kocha wa simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Fadlu mpira ni dk 90 badala ya kuhimiza umakini kwa wachezaji wako wewe unahimiza mashabiki washangilie ushindi na dakika bado kuisha!

    Uyu kocha nae ni kituko tu kipo pale,,ameshindwa kuelewa kwamba Mpira kuisha ni mpaka kipyenga cha mwisho cha mwamuzi. Yeye badala ya kuhimiza wachezaji wake waongeze Umakini kwakuwa Mpira ulikuwa bado kuisha yeye ndio akawa kinara wa kuhimiza mashabiki washangilie ushindi wakati Mpira ulikuwa...
  2. M

    Michuano hii kinachotakiwa ni point 3 muhimu lakini kocha wa Simba ajiangalie kwa mbinu zake nilishasema kuna kilio kinakuja asipobadilika!

    Mbinu za uyu kocha ni zile zile abadiliki nilikwishasema kwenye bandiko langu lililopita nilipomfatilia kwenye mechi 5 zilizopita za ligi,,anapokutana na kocha anayecheza kimbinu anapata tabu sana! Dk zote 90 ukiondoa goli la penalty ambalo na lenyewe lilisababishwa na makosa binafsi ya beki wa...
  3. Full time: Simba SC 1 - 0 Bravos do Maquis FC | CAF CC | Benjamin Mkapa Stadium | 27-11-2024

    Match Day Simba SC vs Bravos do Maquis FC Time 1600hrs Kikosi Cha Simba Kinachoanza. #Nguvumoja Updates... 1' Mpira umeanza kwa kasi, Simba wanamiliki mpira wanapeleka shambulizi ndogo kwa Bravos. 3' Game on 0-0 7' Simba wanafanya shambulizi kwa Bravos halifanikiwi. Wanashindwa kudhibiti...
  4. UTABIRI: Kocha wa Simba Fadlu Davids hana maisha marefu ndani ya klabu, atafukuzwa ghafla kabla ya Pasaka

    Wakati mashabiki wa SSC wapo kwenye shangwe la ushindi, mimi Omoyogwane kuna kitu nakiona ambacho wengi hamkioni. Kocha Fadlu mbinu zake ni zile zile hii mechi ya 11 makocha wa mikoani washaanza kumuelewa na kutafuta muarobaini wa mbinu zake Kikawaida hupanga mabeki wanne nyuma ambao...
  5. Naanza kumwelewa kocha wa Simba (Fadlu)

    Mechi ya Simba na Mashujaa ilikuwa ngumu, lakini sub alizokuja kufanya kocha sijaelewa ilikujaje kuleta matokeo, maana galfa umiliki ukahamia kwa Simba. Najua wengi walishtuka Shabalala kutolewa halafu anaingia Nouma, Ateba alitolewa tukaanza kuwa na mashaka na Mukwala ni kama kikosi...
  6. S

    Ali Kamwe: Tunaujua Ubora wa Kocha wa Simba

    Alishinda mechi moja kati ya 15, Maritzburg ikashuka daraja, baada ya hapo akawa Msaidizi hadi kaja kuibukia huku, sisi tunajua quality yake ni ndogo, huwezi kumlinganisha na Gamondi ni ndogo mno. Mimi ningepewa ile Pamba nikae nayo wiki moja tu, nawafunga wale"
  7. Ngereza: wachezaji wa Simba SC hawana fitness

    Kuna changamoto kubwa sana kwenye sehemu ya fitness ya wachezaji wa Simba na hii inaweza ikawa inasababishwa na mwalimu ndo maana Kuna wakati unaona wachezaji wanatafuta walimu binafsi wa mazoezi". Ukiangalia jinsi ambavyo wachezaji wa Simba mikimbio Yao unawaona kabisa hawana Fitness,angalia...
  8. D

    Mgunda ni kocha wa Simba au Taifa Star? Majukumu ya Taifa Stars anafanya saa ngapi? TFF wanatuona wajinga

    Hii umeona wapi!? Kocha wa taifa. Ana kuwa pia kocha wa team ya league at the Same time. TFF watoe majibu? Pichani ni makocha wa Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) Hemed Suleiman ‘Morocco’ na Juma Mgunda walipokuwa mazoezini leo katika dimba la KMC, Mwenge. Makocha hao wanaiongoza Stars...
  9. Yaani kabisa eti Kocha Msaidizi huko alikotoka leo hii mnategemea aje akutane na Warithi wa Maradona Kigamboni na mchukue Ubingwa NBC na CRDB FA Cup?

