Habari za saa wanachama wenza wa Jamiiforums natumai ni wazima.
Nilikuwa na jambo linalo nitatiza na lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu wanachama na jambo lenyewe lina husu katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kwa miaka ya hivi karibuni mpaka sasa hapa taifani kumekuwa na mijadala...
Katika zama hizi za mapinduzi ya sayansi na teknolojia moja ya changamoto kubwa Katika nchi zinazoendelea haswa barani Afrika ni suala la ajira na maslahi kwa watumishi. Hili suala limekuwa ni kizungumkuti au kitendawili kisichokuwa na majibu.
Viongozi wengi suala hili la ajira kwa vijana...
Habari wanaJF, Kwanza kabisa tukubaliane kwa Nchi yetu imekuwa shida sana kupata Takwimu za afya ,ni ngumu kujua watu wangapi wanazaliwa kwa siku , wanaofariki kwa siku , ni wastani wa watu wangapi wanapata ujauzito kwa Siku .
Hivyo kwa Uzoefu wangu nitakuja na Takwimu ambazo zitareflect kidogo...
Korea kaskazini imeripotiwa kufanya majaribio yake makubwa zaidi ya makombora yake ya (Intercontinental ballistic missiles) makombora yenye uwezo wa kuvuka bara moja hadi jingine
Majaribio haya nimakubwa zaidi tangu Mara yamwisho kufanya hivyo mwaka 2017,
huku makombora hayo yakiwa na uwezo...
Maisha ya utumishi yananiacha hoi sana ikifika muda wa maslahi na utofauti baina ya taasisi na taasisi!
1. Kuna taasisi mishahara yao ni ya kawaida kabisa ya scale ya msajili wa hazina, ila ukija ktk posho na madokezo kwa mwezi watu wanakunja hadi milion 3 , 4 hadi 5!bosi hakatai dokezo mradi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.