klabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. TFF inajua sana 'kuidhalilisha' na 'kuisanifu' klabu moja kubwa na kongwe mno nchini Tanzania

    Kuna muda ilitoa Maamuzi (Taarifa) fulani kuwa Wao ndiyo wameongoza sijui kwa kujaza Watu Uwanjani na kama kawaida yao Washamba na Mashabiki zao 'Oya Oya' wengi 'Wakashangilia' Mwezi mzima utadhani ndiyo wamebeba Kombe la VPL. Hatimaye leo ndiyo TFF katika Utoaji wa Tuzo zake imeamua kuwafanyia...
  2. E

    SoC01 Jinsi vijana wanavyoweza kujifunza TEHAMA

    Habarini wana Jamii Forum ni matumaini yangu yote ni wazima. Andiko langu linahusu jinsi TEHAMA inavyoweza kusaidia vijana katika kupanua uwelewa wao na kuweza kutumia ili wajipatie kipato. Utangulizi: Idara ya Teknolojgia na Mawasiliano imekuwa sehemu muhimu sana katika karne hii ya kisasa...
  3. Another milestone: Klabu ya Simba SC na shirika la ndege ATCL zaingia mkataba wa udhamini kwa miaka miwili

    Klabu ya soka ya Simba ya Dar es Salaam na shirika la ndege Tanzania, ATCL zimeingia mkataba wa miaka miwili wenye thamani ya takribani milioni mianne. Katika makubaliano hayo, Shirika la ndege ATCL litakua ndio mshirika rasmi wa klabu ya Simba katika masuala ya safari za anga za ndani na nje...
  4. M

    Aucho ana Kesi na Klabu yake Uarabuni, Djuma hajamaliziwa Pesa na Mayele Klabu yake Congo DR haijamaliziwa Ada yake

    Si mnajifanya mnafichaficha huku mkitumia muda mwingi Kuvihonga Vyombo vya Habari nchini viiseme vibaya Simba SC na nyie viwe vinawapamba tu? Haya Waambieni sasa akina Bumbuli na Manara waje wawape Ufafanuzi na Ukweli uliopo juu ya hawa Wachezaji wenu Watatu niliowataja katika Headline yangu...
  5. N

    Klabu kubwa 40 afrika hadi leo tarehe 25/08

    kama team yako haiko kwenye list kuwa na heshima na adabu halafu kaa kimya heshimu wakubwa zako
  6. K

    Athari za TFF kutoa ruhusa klabu za Ligi Kuu Kusajili Wachezaji 12 wa kigeni

    kwa hatua hii bila shaka itauwa vipaji vya soka la vijana wetu kwani ni wazi sasa vilabu havitakuwa tena na mda wa kupoteza wa kulea vijana ili hali kuna soko tayari nje nje la vijana kutoka nje waliolelewa vizuri na wapo tayari kutoa matokeo mazuri (ikumbukwe lengo kuu la wamiliki wa vilabu...
  7. N

    Klabu ya Mouloudia Oujda yamtaka Mukoko

    Atleast hii hela itaingia kwenye hazina ya GSM siyo kama ile ya Tuisila aliyekuwa kwa mkopo pale kidimbwi. Klabu ya Mouloudia Oujda ya nchini Morocco imetuma ofa kwa klabu ya Yanga kuitaka saini ya kiungo Mukoko Tonombe.
  8. C

    Chelsea ya Tuchel na kuchukua makombe ya klabu bingwa ulaya Back to Back nini maoni yako katika hili

    Chelsea hawakubahatisha kubeba ubingwa wa UEFA, kwa maana hiyo watabeba tena back to back, kiuhalisia ulaya nzima hakuna kocha world class wa kubattle na Tuchel kimbinu, hilo limedhihirika last season, sababu alifungwa na makocha wenye cv ndogo wasio na tictics yaan makocha wanaofundisha soka la...
  9. Ntibanzokinza: Yanga ni klabu ya kienyeji

    Mwamba kafunguka mara baada ya kutemana na Yanga, Wana Yanga msijifiche kwenye stori za Bilioni 20 za Mo, kwanini klabu yenu inaendeshwa kienyeji?
  10. Ukweli Mchungu kwa Wanasimba: Televisheni ya Yanga kuwa na Thamani kubwa kuliko Klabu ya Simba ni upumbavu

    Naam kuweka uelewa sawa ni vyema nikafupisha mada. Lakini sitakuwa sawa kama sitowapongeza wanamsimbazi kwa ubingwa na hatua kubwa waliyopiga kwenye soka kwa miaka hii minne. Lakin pia niwapongeze kwa wapenzi wa timu ya Simba kwa support yao isiyokatika kwa timu yao. Tumekuwa tukifuatilia...
  11. KARMA: Manara uliwanyea wenzio nje ya Simba, leo klabu imekukataa wenzako nao wamekuacha unyewe

