kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. Frank Lampard afukuzwa kazi na Everton

    Frank Lampard, aliyekuwa kocha wa Everton ametimuliwa baada ya kupata matokeo mabovu kwa kipindi kirefu katika ligi kuu ya Uingereza. Klabu ya Everton inategemea kutoa taarifa rasmi hivi punde.
  2. Kocha Juma Mgunda ukiona 'anayetroti' ni Kipa jua atakayetoka siyo Mchezaji wa ndani

    Pamoja na kutumia Nguvu Kubwa sana (yenye Unafiki mwingi) ya kuonyesha kuwa Unampenda Kocha Mkuu wa Simba SC (Boss wako) Roberto Olivieira na kwamba huna tatizo nae tayari wenye Akili na Maono wameshakushtukia na hata Kocha Olivieira nae Kakushtukia na wameamua Kumleta huyo Mtunisia ili aje kuwa...
  3. Nilipotabiri Ujio wa Kocha Olivieira Simba SC na ikatokea na Kushauri yafuatayo nilikuwa namaanisha

    Nilisisitiza mno kama siyo sana kuwa Kocha Mpya Simba SC Roberto Olivieira akitua Simba SC aje na Watu wake anaowaamini na kamwe asiendelee na Hawa akina Mgunda, Matola na Meneja Rweymamu aliowakuta GENTAMYCINE nilimaanisha na kuna Hatari niliiona na leo imejidhihiri. Nawaombeni rejeeni marejeo...
  4. M

    Kumlaumu kocha kwa kumtoa Chama ni kuikosea heshima taaluma yake

    Kila kocha uwa anao mfumo wake na aina ya wachezaji anaowataka kwenye mfumo husika, kitendo cha kumtoa chama kocha ameona aendani na kile anachokitaka hasa kasi kati kati ya uwanja, uyu kocha inaonekana ni muumini wa soka la kasi ndio maana amewakubali kina kibu denis wakati mashabiki...
  5. Kocha asimamishwa kazi baada ya kulazimisha wanafunzi kupiga Push-ups 400

    Kocha wa shule ya upili ya Texas amepewa likizo ya utawala baada ya kuwataka wanafunzi wa riadha kupiga Push Ups 400 ambapo baadhi yao walitakiwa kupata matibabu na kulazwa Hospitali. Kocha wa Rockwall-Heath, John Harrell. anashutumiwa kwa kuongoza darasa la riadha Januari 6 ambapo...
  6. Kocha Robetinho wa Simba ataka Mshambuliaji

    Baada ya kufanya mazoezi na kikosi kwa siku mbili katika kambi waliyoweka nchini Dubai Kocha Mkuu Oliveira Roberto ‘Robertinho’ amejiridhisha kuwa anahitaji mshambuliaji mwingine. 🔹 Robertinho amesema kikosi chake kina washambuliaji wazuri huku akimwagia sifa Nahodha John Bocco lakini ameweka...
  7. Juma Mgunda sio kocha mzuri kwenye mbinu hivyo ni sahihi Simba kuleta kocha mwingine

    Michuano ya CAFCC inahitaji mbinu nyingi sana wakati Juma Mgunda ni mzuri zaidi kwenye uhamasishaji. Ni sahihi kwa Simba kuleta kocha atakayeenda kushindana kimbinu kuliko kuwa na mhamasishaji peke yake.
  8. Simba SC Tanzania yamtambulisha kocha mpya Robertinho

    Simba inamtangaza muda huu aliyekuwa kocha wa Vipers SC, kama kocha wao mkuu mpya mpaka mwaka 2025 sambamba na Juma Mgunda ambaye atakuwa ni msaidizi wake. Kocha huyo atajiunga na kikosi cha timu hiyo kilichopo Zanzibar katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi kuanza majukumu rasmi.
  9. Simba SC kama mnamleta Kocha Mkuu Mbrazil Roberto Oliviera nashauri yafuatayo na myazingatie kiumakini

    1. Mruhusuni aje na Wasaidizi wake na siyo atakaowakuta. 2. Mkitaka asaidiwe na Mzawa mtafutieni Mtu tofauti na Mgunda na Matola. 3. Maamuzi yote ya Kiufundi ndani ya Klabu yetu aachiwe Yeye na asiingiliwe kamwe. 4. Matola apelekwe Timu ya Vijana Simba B akahangaike nayo huko. 5...
  10. Kocha wa KMC Mburundi Thierry Hitimana apimwe Akili upesi huenda hayuko sawa

    Kwenye Mchezo wa Jana ( Wenyeji wa Mechi ) walikuwa ni KMC ambao kwa sababu zao wenyewe waliamua Kuukimbia Uwanja wao wa Nyumbani wa Uhuru Mkoani Dar es Salaam na kuamua kuipeleka Mechi hii CCM Kirumba Mkoani Mwanza. Baada ya Utangulizi huu sasa GENTAMYCINE nawawekeeni Nukuu ya Kauli ya Kocha...
  11. Kabla ya kumtimua kocha angalia usoni wachezaji wako kwanza

