kocha wa simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Toa ushauri kwa kocha wa Simba timu iwaje.

    Watu wengi wanamlaumu sana Kocha wa Simba jinsi anavyopanga timu na chaguo la wachezaji anaowachezesha kipindi cha kwanza au cha pili. Shutuma ya pili ni mbinu za kimchezo anazotumia Kocha huyo. Kuna watu wanaona Simba inacheza kimparaganyiko na taratibu sana. Jee Kocha Roberthino afanye kitu...
  2. Robertinho hawezi kufika Nyerere Day kama kocha wa Simba kwa aina hii ya soka

    Kitakachomfanya asifike ni yafuatayo; 1. Kulazimisha Chama na Saidoo kucheza pamoja 2. Kumpanga Saidoo kwa dakika 90 huku akiwa hana uwezo huo kwa umri wake 3. Kumpanga mara kwa mara Kibu ambaye hana utulivu kabisa 4. Kucheza soka butua butua ambalo sio utamaduni wa Simba Sports
  3. Huyu kocha wa Simba hamalizi msimu

    Naona huyu kocha wa Simba hatamaliza msimu. Akifika hata nusu tru ya hii season ashukuru.
  4. Kocha wa Simba SC Robertinho akisajiliwa Wachezaji Majembe Msimu ujao Simba SC inafika Fainali CAFCL

    Kwa Uwezo mkubwa aliouonyesha Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera nina uhakika kama tu akisajiliwa Wachezaji wa maana (Majembe) Msimu ujao Simba SC haitoishia tu kufika hatua ya Nusu Fainali bali itafika hadi Fainali kabisa. Pongezi nyingi Kwake Kocha Mkuu wa Simba SC Robertino Oliviera...
  5. Kocha wa Simba Roberto asepe

    Mpira anaocheza simba ni wa hovyo na ni style ya huyu mwalimu mpya Roberto. Wachezaji wapo ila hawapangwi ktk sehemu zao wachezaji wana struggle sana kucopy style ya kocha huyu na hawapo teyri. Yanini kung'ang'ania mfumo usioendana na style ya wachezaji waliopo. Kwa kikosi cha simba kama...
  6. M

    Hii shangilia ya Nguvu ya Kocha wa Simba SC Olivieira kila Goli likifungwa angeihamishia kwa Timu kucheza kwa Nguvu ningeona ana Akili.

    Na wala huhitaji Akili Kubwa kujua kuwa kwa Shangilia ile ya Kocha wa Simba SC ni kama vile anawajibu Maadui zake ndani ya Klabu ( hasa Uongozi na baadhi ya Wachezaji ) hivyo kuhitimisha hili linalosemwa kuwa kuna Mgawanyiko mkubwa ndani ya Kikosi cha Simba SC ( Wachezaji ) na Uongozi ( Viongozi...
  7. Ningekuwa Kocha wa Simba na Yanga ningeanza ifuatavyo

    Mimi ni mzalendo. Pamoja na kunipenda sana Simba lakini linapofika suala la Nchi Tanzania Huwa naweka mbele maslahi ya Nchi. Japo hakuna hata SEKTA Idara, Wala Taasisi yoyote yenye Mafanikio. Kama Ningekuwa KOCHA WA Simba ningeanza Hivi. 1. Aishi Manura. 2. Shomari kapombe. 3. Mohamed...
  8. U

    Kocha wa Simba aondoka Usiku huu kwenda kwao Brazil

    Hii ni taarifa rasmi kutokea Klabu ya Simba Kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu. #NguvuMoja
  9. Mtangazaji Maulid Kitenge wa EFM unapata wapi uhalali wa Kukicheka Kiingereza hafifu cha Kocha wa Simba SC wakati Wewe ndiyo hukijui kabisa?

    Kitenge nina uhakika pamoja na kwenda Kwako Ulaya / Marekani / Asia kila mara tukikuweka Wewe na Kocha wa Simba SC Mbrazil Roberto Olivieira bado atakuzidi na humuwezi hivyo tunakushangaa Kumkejeli Kocha Olivieira hewani kama ufanyavyo sasa. Hakuna asiyejua kuwa Wabrazil Lugha yao Mama ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…