klabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    CAF itaruhusu kila klabu kusajili wachezaji 40 badala ya 30

    Kuelekea msimu mpya wa michuano ya CAF yaani Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho. Shirikisho la Mprira Barani Afrika (CAF) limeweka bayana mambo kadhaa. 1. CAF itaruhusu kila klabu kusajili wachezaji 40 badala ya 30 2. Kuanzia sasa wachezaji 9 watakaa kwenye benchi badala ya 7ilivyokuwa...
  2. GENTAMYCINE

    Ahmed Ally ungerahisisha tu kwa kusema ukweli kuwa sasa Mo Dewji ameishiwa Pesa na Klabu inaweweseka kimapato sasa

    “Klabu yetu ya Simba SC imeachana rasmi na dili la kumpata mshambuliaji wa kimataifa wa Niger Victorien Adebayor, na hii ni baada ya kushindwana kwenye upande wa dau analotaka yeye," Ahmed Ally, Afisa habari na mawasiliano wa Simba Sc. Chanzo: Dar Mpya Blog Mapema sana tu hapa hapa JamiiForums...
  3. LIKUD

    Kaze anaihujumu Yanga, mtimueni haraka sana kwa mustakabali wa klabu

    Simaanishi kwamba anafanya fitna, la hasha ila uwezo wake mdogo kimbinu na ufundishaji ni zaidi ya hujuma. Nilianza kuwa na mashaka na uwezo wa Kaze kwenye mechi ya Yanga vs Gwambina msimu uliopita akiwa kocha mkuu pale alipo wapumzisha wachezaji muhimu eti...
  4. BigTall

    Hali Ya Usalama Kuelekea Mechi Ya Klabu Ya Simba Vs Yanga

    Jumamosi ya tarehe 30 Aprili 2022 kwenye uwanja wa Benjamini Mkapa kutakuwa na mpambano wa soka wa watani wa jadi baina ya klabu ya Simba na Yanga za Dar es salaam utakaochezwa saa 11 :00 jioni. Katika kuelekea mchezo huo, Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es salaam litahakikisha usalama...
  5. U

    Imethibitika kumbe Mhesh Madaraka Nyerere Ni mpenzi wa Klabu ya Yanga

    Ushahidi umeambatanishwa hapo chini Niwatakie good Friday
  6. GENTAMYCINE

    Kuna Klabu ikikusanya Washambuliaji wake wote wa 'Bei Chee' bado tu hawamfikii Fiston Mayele

    Unatakiwa uwe na Mshambuliaji ambaye ukimuona tu Usoni na anavyocheza unajua tu kuwa Goli lipo muda wowote ule hata akabwe vipi na kweli hakosi kama Fiston Mayele wa Yanga SC. Na utakuwa ni Mwendawazimu wa kutukuka kama unategemea Mishambuliaji yako ya hovyo ambayo kwanza haijui kufunga, pili...
  7. HIMARS

    Mmiliki wa klabu ya Chelsea, Roman Abramovich awekewa vikwazo na Uingereza

    Tajiri wa Urusi, Mmiliki wa Club ya Chelsea awekewa vikwazo, vikwazo hivyo vinahusu mali zote zilizo UK na Club ya Chelsea yahusika Uuzwaji wa Chelsea umesitishwa kwa muda. Chelsea haitaruhusiwa kuuza, kununua wachezaji. Chelsea haitaruhusiwa kuongeza mikataba ya wachezaji waliopo. Chelsea...
  8. John Haramba

    Baada ya Chelsea kuwekwa sokoni, kocha apata hofu wachezaji kuikimbia klabu

    Kocha wa Chelsea, Thomas Tuchel amekiri kuwa ana hofu kuwa kuna uwezekano wa wachezaji ambao wanaelekea kumaliza mkataba klabuni hapo wanaweza kuondoka mwishoni mwa msimu huu. Hatua hiyo inakuja baada ya mmiliki wa klabu hiyo, Roman Abramovich kutangaza mpango wake wa kutaka kuiuza klabu hiyo...
  9. GENTAMYCINE

    Simba SC ndiyo Klabu pekee nchini yenye Meneja Mawasiliano na Habari huku zingine zikiwa na Maafisa Habari na Wapayukaji tu

    Kama umekasirika na Unabisha haraka sana hapo ulipo nitafutie Klabu nyingine ukiiondoa ya Simba SC yenye Cheo cha Meneja Mawasiliano na Habari. Kuna Klabu moja ( ya Ligi Kuu ) siikumbuki Jina ila ninachokumbuka na kujua tu ni kwamba ina Maafisa Habari na Wapayukaji tena Wawili ambapo wakiwa...
  10. John Haramba

    Soka siyo ushkaji ni biashara, ishu ya kipa wa YANGA iwe somo kwa Mtibwa na klabu nyingine

    Desemba mwishoni mwaka jana, Klabu ya Yanga ilimtambulisha kipa Abdultwalib Hamidu Mshery kuwa imemsajili kutoka Mtibwa Sugar kuwa mchezaji wao. Mshery akaingia na kufanikiwa kufanya kweli, lakini Mtibwa Sugar kupitia Ofisa Habari, Thobias Kifaru anaibuka na kudai kuwa Yanga hawajakamilisha...
  11. John Haramba