    Kazi ya kocha wa timu ni kuratibu wachezaji kwa kutumia vipaji vyao TU, sio vingine. Kazi ya kuhakikisha fitness ya wachezaji ni ya kocha wa viungo, kazi ya kuhakikisha kuwa wachezaji, Wana furahà, Wana morali ya kucheza kwa bidii ni kazi ya uongozi wa timu. Kabla ya kumfukuza kazi kocha kwa...
  12. Cameroon: Kipa aliyekwaruzana na kocha, astaafu kuichezea timu ya taifa

    Andre Onana (26) aliondolewa kambini wakati timu yake ikishiriki katika Kombe la Dunia 2022 baada ya kutofautiana na kocha wake, Rigobert Song. Kipa huyo wa Inter Milan alianza kutofautiana na Song katika mazoezi kuhusu mbinu za uchezaji, wakarushiana maneno na baadaye kutopangwa katika mchezo...
  13. Zidane anaichukua timu ya taifa ya Ufaransa kama kocha, nawatabiria ushindi wa Euro 2024 na world cup 2026

    Yule mchezaji na kocha mwenye bahati zaidi duniani anaichukua timu ya taifa ya Ufaransa kama kocha kuanzia January 2023. Ninatarajia ataenda kubeba Euro 2024 na kombe la dunia mwaka 2026. Ufaransa wanavyo vipaji vya kila aina ikiwemo kijana machachari Mbappe. Muda utatupatia majibu.
  14. I

    Kocha wa Morocco atoa ushauri kwa Afrika

    Kocha wa timu ya taifa ya Morocco Walid Regragui mzaliwa wa Ufaransa ameitaka Afrika kuachana na dhana au fikra ya kufikiria kucheza mechi tatu tu kwenye mashindano ya kombe la dunia na kupigana dhidi ya hiyo fikra
  15. Ningekuwa kocha wa Brazil ningechukua kombe la dunia mapema asubuhi

    Wachezaji ambao nisingewaita ni kama Neymar, Paqueta, Richarlison, Fred, Raphinha na Anthony. World cup sio kwa ajili ya mabishoo na wavivu. Ningembadilisha Martinelli ili acheze winga ya kulia, kushoto angekaa Vinicious halafu namba tisa angesimama Firmino huku namba kumi ningempa Gabriel...
  16. C

    Msiyempenda Kocha Msaidizi Matola bado yupo sana tu Simba SC hivyo mtanuna mno

    Kocha msaidizi wa Simba, Selemani Matola aliyekuwa visiwani Zanzibar kusoma kozi ya ukocha Leseni A ya CAF iliyokuwa ikifundishwa na wakufunzi kutoka nje ya nchi ametua jijini Dar akiwa amemaliza siku zake 10 za kwanza darasani na kusema anakisubiri kikosi cha timu hiyo kitoke mkoani Tanga baada...
  17. Mwinyi Zahera ateuliwa kuwa Kocha Mkuu wa Polisi Tanzania

    Aliyekuwa kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC Mwinyi Zahera ameteuliwa kuwa kocha mkuu wa klabu ya Polisi Tanzania inayoshiriki Ligi kuu ya NBC Tanzania bara kwa mkataba wa miezi 6 mpaka mwisho wa msimu. Hivi sasa Mwinyi Zahera anatambuliswa kwa wachezaji wa Maafande hao wa Polisi Tanzania.
  18. Wachambuzi, Watangazaji na Kocha Msaidizi wa Yanga SC Kaze hili la Yanga SC kuwa na Fatigue mlijua baada ya Kichapo cha Ihefu FC leo?

    Wanafiki na Wapuuzi wakubwa nyie. Yanga SC ingeifunga Ihefu FC leo mngekumbuka kusema kuwa Wachezaji walikuwa na Uchovu (Fatigue) kama mnavyosema sasa kila Mkichambua, Mkitangaza na Mkihojiwa na Waandishi wa Habari? Na kama Yanga SC mlijua Mbeya ni mbali kwanini hamkuwahi kwenda huko ili pia...
  19. Kolo Toure raia wa Ivory Coast ateuliwa kuwa kocha Wigan Athletic

    Wigan Athletic wamemteua beki wa zamani wa Ivory Caost, Arsenal na Manchester City, Kolo Toure kuwa meneja wao mpya kwa mkataba wa miaka mitatu na nusu. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 41 anachukua nafasi ya Leam Richardson baada ya kutimuliwa na klabu hiyo ya Championship mapema mwezi huu...
  20. Kocha Mwambusi acha Uyanga utawatoaje akina Mwalyanzi na Tegere ambao ndiyo Wanaisumbua Yanga SC?

    Kocha Juma Mwambusi najua umewatoa Wachezaji muhimu wa Ihefu FC ili Kuidhoofisha Timu na Yanga SC yako ( Unayoishabikia ) warudishe Goli na wapate hata Ushindi. Mnafiki mkubwa sana tu Wewe JM!!!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…