kmc

KMC Hospital, also known as Kasturba Medical College Hospital (Mangalore) is a hospital situated in Mangalore city of Karnataka in India. It has branches in the city near Jyothi Circle (Dr. B R Ambedkar Circle) and at Attavar respectively.

View More On Wikipedia.org
  1. Kurunzi

    Mechi Kupelekwa Arusha: Simba na KMC lao Moja

    Kwa tuliosoma Cuba kuna mchezo unafanyika kwa kutupumbaza wa game fixing Simba na KMC kwa wale watu wenye upeo mkubwa Kauli ya Ahmed na taarifa ya KMC ni kutupumbaza tu. Kuna mtu anataka point za mezani hapa
  2. GENTAMYCINE

    Najiweka pembeni juu ya huu Unafiki na Kuonewa wazi wazi kwa KMC FC ili tu Simba SC yangu itengenezewe Mazingira ya Kimagumashi iwe Mshindi wa Pili

    Najua tu kuna wana Simba SC watanichukia kwa hili, ila ukweli ni kwamba TFF, TPLB na Simba SC wanaionea KMC FC.
  3. towashi wa kushi

    Msemaji wa KMC: Tutaenda uwanja wa Meja Isamuyo kucheza

    Picha inajieleza na kaambatanisha na kanuni za league kuu ya Tanzania bara. Kwako Karia TFF na bodi ya league yako, tunakufuatilia tuone mtaamuaje mechi hiyo. Mnatutia aubu na kuturudisha zama za ujima wakati tunaweka mpira kwapani. League ya 6 kwa ubora Afrika inayumbishwa na kupindisha...
  4. NALIA NGWENA

    TFF na Bodi ya Ligi inavunja kanuni za mpira ili kuilinda Simba sc dhidi ya KMC

    Kanuni inasemema "Taarifa ya mabadiliko ya uwanja inatakiwa kutolewa siku 7 kabla ya mchezo" lakini imekua tofauti kabisa kwenye mchezo wa Simba sc vs KMC kwani jumamosi iliyopita timu ya KMC ilipewa taarifa kuwa Mchezo wao dhidi ya Simba sc utachezwa kwenye uwanja wa Generali Isamuyo na cha...
  5. Majok majok

    Simba kuamisha mechi yenu na KMC Tarehe 25 na kuipeleka arusha mnakwepa shamra shamra za ubingwa wa Yanga siku iyo?

    Nimepata taarifa za Simba kuomba mechi yake na KMC ikapigwe Arusha badala ya uwanja wa awali uliotakiwa ipigwe mechi husika wa meja isamuyo kule mbweni! Ninachokiona hapa kina jaribu tena wameona mashabiki watakuwa wachache na ikichochewa na jambo la yanga inayotegemea kufanya sherehe zake za...
  6. M

    Chama, Kibu na Mickson kama wako vizuri wacheze vs KMC, gemu ni ngumu sana hiyo viongozi wa Simba

    Michi vs KMC ni ngumu, ili tuwabamize mabao 5 ni lazima tuwenna quality players, Ile mechi ya Jana vs Geita angekuwepo Chama, Kibu ambaye alikuwa majeruhi na Mickson wangeweza kuibuka na hata mabao 6 jana, hawa akina Balua bado utoto na uchale mwingi, Jana kama Onana angeanza angalau na yule...
  7. Hismastersvoice

    Kumbe timu ya KMC inayogharamiwa na manispaa ya Kinondoni si ya serikali!

    "Huku akisema CCM haikubaki nyuma kwenye michezo na ndio maana inamiliki timu kwenye ligi kuu, ambayo ni KMC ya Kinondoni, kiukweli sikuwahi kudhani timu ile ni mali ya CCM". Haya yalisemwa na Bananga kwenye uzinduzi wa Ramadhan Cup iliyoanzishwa na CCM. Kutokana na pande zote mbili za nchi...
  8. Vincenzo Jr

    FT: KMC 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | Jamhuri Morogoro | 17.02.2024

    NBCPremierLeague ️ KMC SC Vs Yanga SC 17.02.2024 Jamhuri Morogoro 10:00 jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya KMC FC Mpira umeanza dakika ya 1 Mudathir anaipatia Yanga SC goli la kwanza Goli la mapema zaidi, limefungwa na Mudathir Yahya akiitanguliza Yanga KMC 0-1 Yanga Dakika ya 10...
  9. uran

    FT: KMC 2 - 2 Simba SC | NBC Premier League | Azam Complex Stadium | 23.12.2023

    Leo Itapigwa mechi ya ligi kuu ya Mwisho kwa Mwaka huu kwa Upande wa Simba na KMC. Muda ni Saa 10 Jioni. Kila la heri mnyama. Kikosi Cha KMC Kinachoanza Kikosi cha Simba Kinachoanza Nguvumoja. Dakika ya 32' KMC wanapata goli la Kwanza Kupitia kwa Waziri. Game On. KMC 1 - 0 Simba HT...
  10. Suley2019

    FT: Azam FC 5 - 0 KMC | Ligi Kuu ya NBC | Azam Complex | 07/12/2023

    NBC Premier League leo Alhamis Saa 3:00 Usiku AzamFC watakuwa Azam Complex wakiwaalika KMC Kocha Abdi Moallin wa KMC anarudi kwa waajiri wake wa zamani Je, atwaadhibu ama mambo kuwa magumu? --- Kikosi cha Azam kilichoanza Kikosi cha KMC kilichoanza
  11. Expensive life

    Yanga sc na Kmc watauana kugombea nafasi ya tatu Nbc premier league.

