klabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Makocha wa klabu waliotumia fedha nyingi kusajili

    Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola anaongoza kwa kutumia kiasi kikubwa cha fedha katika maisha yake ya ukocha kufanya usajili, akiwa kwenye nafasi ya Kocha Mkuu kwenye klabu zote alizotumikia Pauni Bilioni 1.75 zimetumika kusajili, hii inajumuisha alipokuwa Barcelona, Bayern Munich na alipo...
  2. Jidu La Mabambasi

    Asante Yanga na Simba, klabu zinazo liheshimisha Taifa

    Katika Taifa kuna sera au ksulimbiu au harakati zinazowaunganisha wananchi na kuwa Tsifa moja. Michezo nchini imekuwa mbadala wa siasa kwa sasa hivi. Katika miaka ya karibuni, mpira(football) ni mchezo ambao umewaunganisha wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa. Mpira umefanya kitu ambacho...
  3. Sildenafil Citrate

    Yanga yafungiwa kusajili mpaka itakapomlipa mchezaji Gael Bigirimana

    Klabu ya Young Africans iliyo Ligi Kuu ya NBC imefungiwa kusajili mpaka itakapomlipa mchezaji Gael Bigirimana. Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa la Mira wa Miguu (FIFA) baada ya mchezaji huyo kushinda kesi ya madai dhidi ya klabu hiyo. Birigimana alifungua kesi FIFA kuhusiana na...
  4. JanguKamaJangu

    Klabu za Premier League zaonywa kuhusu Wadukuzi kuvamia mifumo ya usajili

    Imebainika kuwa Klabu za England zinalengwa na wadukuzi, ambao wanatuma ankara za ulaghai kuhusu uhamisho wa wachezaji wa nje ya Nchi hiyo. Suala hilo ni zito, Chama cha Soka Cha England (FA) kimetuma onyo kwa Klabu na kuzitaka kupitia barua pepe zao za usalama na kuzitaka idara zao za fedha...
  5. Moshi25

    Yanga na Klabu bingwa Africa kunani?

    Mimi ni Utopolo Lia Lia nauliza wachezaji na uongozi wa Yanga kunani mechi za Klabu bingwa Africa, kwanini hatufiki makundi? Kwanini tunafungwa na kutolewa mechi za awali? Mchawi ni nani? Mwaka huu kipimo Cha mafanikio iwe sio kuchukua kombe la NBC premier league, Hilo ni Mali yetu tayari ...
  6. GENTAMYCINE

    Mshambuliaji mpya Yanga SC Hafidh Kounkon: Nachukia Klabu ambazo zinapenda Kuroga na Uchawi

    "Mimi ni Mtu wa Imani (Dini) sana na sipendi tabia ya Vilabu vingi vya Afrika kupenda Kuroga na Kuamini Uchawi na nikiwa katika Timu yenye huu Utamaduni nitawakatalia na ikiwezekana hata kuomba Kuondoka" amesema Mshambuliaji mpya wa Yanga SC Hafidh Kounkon kupitia Kipindi cha Spoti Leo cha Radio...
  7. GENTAMYCINE

    Kuna Klabu Tanzania ilijipanga Kuharibu CAFCL ili iangukie CAFCC ibahatishe kama ilivyobahatisha 2022/2023

    Asanteni sana CAF kwa Uamuzi huu kwani kwa Tanzania kuna Timu moja tu yenye DNA ya Kufanya vyema CAFCL kwa kufika hatua za Juu ila kuna Klabu nyingine ya Tanzania GENTAMIYCINE naionea mno Huruma kwani itacheza Mechi zake Mbili tu za Awali na Timu za maana za CAFCL na siyo zile Nyepesi ( Mchekea...
  8. GENTAMYCINE

    Klabu kukubali Kualikwa kwa Kushtukizwa na Kukubali ni dalili ya Ushamba, Njaa na Kutojua Thamani yako

    Tunaojitambua na tusiopenda Mialiko ya kishamba na isiyo na Utaratibu hao Pre Season Ulaya ya Mbali Uturuki huko. Kudadadeki.
  9. GENTAMYCINE

    Kwa hivi 'Vyuma' vitano nilivyoviona jana hoteli moja kuna Klabu itachukua Ubingwa NBC bado Mechi 15

    Kudadadeki TFF andaeni kabisa Kombe la NBC kwa Msimu ujao wa 2023/2024 kwani kwa vyuma vitano hatari nilivyoviona Mwenyewe na ninavyowajua Uwezo wao mkubwa Uwanjani kuna Timu itabeba Vikombe vyoye vya Tanzania (hata hiki changu ambacho GENTAMIYCINE nanywea Uji wangu wa Ulezi, Mhogo, Karanga na...
  10. B

    Benki ya CRDB yaingia makubaliano na Klabu ya Yanga kusaidia Usajili wa Wanachama na Mashabiki

    Benki ya CRDB imeingia mkataba wa makubaliano na Yanga kutoa kadi kwa wanachama wa klabu Yanga katika kuongeza ufanisi wa usajili na masuluhisho ya kifedha. Akizungumza wakati hafla kusaini makubaliano hayo iliyofanyika Julai 1, 2023, Afisa Mkuu wa Biashara Benki ya CRDB, Boma Raballa amesema...
  11. D

    Sadio Mane atachezea klabu gani msimu ujao?

