Klabu ya Chelsea imetangaza kufikia maamuzi ya kumfukuza kocha Graham Potter. Nafasi ya kocha huyo itachukuliwa na Bruno Salter. Klabu hiyo ya jijini London imemshukuru kocha huyo kwa mchango alioutoa ikiwa ni pamoja na kufanikiwa kutinga hatua ya robo fainali katika michuano ya klabu bingwa ya...
MO: SIMBA INANIIGIZIA HASARA, KAMA SIO SIMBA NINGEKUWA NA NDEGE.
“Simba ni klabu ambayo nimeipenda tangu nikiwa mdogo, naipenda Simba kutoka moyoni, mechi ya juzi tulipofungwa na Raja nimekaa kwenye Gari nimelia"
“Nimewekeza kwenye Simba sio kwaajili ya pesa huu ni mwaka wa sita, tumekubaliana...
Klabu ya Simba imeingia mkataba wa miaka miwili na kampuni ya MobiAd kwa ajili ya kusaidia ukuzaji wa maendeleo ya soka la Vijana huku Mkataba huo ukiwa na Thamani ya 500M huku kukiwa na nafasi ya kuboresha zaidi.
“Soka la vijana ni muhimu sana. Ili uwe na timu ya vijana iliyo bora lazima...
Hii ni timu tishio kwenye kundi lao kwa sasa, inacheza direct football ikiwatumia wachezaji wao hatari wenye kasi na nguvu kusukuma mashambulizi mbele, ni timu yenye beki imara sana wakiongozwa na beki kijana bwana joash onyango, Na ilo limeonekana kwenye mechi zote mbili walizocheza na timu...
Polisi wa England wamemhoji Star huyo wa R&B kutokana na vurugu zilizotokea kwenye Klabu ya Usiku ya 'Tape' jijini London ambapo Watu walioambatana naye walipigana na Walinzi wa Klabu na kusababisha Mtu mmoja kujeruhiwa kwa Chupa Kichwani na kukimbizwa Hospitali.
Chris Brown anayeendelea na...
Uamuzi wa kutozwa faini ya Pauni Milioni 1.4 (Tsh. Bilioni 3.9) umetokana na kipa huyo mkongwe kuikosoa klabu kwa uamuzi wa kumfukuza Kocha wa Makipa Toni Tapalovic.
Neuer (36) yupo nje ya uwanja akiuguza majeraha ya kuvunjika mguu, kauli yake ilimkwaza Mtendaji Mkuu wa Bayern, Oliver Kahn...
Huu ni utabiri uliopo wazi kabisa, leo hii mara baada ya dakika tisini kuisha pale taifa; hakika sijawahi kuona Yanga mbovu kama hii.
Timu haina mipango magoli, tunategemea ya kujifunga. Yaani Ndondokela Kocha hana mbinu, yaani yeye kakaa kukalili tu mfumo, yaani hata huo uprofesa sijui alipata...
Naamini Kamarada (Comrade) wangu Hussein Msemaji wa Singida Big Stars FC yuko (tunae 24/7) hapa Mjengoni JamiiForums hivyo atalifafanua hili na kuliweka sawa kwani Binafsi kama GENTAMYCINE ninavyojua Watendaji wote wa Klabu hii ni Wasomi na Watu makini hawezi kuwa na Mapungufu haya...
Yaani wanatufanya mashabiki kama hayawani muda mwingine. Tabia zao za uongo na kukuza mambo na mbaya zaidi ni tabia ya kutagaza wachezaji usiku naichukia sana, sio jambo fair kwa mashabiki waliokuwa na haki ya kupata taarifa juu timu yake kuhusu usajili.
Tabia hii ya kipuuzi walikuwa nayo...
Mpaka sasa sijaelewa kuna tatizo gani kwa mchezaji aliyevunja mkataba na klabu yake na akaona yuko sahihi kisheria na yuko huru kusajiliwa na timu yoyote ile nashangaa timu iliyomrubuni na kumpa mamilioni ya pesa akalipe na kuvunja mkataba imeshindwa kumtambulisha mpaka sasa, Mchezaji huru tena...
Mwaka huu tulipata bahati ya kupangwa na timu rahisi kwenye hatua ya mtoano hivyo tukafuzu hatua ya makundi. Kama tungekutana na timu kubwa kiasi basi tungeshatolewa kitambo.
Bila kufanya usajili wa maana ni bora tuwape Yanga wacheze hatua ya makundi CAFCL na Azam aende CAFCC. Tuache mzaha...
Manchester United imethibitisha kuwa Cristiano Ronaldo anatarajiwa kuondoka Klabuni hapo mara moja kwa makubaliano ya pande zote mbili
Klabu hiyo imesema “Inamshukuru kwa mchango wake mkubwa katika vipindi viwili akiwa Old Trafford, akifunga magoli 145 katika michezo 346”
Hatua hiyo inakuja...
Gharib Said Mohamed (GSM) bhana kwahiyo Wewe siku hizi umekuwa ni wa kutafuta tu Sifa kwa Watanzania hasa Kupitia Matatizo, Maafa na Majanga yanayowakumba?
Kama kweli GSM unapenda Watu na una Huruma mbona zaidi ya mara Sita (6) umeletewa Barua za Chama Cha Wachezaji wa Zamani (ambao hawana...
Ninachojua Marehemu Leo anaogeshwa Dar es Salaam (Tanzania) na Maziko yake yatafanyika rasmi Jijini Tunis (Tunisia) tarehe 9 Novemba, 2022.
R.I.P Marehemu wa Kubebwa Tanzania NBC Premier League na ukiwa huko usiache kumuombea Mpiganaji Mkuu ambaye huwa anakubeba mara kwa mara na Mkali wa...
MOJA kati ya shida kubwa za maofisa habari wa klabu zetu ni kuongea sana. Ni rahisi sana kumuona ofisa habari wa Simba anakwenda kwenye chombo cha habari kuzungumzia timu kwa saa tatu.
Ni jambo la kawaida kabisa kumuona ofisa habari wa Yanga akienda kufanyiwa mahojiano juu ya klabu yake kwa saa...
Inasadikika kuwa aliyekuwa mshambuliaji raia wa serbia, Dejan Georgijevic yupo mbioni kutimkia nchini misri kujiunga na klabu ya Al-ittihad iskandary (alexandria) kuungana na aliyekuwa kocha wa simba Zoran Maki.
Vyanzo vya karibu nchini Misri vimenihabarisha kuwa kocha huyo Zoran Maki...
Moja kwa moja kwenye mada!!
Nimekaa natafakari na kuwaza kuwa tunaelekea kwenye Champions league round ya kwanza tukitegemea uwezo wa strikers kama Phiri,Bocco na Kyombo kutuvusha huku tukimwacha Striker wa kiwango cha juu ndugu Dejan Georgijevich kuondoka!!
Hivi Bocco na Kyombo ndio wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.