klabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Mchezaji ambaye amesajiliwa na kocha mmoja katika klabu tatu tofauti nyakati tofauti

    Huyu ni mchezaji ambaye amepata nafasi ya KUSAJILIWA na kocha mmoja katika nyakati tofauti kwenye klabu tatu. Ni mchezaji wa Daraja la Juu na hata kocha aliyemsajili pia ni wa Daraja la Juu, je, Mdau umemtambua mchezaji huyo?
  2. mtwa mkulu

    Klabu kubwa ya Simba yasajili kinda wa miaka 26 tuu

    Ni yule kinara wa magoli Ligi ya zambia NB. Nisije nikawa nina miaka 12 harafu hamniambii sio vizuri
  3. JanguKamaJangu

    Klabu ya AS Roma yamfukuza kazi Jose Mourinho kutokana na matokeo mabovu

    Kibarua cha Kocha Jose Mourinho kimeota nyasi katika Klabu ya AS Roma kutokana na matokeo mabaya mfululizo ya timu hiyo msimu huu katika Ligi Kuu ya Italia ‘SerieA’. Kocha huyo wa zamani wa Chelsea na Manchester United ameshinda mechi 68 kati ya 138 lakini hivi karibuni amekuwa akitolewa nje ya...
  4. K

    Ushauri kwa Yanga kuhusu usajili wa Msuva

    Nimesoma kupitia mitandao kuwa Yanga wanataka kumsajili Simon Msuva. Ushauri wangu kwa Yanga kuwa waachane na Msuva. Mpira wake umekwisha. Msuva umri umeenda. Waendeee kumwamini Skudu ni mchezaji mzuri na hatari. Hakuna haja kumtosa Skudu.
  5. Teko Modise

    Man Utd yafikia makubaliano na Sir Jim Ratcliffe, ambapo atamiliki 25% ya hisa za Klabu hiyo

    Hatimae kile kitendawili cha umiliki wa Man Utd kimeteguliwa leo kwa ambapo klabu hiyo imefikia makubaliano na Sir Jim Ratcliffe ambaye ni Mwenyekiti wa Kampuni ya INEOS kumiliki asilimia 25 Klabu hiyo. Ikimbukwe wamiliki wa Man Utd bado watabakia familia ya Glazzer kwa asilimia 75. Sir Jim...
  6. S

    Takwimu Za klabu Afrika zinazoongoza kwa kupiga Pasi Sahihi ( Wananchi #3)

    Gamondi ameongeza kitu Yanga tumpe Maua yake !
  7. Petro E. Mselewa

    Klabu Bingwa Barani Afrika: ASEC Mimosas yatangulia robo fainali

    Kufuatia ushindi wao wa 3-0 dhidi ya Galaxy hivi punde na kimahesabu, ASEC Mimosas wametinga hatua ya robo fainali ya Klabu Bingwa barani Afrika. Hadi sasa, ASEC wamefikisha alama 10 huku ikibaki michezo miwili. Simba wana alama 5, Galaxy alama 4 na Wydad alama 3. Kimahesabu, Simba au Galaxy...
  8. Petro E. Mselewa

    Klabu Bingwa Dunia: Al Ahly yatota kwa Fluminense, yachapwa 2-0

    Mabingwa wa soka wa Afrika kwa ngazi ya vilabu Al Ahly ya Misri imechapwa mabao 2-0 na mabingwa wa vilabu wa Amerika ya Kusini Fluminense ya Brazil. Fluminence sasa imetinga fainali ya Ijumaa hii na inamsubiri mshindi wa kesho kati ya mabingwa wa vilabu vya Ulaya Manchester City ya Uingereza...
  9. SAYVILLE

    Kocha Gamondi "Kombe la Shirikisho ni la kitoto, huku Klabu Bingwa ni kugumu sana, sidhani kama tutafuzu"

    Katika press ya kabla ya mechi ya Yanga vs Mtibwa, Kocha Gamondi alisema ukweli mchungu ambao inawezekana wanachama, mashabiki na wapenzi wa Yanga wangekuwa wanajua ngeli na ung'eng'e wakaweza kumuelewa, angekuwa na wakati mgumu sana. Gamondi alianza kwa kuomba msamaha kwa wale ambao...
  10. SAYVILLE

    Yanga wanaendelea kutumia mbinu za Shirikisho kwenye Klabu Bingwa

    Jana nilisikia kuwa Yanga baada ya mechi yao na Medeama, walizungumza na mshambuliaji wao hatari aliyewasumbua sana Jonathan Sowah kwa nia ya kumsajili. Nakumbuka msimu uliopita katika mashindano ya shirikisho, karibia kila timu iliyokuwa inacheza na Yanga, baada ya mechi ya kwanza na timu...
  11. Petro E. Mselewa

