kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. JanguKamaJangu

    Tetesi: Bayern Munich kumfuta kazi Kocha Julian Nagelsmann, nafasi yake kuchukuliwa na Thomas Tuchel

    Picha: Julian Nagelsmann Bayern Munich ambayo imetwaa ubingwa wa Bundesliga mara 10 mfululizo, imekuwa haioneshi ubora uwanjani, ikiwa inashika nafasi ya pili katika ligi hiyo, nyuma ya Borussia Dortmund. Inadaiwa kuwa tayari mabosi wa Bayern wameshafikia maamuzi ya mwisho ya kumuondoa Julian...
  2. John Gregory

    Lini Simba itafikia ubora wa Yanga Ligi Kuu? Kocha aondoke/abaki?

    Nikiwa kama shabiki wa Simba huwa ninaumia sana kuona miaka yote sisi tunakuwa wasindikizaji. Mbaya zaidi kila tunapokutana na watani zetu tunaishia kuchapwa tukijitahidi sana ni draw. Nadhani ifike wakati kocha apewe malengo kwamba asipoweza kuchukua ubingwa wa ligi au walau kuifunga Yanga...
  3. Annie X6

    Sevilla kumfukuza kocha wao maana yake ni ipi?

    Soon wanakutana na manchester united. United tayari imewachapa kaka zake.
  4. Jaji Mfawidhi

    Kocha Taifa Stars ajuta kuwaacha Kapombe, Shabalala

    KOCHA TIMU YA TAIFA, ANAWAULIZA NINI? 1. Kocha timu ya taifa, anawauliza nini? Si wa timu ya taifa, anawaambia nini? Vipi hamko Taifa, au kwamba kuna nini? Mpira wa Tanzania, tunaujua wenyewe. 2. Hao wachezaji bora, wengine hawafanani, Kwenye namba zao bora, wakiwapo uwanjani, Kuwa Taifa...
  5. OKW BOBAN SUNZU

    Baada ya 7, Kocha wa Taifa Stars awaomba msamaha Zimbe na Kapombe

  6. JanguKamaJangu

    Kocha Cedric Kaze aitwa kuongeza nguvu Taifa Stars, Yanga yampa baraka

    Kocha wa timu ya taifa Taifa Stars, Adel Mrouche amepewa nafasi ya kuchagua wataalamu 4 atakaoambatana nao kwenye timu ya taifa kama sehemu ya benchi lake la ufundi, Kocha huyo amependekeza jina la kocha msaidizi wa klabu ya Yanga, Cedric Kaze kuwa chaguo lake la kwanza. Ikumbukwe Cedric Kaze...
  7. JanguKamaJangu

    Inadaiwa FIFA imeifungia Yanga kusajili madirisha matatu kutokana na deni la Kocha Luc Aymael

    Kwa mujibu wa @FARPostZA, FIFA imeifungia klabu ya Yanga kusajili wachezaji kwa madirisha matatu (3) mfululizo baada ya kushindwa kumlipa fidia ya kuvunja mkataba aliyewahi kuwa Kocha wao Luc Aymael. Kocha huyo raia wa Ubelgiji ambaye pia amewahi kuzifundisha Free State Stars na Polokwane City...
  8. S

    Vigezo gani hutumika kumpata kocha bora wa mwezi ligi kuu ya NBC?

    Ni vigezo gani hutumika kuchagua kocha bora wa mwezi kwa ligi yetu pendwa ya NBC? Rekodi zinaonyesha kocha wa Yanga amekuwa na muendelezo bora kuliko makocha wote wa ligi kuu kwenye kila mechi ana 90% za kushinda . Lakini ni miezi kadhaa tuzo zinatilewa ila anashindwa/anakosa i Nabi...
  9. Matteo Vargas

    Kocha wa Taifa Stars ametumia vigezo gani kumuacha Kampombe, Zimbwe, Mzize na Sure Boy na kuita kikosini wakalia benchi?

    Salaam, Binafsi nimeshangazwa sana na uteuzi wa kikosi cha Taifa Stars, ambapo nimeona wachezaji ambao wapo kikosi cha kwanza kwenye timu zao (regular players) wameachwa haswa niliotaja hapo juu. Sio hivyo tu wachezaji hao timu zao zipo kwenye mashindano ya kimataifa wakiwalisha timu zao lakini...
  10. Suley2019

    Vipers yamtimua kocha Beto Bianchi

    Vipers SC ya Uganda imetangaza kusitisha mkataba wa kocha mkuu, Beto Bianchi. Raia huyo wa Brazil alianza kuifundisha Vipers Januari 2023 akichukua nafasi ya Roberto Oliviera aliyejiunga Simba SC. === Vipers Sports Club announces that the contract of head Coach Beto Bianchi has been terminated...
  11. T

    Aliyeshauri Serikali imlipe Kocha wa Taifa Stars ni Mhujumu Uchumi asie na nia njema na Maendeleo ya Michezo!

