knowledge

  1. M

    Naomba ufafanuzi kuhusu kozi hii

    Habari wakuu!! Ningependa kuuliza kama kwa hii (Msc IT Management) program Content inatosha mtu kuwa na Technical knowledge za IT au zipo based on Management tu CORE COURSES COURSE TITLE CODE Units TCU CREDITS Scientific Research Methods OCS 601 1 10 IT Entrepreneurship and...
  2. Ramsy Dalai Lama

    Ni kitu gani ulikuwa hukijui lakini ukaja kukijua/kujifunza na ungependa wengine wakijue/wajifunze

    Katika maisha yetu ya kila siku tunajifunza vitu vipya ambavyo hatukuwa tukijua kabla. Inaweza ikawa umejifunza kutoka kwa mtu, ama mahali, kwenye mtandao (internet), kwenye masomo especially wale wanaosomea kitu flani, au sehemu ulienda ukajifunza kitu kipya, lakini pia hata katika experience...
  3. E

    Tunahitaji kuwekeza kwenye engineering knowledge ili tupige hatua zaidi

    Ukikaa na kijana wa kiyahudi (Israeli) anachowaza ni kuvumbua, mtoto analelewa tangu mtoto kuwa yeye anaakili sana na anapaswa kuzitumia kuvumbua. Tuje kwetu kijana anahitimu degree hajaenda field na hajui atafanya kazi gani baada ya kuhitimu na hata ukimwajiri tofauti yake na form four ni...
Back
Top Bottom