    Kama msmaimo unavyoonekana kumeibika mapigano makali kati ya Kmc na yanga kugombania nafasi ya tatu.
  12. GENTAMYCINE

    Kufurahia 5 za KMC na ASAS ukisahau 5 na 6 ulizofungwa ni uwendawazimu ulioutukuka

    Na hapa sijazisemea zile nne nne ambazo wamepigwa sana hadi moja Kipa Peter Manyika alimuomba Mzee wa Kiminyio Madaraka Selemani asimfunge goli la 5 kwani wangedhalilika na yeye asingeaminika tena golini. Mkiambiwa washamba mnachukia.
  13. K11

    FT: NBC Premier League: Yanga SC 5-0 KMC FC | Azam Complex Stadium | 23/08/2023

    Mabingwa watetezi Yanga SC wanaanza mbio za kulitetea taji la NBC kwa kumenyana na KMC. Mechi hii itapigwa kuanzia saa 1:00 katika Dimba la Azam Complex Katika mechi 10 walizokutana kwenye ligi kuu tangu wapande daraja msimu wa 2018/19, KMC wameshinda mara moja pekee dhidi ya Yanga, huku sare...
  14. GENTAMYCINE

    Baada ya kujua Mbeya City FC wana Uyanga mwingi najitolea kufanya Fitna ili ifungwe na KMC FC na ishuke kabisa Daraja

    Kocha wa KMC FC na Mtoto wa Mjini Mwenzangu Jamhuri Kihwelo ( alias Julio ) najua leo mmefungwa nao Goli 2 kwa 1 huko Kwao Mbeya na Ijumaa mnarudiana nao Dar es Salaam hivyo tulia wana Simba SC Wenzako tuicheze Kimafia na Kimjinimjini hiyo Mechi uwafunge Goli 3 au 4 kwa bila ili mbakie Ligi Kuu...
  15. GENTAMYCINE

    TAKUKURU tafadhali vifuatilieni hivi Vilabu viwili vya Police Tanzania na KMC kwa Mechi zao za sasa

    GENTAMYCINE nimezoea kuona Rushwa na Makondakta wa Dala Dala kwa Matrafiki. Ila hii Rushwa ya Kitaalam inayotolewa na Vilabu Viwili Police Tanzania na KMC vinavyopambana kutokushuka Daraja haivumiliki na itaharibu Mpira wetu. TAKUKURU nawaombeni kamateni Simu za Viongozi wote wa Vilabu vya...
  16. GENTAMYCINE

    Kocha wa KMC Mburundi Thierry Hitimana apimwe Akili upesi huenda hayuko sawa

    Kwenye Mchezo wa Jana ( Wenyeji wa Mechi ) walikuwa ni KMC ambao kwa sababu zao wenyewe waliamua Kuukimbia Uwanja wao wa Nyumbani wa Uhuru Mkoani Dar es Salaam na kuamua kuipeleka Mechi hii CCM Kirumba Mkoani Mwanza. Baada ya Utangulizi huu sasa GENTAMYCINE nawawekeeni Nukuu ya Kauli ya Kocha...
  17. GENTAMYCINE

    Mshambuliaji wa KMC FC Mateo Antony, wewe ni 'Mnafiki' na zaidi ya 'Yuda Iskarioti' katika Biblia

    Na usije tena maskani yetu Tegeta kwa swahiba wako mkuu na bingwa wa kucheza mechi za Ndondo Tanzania nzima Kudra Omary. Binafsi kama mwana maskani wako hapo leo nakwambia nakuchukia rasmi kwa kuendekeza Uyanga wako na siyo kucheza mpira na kuisaidia timu yako ya KMC FC ipate ushindi dhidi ya...
  18. GENTAMYCINE

    Kipa wa KMC FC tukutane wapi unigawie kidogo hela uliyopewa kwa kuwapa goli jepesi la jioni?

    Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC. Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
  19. Linguistic

    FT: Yanga SC 1-0 KMC | NBC Premier league | Benjamin Mkapa Stadium

    Karibuni katika mtanange huu wa kukata na shoka baina ya Yanga na Kmc utakaochezwa saa 1 jioni Estadio De Benjamin Mkapa. . Huu ni mchezo wa namba 69 wa Ligi Kuu ya NBC 2022/2023. . Yanga akiwa ni mwenyeji wa mchezo wa leo dhidi ya Kmc. . Karibuni Wakuu. ======= 01' Mtanange umeanza Benjamin...
  20. GENTAMYCINE

    Msemaji wa KMC Mwanadada mbona hubwatuki kwa mbwembwe kama kawaida kwa mechi yenu na Yanga SC leo?

    Mbona ukiwa unakaribia kucheza na Simba SC huwa hunyamazi na huwa 'Unabwatuka' mara kwa mara tena hadi kuwapigia simu waandishi Ili wakuhoji kuhusu maandalizi juu ya mechi ya Simba SC? Cha kushangaza leo unaenda kucheza na Yanga SC, ila kwa takribani wiki au aiku tano hujasikika kabisa...
Back
Top Bottom