Uyu kocha nae ni kituko tu kipo pale,,ameshindwa kuelewa kwamba Mpira kuisha ni mpaka kipyenga cha mwisho cha mwamuzi.
Yeye badala ya kuhimiza wachezaji wake waongeze Umakini kwakuwa Mpira ulikuwa bado kuisha yeye ndio akawa kinara wa kuhimiza mashabiki washangilie ushindi wakati Mpira ulikuwa...
Mbinu za uyu kocha ni zile zile abadiliki nilikwishasema kwenye bandiko langu lililopita nilipomfatilia kwenye mechi 5 zilizopita za ligi,,anapokutana na kocha anayecheza kimbinu anapata tabu sana!
Dk zote 90 ukiondoa goli la penalty ambalo na lenyewe lilisababishwa na makosa binafsi ya beki wa...
Match Day
Simba SC vs Bravos do Maquis FC
Time 1600hrs
Kikosi Cha Simba Kinachoanza.
#Nguvumoja
Updates...
1'
Mpira umeanza kwa kasi, Simba wanamiliki mpira wanapeleka shambulizi ndogo kwa Bravos.
3'
Game on
0-0
7'
Simba wanafanya shambulizi kwa Bravos halifanikiwi.
Wanashindwa kudhibiti...
Wakati mashabiki wa SSC wapo kwenye shangwe la ushindi, mimi Omoyogwane kuna kitu nakiona ambacho wengi hamkioni.
Kocha Fadlu mbinu zake ni zile zile hii mechi ya 11 makocha wa mikoani washaanza kumuelewa na kutafuta muarobaini wa mbinu zake
Kikawaida hupanga mabeki wanne nyuma ambao...
Mechi ya Simba na Mashujaa ilikuwa ngumu, lakini sub alizokuja kufanya kocha sijaelewa ilikujaje kuleta matokeo, maana galfa umiliki ukahamia kwa Simba.
Najua wengi walishtuka Shabalala kutolewa halafu anaingia Nouma, Ateba alitolewa tukaanza kuwa na mashaka na Mukwala ni kama kikosi...
Alishinda mechi moja kati ya 15, Maritzburg ikashuka daraja, baada ya hapo akawa Msaidizi hadi kaja kuibukia huku, sisi tunajua quality yake ni ndogo, huwezi kumlinganisha na Gamondi ni ndogo mno.
Mimi ningepewa ile Pamba nikae nayo wiki moja tu, nawafunga wale"
Kuna changamoto kubwa sana kwenye sehemu ya fitness ya wachezaji wa Simba na hii inaweza ikawa inasababishwa na mwalimu ndo maana Kuna wakati unaona wachezaji wanatafuta walimu binafsi wa mazoezi".
Ukiangalia jinsi ambavyo wachezaji wa Simba mikimbio Yao unawaona kabisa hawana Fitness,angalia...
Hii umeona wapi!? Kocha wa taifa. Ana kuwa pia kocha wa team ya league at the Same time.
TFF watoe majibu?
Pichani ni makocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Hemed Suleiman ‘Morocco’ na Juma Mgunda walipokuwa mazoezini leo katika dimba la KMC, Mwenge.
Makocha hao wanaiongoza Stars...
Hili lipo tokea Miaka mi 3 nyuma iliyopita ambayo Yanga katawala soka la Tanzania.
Ndio kitu hata Match ya Leo kimewa adhibu Simba SC bado kila kocha anaekuja Simba hana uwezo wa kumsoma mpinzani hasahasa akiwa nae Live.
Makocha wa Simba wanasoma Mchezo kabla na sio ukiwa unaendelea. Hilo the...
Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho dhidi ya Yanga ni wa kawaida na hana presha nao na yupo tayari kuibuka na ushindi. Yapi maoni yako?
Rejea kichwa cha habari hapo juu
Unabiii auishi mpaka utimie
Kocha mpya wa Simba simuoni akifikaa Januari 2025
Si kwa nia mbaya Benchika alienda na benchi lake kuuguza mkewe
Huyu ataondoka kuuguza mkwewe, mtaniambia
Ushauri
Tatafuta soon plan B ya kocha Simba
Kama mnavyojua malengo waliyoku aliana Simba na Bechika ni kuipeleka simba nusufainali na sasa kafeli hivyo amebreach mkataba,hivyo uongozi na eye benchika watajadili jinisi ya kua Hana Kwa amani.
Je, hiyo hatua ya kutaka kusitisha mktaba wa benchika ni sawa ukichukulia aina ya team aliyopewa?
Huyu ndio cadena. Yeye yuko na drill nzuri. Lakini hamfanyi kipa kuwa kiongozi wa ulinzi. Hafanyi wapange safu vizuri. Hafanyi kipa afanye maamuzi sahihi kama kutokea mpira, Yeye huwarusha tu makipa na kuwachosha. Toka aje simba makipa wanachoka siku baada ya siku.
Alipokuwa Azam bwana...
Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho).
Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana.
Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru...
Robertino aliamua ku risk kibarua chake ili kulinda kibarua Cha Lakred.
Afadhali aliamua kumpanga kipenzi cha Wanalunyasi (Manula) na kumuacha Lakred ili asije kufukuzwa usiku wa manane.
Hivi ingekuwa vipi kama Robertino angempanga Lakred na akafungwa hizo 5G. Nadhani angetembea kwa mguu hadi...
Mimi sio Mchambuzi wala Kocha, natoa maoni yangu kwa uzoefu ninaoona kwa kile kinachofanywa na makocha wengine.
Katika mchezo wa jana Ahly na Simba, Sub ya Kenedy ilikuwa sub muafaka kwa wakati sahihi, lakini nimeona makocha wengi wakitaka kuzuia, nasi option ya kwanza ni kumiliki mpira.
Sasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.