    FIFA, UEFA washirikiana kuifungia Urusi michuano yote, klabu na timu za taifa

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) na Shirikisho la Soka la Ulaya (UEFA) kwa pamoja wametangaza kuzifungia timu zote za Urusi katika michuano ya kimataifa kuanzia ngazi ya klabu hadi timu za taifa hadi hapo itakapotolewa taarifa nyingine. Mamlaka hizo za soka zote zimetoa tamko la pamoja...
  12. M

    Kwa Uhasama mkubwa na uliovuka mipaka wa Haji Manara dhidi ya Simba SC, tafadhali Wazazi wake, Serikali na Klabu yake imuonye upesi ili wasije Kujuta

    Kitendo cha Msemaji wa Yanga SC Haji Manara kuandika kama Kuwatahadharisha Wageni wa Simba SC Klabu ya Asec Mimosa kuwa Wachukue Tahadhari zote za Hujuma za Dawa, Sumu au hata Kuuliwa Mtu haziichafui tu Simba SC bali hata Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan, Wizara husika, TFF na Wadau wote wa...
  13. John Haramba

    Chelsea wabeba ubingwa wa klabu bingwa dunia

    Chelsea imefanikiwa kubeba ubingwa wa Klabu Bingwa Dunia baada ya kuifunga Palmeiras kwa mabao 2-1 katika fainali iliyochezwa Abu Dhabi, leo Jumamosi. Mabao ya Romelu Lukaku na Kai Havertz yameipa Chelsea ubingwa huo wa kwanza kwao katika historia ya michuano hiyo. Bao la Palmeiras lilifungwa...
  14. kasanga70

    Barua ya wazi kwa klabu ya Simba

    Wasalaam Klabu yangu kubwa nawashauri tena. Niliwambia ukweli mechi ya Red Arrows ndicho kilichotokea. 1. Katika vilabu vikubwa Afrika mmo top ten lakini utani uwanjani na kuchangamka mwishoni mwa mechi itaendelea kuwacost. 2. Upangaji Wa kikosi ndio mnapoteaga balaa. Yaani wewe ni klabu kubwa...
  15. John Haramba

    Kilichomuua Ally Sonso hiki hapa, wachezaji, klabu zamlilia

    Ofisa Habari wa Ruvu Shooting, Masau Bwire amezungumzia kifo cha mchezaji wao, beki Ally Mtoni 'Sonso' aliyefariki jana akiwa njiani kupelekwa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam. Imeelezwa kuwa kabla ya kukutwa na umauti huo, Sonso nyota wa zamani wa Lipuli,Yanga, Kagera Sugar na Ruvu...
  16. Little brain

    Napendekeza mwijaku awe Rais wa klabu yetu ya simba sc

    Jamaa ana elimu kubwa na pia ameitumikia klabu yetu kwa muda mrefu na kwa mafanikio makubwa. mimi naona anafaa kuwa Rais wa timu yetu ukizingatia umri wake bado ni kijana
  17. Gordian Anduru

    Kabati la makombe Simba SC

    Ukibahatika kufika kwenye kabati la makombe ya klabu ya Simba utakutana na makombe yafuatayo 1. KOMBE LA LIGI TANZANIA BARA ambalo YANGA pia analo hata Cosmopolitan, mseto, Pan Africa, Tukuyu Stars, Coastal union, Mtibwa Pia wamechukua 2. KOMBE LA LIGI YA MUUNGANO ambalo hata YANGA, Pan...
  18. GENTAMYCINE

    Kuna Klabu ya Tanzania Bara imerejea leo imeacha Zanzibar 'Kashfa' ya Wachezaji kuchafua Maliwato, Kuiba Mito, Mashuka na Sabuni zao

    Na ole Wenu Watangazaji wa Vipindi vya Michezo vya Redio nchini Tanzania Kesho Jumatano tarehe 12 January, 2022 ( Mapinduzi Day ) misiwasikie mkiizugumzia hii kwani imeshaenea na Kusambaa mno huko Isles ( Zanzibar ) Na yawezekana Wachezaji wake wengi ( hiyo Klabu ambayo GENTAMYCINE bado...
  19. Frumence M Kyauke

    Uongozi wa klabu ya Simba SC wamegoma kufanya kikao cha kocha na waandishi wa habari kisa bango lenye nembo ya GSM

    Uongozi wa klabu ya Simba kupitia kwa kitengo cha habari kinachoongozwa na Ally Shantri ‘Chico’ wamegoma kufanya kikao cha kocha na waandishi wa habari kisa bango lenye nembo ya GSM. Mkutano wa makocha kwa ajili ya mchezo wa kesho wa Simba na Yanga ulikuwa unafanyika leo katika makao makuu ya...
  20. N

    Sifa hizi za kocha mpya wa klabu ya Simba, zina msaada wowote kwa timu?

    Imekuwa kila kukicha tunaelezwa uzoefu wa mwalimu mpya wa klabu ya Simba kwamba ametokea katika kufundisha timu kubwa na kwamba anafahamiana na walimu wengi na wakubwa katika mataifa ya nje. Swali langu ni je; sifa na umaarufu wa mwalimu huyo unamchango gani kwa klabu ya Simba?
Back
Top Bottom