaki mdomo wazi. Mimi ni shabikia mkubwa sana wa serikali iliyopo madarakani. Nampenda sana Rais SSH. na katika ndoto zangu ninazoota naamini ipo siku nitapeana nae mkono🙆{sijui kama ndoto hii itatimia🤣🤣🤣}
Lakini Kila nikitazama...
KIZUNGUMKUTI CHA MAADILI NCHINI TANZANIA.
Miaka ya hivi karibuni duniani kote na hata Tanzania, kumeshuhudiwa kuwapo Kwa suala la Kizungumkuti cha maadili na limeonekana kuwa suala mtambuka na lenye kuleta mjadala mkubwa ili tija ipatikane Kwa kuinusuru jamii yetu. Hivi sasa jamii imepoteza...
KIZUNGUMKUTI SEKTA YA MICHEZO NA MATUMIZI YA FEDHA ZA BAJETI YA WIZARA YA MICHEZO, SANAA NA UTAMADUNI
Kwa miaka kadhaa sekta ya michezo imekuwa ikizidi kukua siku hadi siku na kujiongezea wafuasi ambapo katika mpira wa miguu ni eneo ambalo kwa sasa lina mashabiki wengi, pamoja na kuwa na...
Shekhe Ponda uwaga anatatea haki ila sasa mfumo wa uongozi na utawala wa Nchi yetu (Ushaambiwa Serikali ya Tanzania haina Dini) hapo Shekhe Ponda anabidi anyamaze.
Kisheria ya dini yuko sahihi kabisa... kuhusu umri sio mpaka binti afikishe 18+ndo aolewe.
Nchi yetu binti chini ya miaka 18+...
Raisi wa Tanzania alitowa msamaha wa riba kwenye kodi ya ardhi kwa watakaolipa kufikia 31 Disemba. Msamaha huu ulipigiwa debe na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi.
Ni kwa nini utekelezaji wake unalazimisha watu wajaze fomu ya maombi wa msamaha? Isingekuwa jambo jepesi kuweka utaratibu wa...
Niko ukweni kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka.
Hali ni mbaya. Umeme hakuna masaa 12 kwa siku. Yaani ni mwendo wa 0700 - 1900 kila siku.
Siku niliyofika nilidhani ilikuwa kutuwezesha nchi nzima japo kumwona Messi akichukua kombe baadaye usiku.
Kumbe hola!
Kumbe haya ndiyo maisha ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.