    Tajiri keshajua kuwa anamiliki Timu yenye Majuha wengi na Mashabiki wenye Ujuha ndiyo maana anafanya alitakalo.
  10. Kocha na Wachezaji wa Simba SC bado wana tatizo la kushindwa kumsoma Mpinzani

    Hili lipo tokea Miaka mi 3 nyuma iliyopita ambayo Yanga katawala soka la Tanzania. Ndio kitu hata Match ya Leo kimewa adhibu Simba SC bado kila kocha anaekuja Simba hana uwezo wa kumsoma mpinzani hasahasa akiwa nae Live. Makocha wa Simba wanasoma Mchezo kabla na sio ukiwa unaendelea. Hilo the...
  11. Kocha wa Simba: Mechi ya kesho dhidi ya Yanga ni nyepesi

    Kocha Mkuu wa Simba Fadlu Davids amesema mchezo wa kesho dhidi ya Yanga ni wa kawaida na hana presha nao na yupo tayari kuibuka na ushindi. Yapi maoni yako?
  12. Namwona tena kocha wa simba zamu hii hafiki Nov 1

    Rejea kichwa cha habari hapo juu kama umeelewa kila la kheri ujaelewa tukutane tar 2 nov hapa ndani Usikumwema Kwahisani ya Ubaya ubwela
  13. Kocha wa Simba akifika Januari yuko Msimbazi mkanichape

    Rejea kichwa cha habari hapo juu Unabiii auishi mpaka utimie Kocha mpya wa Simba simuoni akifikaa Januari 2025 Si kwa nia mbaya Benchika alienda na benchi lake kuuguza mkewe Huyu ataondoka kuuguza mkwewe, mtaniambia Ushauri Tatafuta soon plan B ya kocha Simba
  14. K

    Tetesi: Kocha wa Simba kutimuliwa kwa kushindwa kutikia malengo ya kuipeleka simba nusu fainali

    Kama mnavyojua malengo waliyoku aliana Simba na Bechika ni kuipeleka simba nusufainali na sasa kafeli hivyo amebreach mkataba,hivyo uongozi na eye benchika watajadili jinisi ya kua Hana Kwa amani. Je, hiyo hatua ya kutaka kusitisha mktaba wa benchika ni sawa ukichukulia aina ya team aliyopewa?
  15. Hii ndio Kauli ya Kocha wa Simba baada ya ushindi wa 6 kwa Buyu

    Sasa Toeni maoni yenu
  16. Tuzo za CAF: Kocha wa Simba apenya, Yanga yatupwa

    Mshika remote wa vichwa vya fans wa Yanga tunaomba uwaset Uto wajadili bila jazba na matusi
  17. Kocha wa Simba, Benchikha Kama anataka atoboe Asikubali kufanya kazi na Cadena kocha wa makipa. Amuulize Kali Ongala

    Huyu ndio cadena. Yeye yuko na drill nzuri. Lakini hamfanyi kipa kuwa kiongozi wa ulinzi. Hafanyi wapange safu vizuri. Hafanyi kipa afanye maamuzi sahihi kama kutokea mpira, Yeye huwarusha tu makipa na kuwachosha. Toka aje simba makipa wanachoka siku baada ya siku. Alipokuwa Azam bwana...
  18. Simba yamtimua kocha Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho)

    Klabu ya Simba imefikia makubaliano ya pande zote mbili ya kuvunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza Roberto Oliveira Goncalves Do Carmo (Robetinho). Vilevile tumefikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa kocha wa viungo Corneille Hategekimana. Uongozi wa Klabu ya Simba unawashukuru...
  19. B

    Kocha wa Simba amelinda kibarua Cha AYUB LAKRED

    Robertino aliamua ku risk kibarua chake ili kulinda kibarua Cha Lakred. Afadhali aliamua kumpanga kipenzi cha Wanalunyasi (Manula) na kumuacha Lakred ili asije kufukuzwa usiku wa manane. Hivi ingekuwa vipi kama Robertino angempanga Lakred na akafungwa hizo 5G. Nadhani angetembea kwa mguu hadi...
  20. Kocha wa Simba na sub za kizamani

    Mimi sio Mchambuzi wala Kocha, natoa maoni yangu kwa uzoefu ninaoona kwa kile kinachofanywa na makocha wengine. Katika mchezo wa jana Ahly na Simba, Sub ya Kenedy ilikuwa sub muafaka kwa wakati sahihi, lakini nimeona makocha wengi wakitaka kuzuia, nasi option ya kwanza ni kumiliki mpira. Sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…