Watu wengi wanamlaumu sana Kocha wa Simba jinsi anavyopanga timu na chaguo la wachezaji anaowachezesha kipindi cha kwanza au cha pili.
Shutuma ya pili ni mbinu za kimchezo anazotumia Kocha huyo. Kuna watu wanaona Simba inacheza kimparaganyiko na taratibu sana.
Jee Kocha Roberthino afanye kitu...
Kitakachomfanya asifike ni yafuatayo;
1. Kulazimisha Chama na Saidoo kucheza pamoja
2. Kumpanga Saidoo kwa dakika 90 huku akiwa hana uwezo huo kwa umri wake
3. Kumpanga mara kwa mara Kibu ambaye hana utulivu kabisa
4. Kucheza soka butua butua ambalo sio utamaduni wa Simba Sports
Kwa Uwezo mkubwa aliouonyesha Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera nina uhakika kama tu akisajiliwa Wachezaji wa maana (Majembe) Msimu ujao Simba SC haitoishia tu kufika hatua ya Nusu Fainali bali itafika hadi Fainali kabisa.
Pongezi nyingi Kwake Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera...
Mpira anaocheza simba ni wa hovyo na ni style ya huyu mwalimu mpya Roberto.
Wachezaji wapo ila hawapangwi ktk sehemu zao wachezaji wana struggle sana kucopy style ya kocha huyu na hawapo teyri.
Yanini kung'ang'ania mfumo usioendana na style ya wachezaji waliopo.
Kwa kikosi cha simba kama...
Na wala huhitaji Akili Kubwa kujua kuwa kwa Shangilia ile ya Kocha wa Simba SC ni kama vile anawajibu Maadui zake ndani ya Klabu ( hasa Uongozi na baadhi ya Wachezaji ) hivyo kuhitimisha hili linalosemwa kuwa kuna Mgawanyiko mkubwa ndani ya Kikosi cha Simba SC ( Wachezaji ) na Uongozi ( Viongozi...
Mimi ni mzalendo.
Pamoja na kunipenda sana Simba lakini linapofika suala la Nchi Tanzania Huwa naweka mbele maslahi ya Nchi.
Japo hakuna hata SEKTA Idara, Wala Taasisi yoyote yenye Mafanikio.
Kama Ningekuwa KOCHA WA Simba ningeanza Hivi.
1. Aishi Manura.
2. Shomari kapombe.
3. Mohamed...
Hii ni taarifa rasmi kutokea Klabu ya Simba
Kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu. #NguvuMoja
Kitenge nina uhakika pamoja na kwenda Kwako Ulaya / Marekani / Asia kila mara tukikuweka Wewe na Kocha wa Simba SC Mbrazil Roberto Olivieira bado atakuzidi na humuwezi hivyo tunakushangaa Kumkejeli Kocha Olivieira hewani kama ufanyavyo sasa.
Hakuna asiyejua kuwa Wabrazil Lugha yao Mama ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.