Mchezaji wa Klabu ya Soka ya Hafla FC ya nchini Guinea Latige Camara amefariki dunia leo asubuhi baada ya kudondoka uwanjani akiwa mazoezini.
Taarifa za awali kutokea nchini humo zinataja chanzo cha kifo chake kuwa ni uchovu unaotokana na jufanya mazoezi huku akiwa amefunga.