kmc

KMC Hospital, also known as Kasturba Medical College Hospital (Mangalore) is a hospital situated in Mangalore city of Karnataka in India. It has branches in the city near Jyothi Circle (Dr. B R Ambedkar Circle) and at Attavar respectively.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Tetesi: Uwanja wa KMC kufungwa kamera maeneo yote muhimu

    Habari za asubuhi waungwana! Wamiliki wa uwanja wa 'KMC COMPLEX' wameamua kufunga kamera za kurekodi matukio (CCTV camera) sehemu nyeti za uwanja huo. Akizungumza kwa sharti la kutotaka jina lake litajwe mmoja wa wasimamizi wa uwanja alidokeza kuwa sehemu zitakazofungwa kamera ni pamoja na...
  2. Yanga yahamishia makazi katika Uwanja wa KMC Complex

    Hiyo ni baada ya vipigo viwili mfululizo. Hapa sasa ndio kuna kitu ambacho uongozi wa Yanga unatuacha njia panda sisi wadau wa soka. Kama management iliona tatizo la wao kupoteza mechi mbili lilisababishwa na uwanja, kwanini wamuwekee vikao Gamondi usiku wa manane? Tushike lipi sasa? Tatizo...
  3. M

    Mashabiki ya Yanga sc hawautaki tena uwanja wa Azam complex- Chamazi! Wataka mechi zao zikachezwe KMC complex stadium

    Lilikuwa suala la muda tu baada ya Bundi mzee kuwika katika uwanja wa Chamazi, klabu namba moja kwa masuala ya ushirikina Tanzania. Daima mbele nyuma mwiko kuanza harakati za kuukimbia uwanja wao wa nyumbani ,Chamazi na kutaka kuja kuutumia uwanja wa KMC unaotumiwa na mahasimu wao wanaoongoza...
  4. Simba wawe makini sana dhidi ya KMC

    -Simba vs Kmc Moja kati ya Timu iliyochangia Simba kukosa ubingwa misimu ya hivi karibuni ni Kmc...Simba amekuwa akipata changamoto sana anapokutana na Kmc hasa mzunguko wa kwanza. Msimu uliopita Simba ililazimika kutoka nyuma na kusawazisha dakika za jioni baada ya kuruhusu mabao mawili kwa...
  5. FT: Yanga SC 1-0 KMC FC | NBC Premier League | Azam Complex | September 29, 2024

    Match Day 🏆 #NBCPremierLeague ⚽️ Young Africans SC🆚KMC FC 📆 29.09.2024 ⏰ 2100hrs 🏟 Azam Complex #Daimambelenyumamwiko# KIKOSI CHA YANGA KINACHOANZA LEO. KIKOSI CHA KMC UPDATES.... 04' Yanga wanapata Goli kupitia kwa Max Mpia Nzengeli 1-0 19' Yanga wanapata kona ya kwanza. Inaanzwa kona...
  6. Kengold wangekamia SBS, KMC au Kagera Sugar kama walivyomkamia Yanga wangevuna walau alama moja

    Hizi timu za Ligi kuu zinasikitisha sana, kumfunga Yanga au kutoa sare haikufanyi upate alama tatu muhimu! Bali nguvu mbinu na mikakati mnayowekeza kukabiliana na Yanga mngewekeza kwenye vilabu vingine hakika mngevuna alama nyingi Sifahamu huwa wanafundishwa nini huko kambini, Ila laiti kama...
  7. Mechi ya jana Azam vs KMC goli la Iddy Nado kapiga chenga mabeki watano mpaka kipa kisha kufunga, kuna viashiria vya upangaji matokeo?

    Wakuu, Nimeona clip kijana wa azam akipiga chenga mabeki wa KMC kisha wakawa wanajiangusha, Mabeki watano na kipa wa sita, tena akiwapita wanajiangusha na kunyanyuka kisha wanamuangalia tu kwa kusimama wala hawamkimbizi. Kuna viashiria vya upangaji matokeo Najaribu kuiweka clip inagoma...
  8. Kasoro kubwa nilizoziona katika ujenzi wa uwanja wa KMC Complex

    Pamoja na wazo jema la ujenzi wa uwanja wa KMC Complex, naomba nijikite kutoa kasoro kadhaa nilizoziona katika mradi huu. Kasoro zangu zitajikita katika maeneo yafuatayo: 1. Design 2. Gharama za matumizi 3. Ufinyu wa nafasi SEHEMU YA 1: DESIGN Ukiangalia design ya ujenzi wa uwanja huo umekaa...
  9. Vilabu mmesikia huko: Kukodi Uwanja wa KMC ni milioni 6

    Vilabu vya Tanzania ambavyo havina viwanja na kila msimu wanakodisha viwanja wakiwemo watoto wa Kariakoo Yanga SC na Simba SC ambao wamekuwa watu wakukodi viwanja kwa miaka mingi ili kutumia katika mechi zao za nyumbani. Mfano katika msimu uliopita wa 2023/2024 Yanga walitumia uwanja wa Azam...
  10. Full Time | KMC FC 1 - 1 | Coastal Union| Ligi Kuu NBC| KMC Complex|29 Agosti, 2024