    Kama tunavojua Mane hatoendelea na Bayern msimu ujao ila hadi sasa bado haijajulikana atasainiwa na klabu gani. So far klabu ambazo zimejiweka wazi kumtaka nyota huyo wa Senegal ni: Chelsea, Newcastle, PSG, Liverpool, Juventus, Tottenham, Inter, Aston Villa, Arsenal na Marseille. Unadhani...
  12. GENTAMYCINE

    Wydad Athletic FC wakiwa Mabingwa wa CAFCL basi Klabu ya Simba SC inapaswa Kuheshimiwa mno Tanzania

    Ukiwa na Akili timamu utanielewa kwanini nimesema hivi ila ukiwa Masikini wa Fikra / Akili hutonielewa kamwe. Bado Simba SC itaendelea kuwa Klabu Kubwa na yenye Hadhi ya Juu kuliko Timu nyingine yoyote hapa nchini Tanzania na Afrika Mashariki nzima.
  13. M

    SIMBA CHAGUENI MOJA KUISAPOTI YANGA ISHINDE MCHEZE KLABU BINGWA AMA AZAM ISHINDE MCHEZE SHIRIKISHO

    Ni dhahiri mshindi wa kombe la FA anaungana na mshindi wa ligi kuu kucheza klabu bingwa barani Africa na mshindi wa pili ligi kuu anaungana na mshindi wa 3 na wa 4 kucheza shirikisho, kwa maana iyo simba wachague upande kujielekeza kibra ni moto kote kote! Kazi kwao
  14. Petro E. Mselewa

    Yanga imetoa funzo kubwa kwa Simba na wengineo. Italiandika tena kwenye msimu ujao wa Klabu Bingwa?

    Mwanzo mwanzoni nitamke wazi kuwa mimi ni mshabiki wa Yanga tangu utoto wangu. Lakini, kila ninapotazama mechi ya mpira(nilianza kufuatilia tangu miaka ya 90), huwa nauweka ushabiki wangu pembeni. Daima huwa naitazama mechi kiufundi na kunasa cha kuondoka nacho, achilia mbali matokeo. Huwa...
  15. M

    Wapenzi, mashabiki na marafiki wa klabu ya USM Alger tukutane hapa tujiandae kuupokea ubingwa wa kombe la Shirikisho 2022/2023

    Shalom shalom Hekoheko marafiki na mashabiki wa klabu ya Union Sportive de la Médina d'Alger maarufu kama USM Alger au USMA. Mara baada ya kuibamiza klabu ya Asec mimosas hapo jana jijini Algers nchini Algeria kwa kichapo kizito cha mabao mawili bila ya majibu ,tunarejea tena kuwawinda underdog...
  16. GENTAMYCINE

    Klabu yenye Watu Werevu kamwe haitokubali Kudekezwa ili ijiandae vyema Kimataifa

    Wakati Mazuzu na Washamba wakifurahia Kudekezwa kwa sababu ya Kipumbavu ya kuwapa nafasi ya Kujiandaa wenye Akili Kusini mwa Afrika wanaendelea Kukipiga huko Kwao katika Mechi zao za Ligi na wamekataa SAFA Kuwadekeza kama ambavyo TFF inadekeza Majuha Kwingineko. Halafu mkipigwa Nje Ndani...
  17. FRANCIS DA DON

    Abdallah Kibadeni wa Simba alikuwa mfungaji bora Klabu bingwa Afrika 1974, aliifikisha nusu fainali

    Jedwali hilo la chini linaonyesha wafungaji bora wa kombe la klabu bingwa Afrika mwaka 1974, Abdallah Kibadeni wa Simba SC alikuwa miongone mwa wafungaji bora. Na ndiye alikuwa mchezaji pekee asiye na asili ya kiarabu kuingia kwenye orodha hiyo.
  18. FRANCIS DA DON

    Picha: Hatua kwa hatua hadi Simba ilipoingia nusu fainali ya klabu bingwa Afrika mwaka 1974

    Maelezo yote yapo katika picha
  19. Matteo Vargas

    Tofauti ya timu inayoshiriki Klabu Bingwa na Kombe la Shirikisho imeonekana kwenye Kariakoo Debry

    Kabla ya yote niseme tu mitego ya Nabi, Mr. Robertihno ndio akili kubwa ya kuitegua. ilifika muda Nabi anashindwa afanye nini na bado ndio Robertihno anasoma Ligi 😆😆😆. Tuachane na hilo, Yanga wajue Simba sio level zao, vitimu vibovu bovu wanavyovifunga huko shirikisho wanavimba kuwa wapo vizuri...
  20. SAYVILLE

    Simba ilishawahi kucheza Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Afrika

    Katoka fuatilia yangu ya hivi karibuni, nimegundua historia fulani ya mafanikio ya Simba ama imesahaulika au inafichwa kwa maksudi. Wengi wamejikita kwenye mafanikio ya mfululizo ya kufika robo fainali katika mashindano ya klabu bingwa na yale ya shirikisho na wengine hado wanafikia kukejeli...
Back
Top Bottom