"Yanga, ah Yanga! Kumfukuza kocha inakuwa ni kama hafla ya kila mwaka,si lazima yawe matokeo mabaya, lakini inajikuta ikichukuliwa kama 'desturi' ya mabadiliko.
Kocha anapochukua mikoba, mashabiki wanajua kuwa atakuwa 'mfalme' kwa wiki chache tu,ndio, wiki chache tu! Kisha, na kwa uchungu...