    Kiwango cha Simba kingekuwa kipimo cha Klabu Bingwa Afrika, michuano hii ingedharaulika sana

    Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano. Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo wacheza-klabu Bingwa Afrika. Wamekuwa wakiwabeza na kuwatweza Yanga kuwa michuano hiyo hawaiwezi na si...
  12. Gordian Anduru

    Malengo ya Nusu fainali unaburuza mkia na point 2 klabu bingwa

    Nimekuta watu wanajadili kuhusu malengo ya Nusu fainali na Kuwa na point mbili nadhani watakiwa wanaizungumzia Klabu ya Union Berlin ya ujerumani ambayo imeshika mkia kundi C linaloongozwa na Real Madrid. Nb. Zile kelele za Yanga ya mwisho Kwenye kundi Ina point 2 Bado zipo huko kwenu?
  13. S

    Young Africans sc klabu ya kwanza Tanzania kumiliki Jengo

    Rejea gazeti la mwananchi.
  14. S

    Klabu kubwa Ulaya Zimepata Hasara Wachezaji Wao Kuumia Euro /WC Q 2024/ 2026

    Kutokana na ratiba ngumu na wachezaji kukosa muda wa kutosha kumpumzika imepelekea Baadhi ya wachezaji kuwa na kipindi kigumu ikiwemo majeraha wakati timu ya taifa Ina wahitaji na vilabu navyo vinawahitaji. Barcelona itamkosa Gavi kwa msimu wote uliosalia kwa majeraha , na wanajiandaa kupeleka...
  15. Majok majok

    Viongozi wa Simba ndio tatizo la kwanza kwenye klabu, wajitathimini wao kwanza kabla ya kuwatoa kafara wengine!

    Viongozi wa Simba na mwekezaji wake ni watu wa propaganda nyingi sana na wamekuwa wakiishi hivyo kwa mda mrefu walicheza na akili za wanachama wao! Jambo hili limekuwepo kwa mda mrefu na ilikuwa ni suala la muda tu ufike waumbuke, awa wakina Try again, mangungu, Mo mwenyewe, wamekuwa ni watu wa...
  16. Uwesutanzania

    Ushauri wangu kwa Uongozi wa Klabu yangu pendwa ya Simba SC

    Awali ya yote niwape salamu mbiu Tabuleleeee (itikia Laaaaaa). Hii ni baada ya matokeo ya jana tarehe 5-11-2023, 1-5. Mashabiki wenzangu wa Simba naomba tuwe wavumilivu katika kipindi hiki kigumu cha maombolezo. Hili ni pito ambalo hata Yanga alipitia kwa miaka mi4 mfululizo. Turudi kwenye...
  17. Majok majok

    Yanga ni Klabu Bora Afrika kwa Mwaka 2022/2023 ndio maana imeingia kwenye Tuzo za CAF!

    CAF wanathibitisha ubora wa Yanga kivitendo ndio maana wameiteua kuingia kwenye tuzo zao za kuchagua Timu Bora barani Africa kwa mwaka 2023. Yanga ni timu pekee kwa Ukanda wa Africa Mashariki iliyoingia kugombania tuzo hizo! Yanga hawakuingia kwa bahati mbaya bali wamebebwa kwa mafanikio yao...
  18. BRN

    Pre Season 2024/2025 Simba inaweza kuileta klabu kubwa ya soka kutoka EPL

    Leo tarehe 31 Octoba, 2023 Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar amefanya ziara ya kutembelea timu ya Simba na kufanya mazungumzo na viongozi na watendaji wa timu ya Simba. Kwa namna Simba walivyo na mikakati naona moja ya mazungumzo/maombi ya Simba kwa Mhe. Balozi itakuwa...
  19. Lupweko

    Djibril Sylla: Kutinga hatua ya robo fainali mara kwa mara kumeifanya Simba kuwa klabu maarufu Afrika

    Wakati wengine wakibeza kitendo cha Simba cha miaka kama mitano ya hivi karibuni kuishia hatua ya robo fainal ya michuano mbalimbali ya Afrika maarufu kama 'mwakarobo' (CL x3, CC x1 na AFL x1), kumbe jambo hilo kwa wachezaji wenyewe wa nchi mbalimbali za Afrika (sio washabiki wa Bongo)...
  20. Petro E. Mselewa

    Nabi 'chali' Klabu Bingwa Afrika

    Mabingwa watetezi wa Morocco, FAR Rabat wanaofundishwa na kocha wa zamani wa Yanga Nabi, wametupwa nje ya Klabu Bingwa Afrika kwa kuzabwa mabao 3-1 kwa matokeo ya jumla na Etoile du Sahel ya Tunisia. FAR Rabat wamepigwa nje-ndani baada ya kupoteza kwa 1-0 na 1-2 kwa mechi za ugenini na...
Back
Top Bottom