    Moja ya mambo yatakayotuchelewesha sana kama taifa, ni kutafuta majibu mepesi kwa maswali magumu. Unaanzaje kuingia gharama ya kumlipa kocha mamilioni ya pesa za kigeni huku ukijua fika kwamba aina ya wachezaji unaozalisha ni hafifu na uhafifu huo hauwezi kuondolewa na Kocha wa Timu ya Taifa...
  12. covid 19

    Kocha wa Simba Roberto asepe

    Mpira anaocheza simba ni wa hovyo na ni style ya huyu mwalimu mpya Roberto. Wachezaji wapo ila hawapangwi ktk sehemu zao wachezaji wana struggle sana kucopy style ya kocha huyu na hawapo teyri. Yanini kung'ang'ania mfumo usioendana na style ya wachezaji waliopo. Kwa kikosi cha simba kama...
  13. benzemah

    Serikali kumlipa Mshahara kocha wa Taifa Stars

    Waziri wa Utamaduni, Sana na Michezo Balozi Dkt. Pindi Chana amesema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika kuendeleza mchezo wa Soka nchini itamlipa mshahara mwalimu wa Timu ya Taifa (Taifa Stars), Adel Amrouche ambaye ni raia...
  14. Sildenafil Citrate

    Mbeligiji Adel Amrouche (58) ateuliwa kuwa kocha Mpya Taifa Stars

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) linamtangaza Adel Amrouche (58) kuwa kocha mkuu wa timu ya taifa, Taifa Stars. Kocha Amrouche raia wa Ubelgiji mwenye asili ya Algeria ana uzoefu mkubwa na soka la Afrika baada ya kufundisha klabu na timu za taifa katika ukanda Kusini, Mashariki, Kati na...
  15. GENTAMYCINE

    Hatumpangii Kocha ila nasi Mpira tunaujua vile vile hivyo tunaomba moja ya Squad hili lianze leo Kampala

    Kikosi A 1. Aishi Manula 2. Shomary Kapombe 3. Mohammed Hussein 4. Joash Onyango 5. Henock Inonga 6. Sadio Kanoute 7. Kibu Denis 8. Clatous Chama 9. Jean Baleke 10. Moses Phiri 11. Saido Ntibanzokinza Kikosi B 1. Aishi Manula 2. Israeli Mwenda 3. Mohammed Hussein 4. Joash Onyango 5. Henock...
  16. S

    Kocha Mkuu wa Simba Achoshwa na wachezaji Wazee

    “Attack Attack “ Nataka wachezaji washambulie muda wote,Inakuwa ngumu kuingiza mbinu za kushambulia kwa sababu kwenye kikosi changu kuna idadi kubwa ya wazee (Wakongwe) Na mimi napenda kutoa nafasi kwa wachezaji vijana.
  17. M

    Hii shangilia ya Nguvu ya Kocha wa Simba SC Olivieira kila Goli likifungwa angeihamishia kwa Timu kucheza kwa Nguvu ningeona ana Akili.

    Na wala huhitaji Akili Kubwa kujua kuwa kwa Shangilia ile ya Kocha wa Simba SC ni kama vile anawajibu Maadui zake ndani ya Klabu ( hasa Uongozi na baadhi ya Wachezaji ) hivyo kuhitimisha hili linalosemwa kuwa kuna Mgawanyiko mkubwa ndani ya Kikosi cha Simba SC ( Wachezaji ) na Uongozi ( Viongozi...
  18. Rosh Hashannah

    Kesho Kocha Nabi atuwekee DOUBLE STRIKERS

    Kesho Kocha Nabi atuwekee Mayele na Musonda. Wingers wetu eg. Twisila ni matatizo. Nyuma yao acheze Aziz Ki kama yuko fit. Mayele akicheza mwenyewe atuzurura tu uwanjan, nadhan mmeona game iliyopita, Mayele vs Monastr, Baleke vs Horoya, Bocco vs Raja 😂 Huku mabeki sio wa NBC Premier league...
  19. CAPO DELGADO

    Ningekuwa Kocha wa Simba na Yanga ningeanza ifuatavyo

    Mimi ni mzalendo. Pamoja na kunipenda sana Simba lakini linapofika suala la Nchi Tanzania Huwa naweka mbele maslahi ya Nchi. Japo hakuna hata SEKTA Idara, Wala Taasisi yoyote yenye Mafanikio. Kama Ningekuwa KOCHA WA Simba ningeanza Hivi. 1. Aishi Manura. 2. Shomari kapombe. 3. Mohamed...
  20. U

    Kocha wa Simba aondoka Usiku huu kwenda kwao Brazil

    Hii ni taarifa rasmi kutokea Klabu ya Simba Kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu. #NguvuMoja
Back
Top Bottom