Nimeiangalia Simba toka Kocha Mgunda anakabidhiwa timu msimu huu nikagundua kuwa ni muhamasishaji mzuri ila sio kocha mzuri. Tuwe wakweli, Simba inabebwa sana na uwezo binafsi wa wachezaji watatu kupata matokeo msimu huu, nao si wengine bali ni Chama, Phiri na Okra.
Mgunda amekuwa akihusika na...