    Kwa ufupi tu, Kuna wasemaji na wahamasishaji wengi wa Vilabu vya michezo hapa Nchini kuanzia Masau Bwire, Bumbuli, Nuggaz, na wengineo. Hawa wana jukumu kubwa la kuhamasisha mashabiki, kujenga mahusiano na klabu zingine, kujenga mahusiano jamii ya habari na taaasisi zingine nje ya mpira. Pia...
  12. Hans Pope: Manara hataki kusaini mkataba ambao atalipwa milioni 4

    Hans Pope ameeleza sababu za Manara kukataa kusaini mkataba na Simba ambao ni mil 4 akiogopa kujifunga kwani unamkataza kufanya kazi na kampuni zingine nje ya Simba.
  13. Je, duniani kote Mchezaji mahiri Siku ya Kuagwa na Klabu yake huanzia Benchi na kuishia Kumwagiwa tu Maji 'Vumbi' ya Kandoro?

    Kuna Waafrika wachache wanasababisha Waafrika wote tuonekane si tu Wapuuzi bali Washamba sana hapa duniani. Tuacheni Kukurupuka tunachekwa sana.
  14. Mkutano Mkuu wa Yanga SC leo umeharibiwa na shabiki wao aliyesema Klabu ya Real Madrid inatokea nchini Ufaransa

    Kuna Utafiti uliwahi Kufanywa na ukaja na Matokeo kuwa 90% ya Mashabiki wa Yanga SC ni Mbayuwayu ( Watupu Vichwani ) wengi Wetu ( hasa Wadau wa Soka) nchini tukabisha na kukataa ila leo tumejiridhisha na Kuamini. Katika hali ya Kushangaza (ambayo kamwe hutoweza kuikuta kwa Mashabiki Werevu tupu...
  15. Msemaji wa Yanga SC Hassan Bumbuli: Msamaha wa Metacha Mnata 'Mtandaoni' Klabu ya Yanga hatuutambui kabisa

    " Yaani ameacha Kutuandikia Barua kama Klabu ya Kutuomba Msamaha Yeye Kakimbilia Kuomba Msamaha Mtandaoni kana kwamba huko Mitandaoni ndiko Kumemuajiri Yeye. Naona ndiyo amezidi tu Kuharibu hivyo Sisi kama Klabu tutaendelea na Kikao chetu cha Nidhamu Kumjadili na kuja na Maamuzi juu yake "...
  16. Serikali (Waziri Bashungwa) tafadhali toeni tamko lenu la kimamlaka kuhusu ''Uhuni'' unaendelea kufanywa na klabu ya Yanga

    Sasa ni Mwezi unakatika kila ukiamka tu ni lazima ukumbane na Makundi mbalimbali ndani ya Klabu ya Yanga wakisema kuwa hawatocheza Mechi yao na Simba SC iliyopangwa Kufanyika tarehe 3 July, 2021. Kila hawa Wapuuzi na Wahuni (Yanga SC) kupitia Makundi yao Kuanzia Msemaji wao Mshamba ( Mbwiga )...
  17. W

    Chelsea mabingwa wapya UEFA 2020/2021

    Ni kweli mbinu za Thomas zitawasumbua makocha wengi barani Ulaya au ndo kakutana na ganda la ndizi? --- Chelsea win the Champions League with a 1-0 victory over Manchester City in Porto Credit: Alexander Hassenstein/Uefa via Getty Images Nothing less than a revolution against the Pep...
  18. Klabu sita zaingia katika vita kubwa ya kutaka kumsajili Aguero

    Everton imejiunga na Chelsea, Leeds United, Tottenham, Barcelona na Inter Milan ambao wanataka kumsajili mshambuliaji wa Argentina Sergio Aguero, ambaye atapatikana kwa uhamisho huru atakapoondoka Manchester City msimu wa joto. (Daily Star on Sunday). Mshambuliaji wa Misri Mohamed Salah...
  19. Meya aagiza mabosi Moshi klabu kukamatwa

    Moshi. Meya wa manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameagiza kukamatwa kwa wajumbe wa bodi ya wadhamini ya kiwanja cha gofu cha klabu ya Moshi Mkoa wa Kilimanjaro na kuwekwa ndani kwa madai ya kutolipa Sh26 milioni za kodi ya ardhi tangu mwaka 2013. Pia, ameitaka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na...
  20. U

    Huyu Mwamba Naona Sasa Ameamua Kuwa Mpenzi wa Klabu ya Chelsea

    Sura maarufu sana na iliyozoeleka Nimeikuta hiyo picha sehemu nikaona itapendeza nikiwaletea na nyie muione japo sina uhakika na usahihi wa sura na hiyo jezi Naambiwa huyu mwamba kumbe asili yake ni Mahuta Newala Mkoani Mtwara
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…