    KMC FC wakiwa katika dimba lao la nyumbani wamekubali kuvutwa shati na Coastal Union ya Tanga kwa kutoka sare ya 1-1. Timu zote hizi mbili ni mchezo wao wa kwanza katika msimu huu wa 2024/2025 wa ligi kuu ya NBC. Goli la KMC limefungwa na Ibrahim Elias…. Dakika 32, goli la Coasta Union...
  11. Serikali ilikosea kujenga uwanja wa Mkapa Temeke. Hongera KMC kwa uwanja mpya, mpira umesogezwa kwa wastaarabu

    Yanga wamekimbia Chamazi Mpaka leo sijui nani alisema uwanja wa Mkapa ujengwe Temeke jirani na uwanja wa Uhuru zamani Taifa. Haikuwa sahihi kurundika viwanja viwili vikubwa sehemu moja, hatuna uhaba wa ardhi nchini, Uwanja wa Mkapa ungejengwa Tanganyika Packers kwa Mwamposa. Mimi binafsi...
  12. FT: Ubaya Ubwela: Simba SC 3-0 Tabora Utd/KMC Complex-18/8/2024

    Ni jioni ya leo saa 10:15 pale KMC Complex. Ubaya Ubwela
  13. M

    Dearby ya Simba na Yanga kupigwa KMC complex

    Mchezo wa watani wa jadi Simba na Yanga unatarajia kupigwa Oktoba 19 katika uwanja wa KMC comlex uliopo mwenge Dar es salaam, Imetolewa katika ratiba ya bodi ya ligi Tanzania (TPLB) leo inayoonyesha ratiba hiyo katika uwanja huo unaoweza kubeba mashabiki 6000 tu. Aidha pambano la Simba SC na...
  14. Tafadhali Uongozi wa Simba SC muonyeni Dogo Kipa Ali Salim aache tabia yake mpya aliyoirithi kwa Rafiki yake wa KMC FC ya 'Kutuumizia' Makipa Wetu

    Alikuwa ameanza vizuri tu, ila nae sasa kawa Mpuuzi wa kupenda yale mambo yetu ya Kienyeji / Kuroga kwa Kuumiza Wenzake. Mwambieni huyu aliyekuja Leo yaani Kihistoria tu nchi aliyotoka kama hujui Kuroga / Kupuliza hupewi ng'o 'Passport' ya kwenda nje ya hiyo nchi nikimaanisha kuwa amekuja akiwa...
  15. Aisee uwanja wa KMC ni mzuri kuliko uwanja wa Azam

    Wapewe maua yao hawa KMC, Manispaa zingine nazo ziige mfano kwa KMC Nilikuwa naangalia Kagame cup, nimeuangalia uwanja wa KMC nikajua mzee Bakhresa kafanya ukarabati mkubwa, Mechi iliyofuata ya saa 12 nikashangaa kuona minazi na majumba nje ya kuta za uwanja ndipo nilipogundua kumbe ni azam...
  16. KMC wanapaswa kupongezwa sana kwa kujenga KIWANJA kizuri Cha mpira

    Ukiangalia uwanja wa kmc unaona kabisa ni KIWANJA kizuri na chenye standard nzuri ukuta na hata majukwaa na vyumba Hii Inanipa sababu kabisa ya kuwaomba bodi ya ligi na tff mwakani kuwa team za ligi kuu zitumie 1.Uwanja wa Mkapa. 2.uwanja wa uhuru. 3.uwanja wa Azam 4.uwanja wa Mkwakwani(maana...
  17. Head Of Legal Service at KMC FC

    Kinondoni Municipal Council Football Club (KMC FC) invites dynamic and suitable qualified personnel to fill vacant posts as mentioned below: THE KINONDONI MUNICIPAL COUNCIL FOOTBALL CLUB (KMC FC) The Kinondoni Municipal Council Football Club (KMC FC) owned by Kinondoni Municipal Council is a...
  18. Head Of Finance And Administration at KMC FC

    Kinondoni Municipal Council Football Club (KMC FC) invites dynamic and suitable qualified personnel to fill vacant posts as mentioned below: THE KINONDONI MUNICIPAL COUNCIL FOOTBALL CLUB (KMC FC) The Kinondoni Municipal Council Football Club (KMC FC) owned by Kinondoni Municipal Council is a...
  19. Marketing Manager at KMC FC

    Kinondoni Municipal Council Football Club (KMC FC) invites dynamic and suitable qualified personnel to fill vacant posts as mentioned below: THE KINONDONI MUNICIPAL COUNCIL FOOTBALL CLUB (KMC FC) The Kinondoni Municipal Council Football Club (KMC FC) owned by Kinondoni Municipal Council is a...
  20. FT: Simba SC 1 - 0 KMC | NBC Premier League | Sheikh Amri Abeid Kaluta Stadium -Arusha | 25.05.2024

    Leo Timu bora kuliko zote Africa Mashariki na Kati kwa mujibu wa CAF, Mnyama Simba Sport Club anakutana na KMC katika mchezo wa NBC Premier League. Simba inaingia uwanjani ikiwa inawania nafasi ya pili ambayo inaishikilia timu ya Azam hivyo ushindi pekee ndio utakaoiweka katika nafasi nzuri ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…