kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. Mkalukungone mwamba

    Kocha Gamondi abeba tuzo ya kocha bora wa msimu 2023 /2024

    Kocha mkuu wa Yanga SC Migeul Gamondi amekuwa kocha bora wa msimu wa 2023/2024
  2. William Mshumbusi

    Kwa kinachoendelea Simba imekuwa timu ya Ovyo ovyo, kocha wa ovyo, hadi washabiki na uongozi wa ovyo ovyo. Hatujui kabisa

    Washabiki wa Simba hatufatilii kabisa ukweli na uhalisia wa timu. Tunasubiri uchambuzi wa Wachambuzi bahasha na kuweka matarajio ya kipuuzi. Nilifatilia usajili ni wa ovyo kabisa. Tumesajili wachezaji wawili tu wa kiwango cha simba na kurundika wa ovyo ovyo. Nimeposti sana takwimu za kila...
  3. Pdidy

    Namwona tena kocha wa simba zamu hii hafiki Nov 1

    Rejea kichwa cha habari hapo juu kama umeelewa kila la kheri ujaelewa tukutane tar 2 nov hapa ndani Usikumwema Kwahisani ya Ubaya ubwela
  4. GENTAMYCINE

    Kongole Simba SC kwa Awesu Awesu tumelamba Dume na natamani sana Kocha awe anamchezesha hasa 'Wing Midfield' atatusaidia sana

    Sasa naona kabisa ule muda wa Wazee Majini FC Kupimwa Umri umekaribia na kuna Watu wataikimbia hiyo 8.08.24.
  5. Lady Whistledown

    Kocha wa Timu ya Taifa ya England ajiuzulu

    Gareth Southgate ametangaza rasmi kujiuzulu kwake kama meneja wa timu ya taifa ya England baada ya kuwa madarakani kwa karibu miaka minane. Southgate, ambaye alianza kazi yake mwaka 2016, ameiongoza England hadi fainali ya Euro 2024 na nusu fainali ya Kombe la Dunia la 2018. Shirikisho la...
  6. D

    Simba wakifungwa mechi moja tu, wachee na kocha wake wote wataondoka, mwakani wanaanza upya tena

    Simba imefanya usajili mkubwa sana. this season, kuna MVP kwenye mid field na MVP defence. top striker mbele pale. amazing lakred nyuma pale. Issue ni mechi moja tu mkifungwa tempo nzima ya timu inakufa. vita inaanza. mangungu out I always say tatizo la simba ni mashabiki. they have best...
  7. Pdidy

    Kocha wa Simba akifika Januari yuko Msimbazi mkanichape

    Rejea kichwa cha habari hapo juu Unabiii auishi mpaka utimie Kocha mpya wa Simba simuoni akifikaa Januari 2025 Si kwa nia mbaya Benchika alienda na benchi lake kuuguza mkewe Huyu ataondoka kuuguza mkwewe, mtaniambia Ushauri Tatafuta soon plan B ya kocha Simba
  8. William Mshumbusi

    Naomba msamaha Mgunda kwa kujaribu kufananisha na pandikizi David. ndio kocha mwenye CV mbovu zaidi ligi kuu kwa sasa Hafai ata kuwa kocha wa pamba

    Kuna watu wanataka Mo atoke Simba kwa kupigwa na mawe. hivi vituko wanavhosema vinaletwa na Mo mwenyewe ni mtego. Siamini kama kweli Ni viongozi wa Simba ndio waliomleta hiki kiituko na kumpa umeneja. Au kuna watu wa Yanga wamepenyezwa kuiua simba kabisa. Hapa tuwe wakweli hii Timu bora ata...
  9. L

    Sema wewe Talib Hilal nikisema mimi kocha mpya wa Simba hafai ntaonekana msaliti

    Kocha Talib Hilal amekaririwa na redio moja nchini akisema jana kuwa kocha mpya anayetarajiwa kuingia kandarasi na Simba Faldu David's hana uwezo na hawezi kuifikisha popote pale Simba. Talib defender wa zamani wa Simba na baadae akawa kocha anasema recodi ya kocha huyo mpya ya mechi 12...
  10. Mpigania uhuru wa pili

    Simba wanasajili wachezaji bila kuwa na kocha mkuu

    Ukitaka kuona vituko basi njoo kwenye club ya simba dirisha hili la usajili wanasajili wachezaji na kuacha bila kuwa na kocha mkuu unajiuliza mwekezaji wa simba mo dewji ana akili kweli Makosa yaleyale ya misimu iliyopita wanayarudia na kipindi hiki akija kocha baada ya mda atawatupia lawama...
  11. L

    Hongera sana kocha Hemed Morocco na msaidizi wako Juma Mgunda kwa kazi nzuri nchini Zambia

    Stars imeifunga Zambia ikiwa nyumbani kwake, narudia nyumbani kwake.Binafsi, sikuwa na shaka na uwezo wa makocha hao isipokuwa shaka yangu kubwa ilikuwa kwa wachezaji, kwamba wachezaji tuliokuwa nao hasa wale walioanza sikudhania kabisa baadhi yao kama wanaweza kupambana kiasi kile hasa kutokana...
  12. GENTAMYCINE

    Waziri wa Michezo Dkt. Ndumbaru kama sasa TFF wameamua Makocha wa Taifa Stars watakuwa ni Wazawa Kocha Amrouche Mshahara anapewa wa kazi ipi?

    Najua unanisoma sana GENTAMYCINE hapa JamiiForums hivyo nasubiria Jibu lako kwani Wewe ulivyo na Kiherehere baada ya Kocha Amrouche Kutukera Watanzania kule AFCON ulisema tena kwa Kujiamini kabisa kuwa Kocha Amrouche bado ni Mwalimu Mkuu wa Taifa Stars ila hivi karibuni / majuzi tu Rais wa TFF...
  13. D

    Gamondi kagombana na kocha physio Yusuph

    Gamondi history Kila team anayofukuzwa is due to his harsh mentality, anataka vitu vyake viende atakavyo, in short ni mkali Sana. akiingia kwenye team lazima afanye atibue kwanza vitu. In short wamegombana na yusuph na Yusuph anaondoka 😂#bingwa wa kumsagia kunguni gamondi hadi aamie simba.
  14. Frank Wanjiru

    Simba wamjibu Kocha Dan Cadena.

    Wakati timu nyingine za ligi kuu zikiwa bize na usajili kuelekea msimu ujao,huko ukoloni kwa sasa hivi ni piga nikupige. Acha inyeshe tujue panapovuja.
  15. William Mshumbusi

    Viongozi Simba hawajitambui. Eti Mgunda hawafai? wanatafuta kocha Takataka yoyote kutoka nje? au wanatafuta kocha wa Mshahara mkubwa.

    Mgunda kampiga Azam na Kikosi cha Tatu na Timu nzima haieleweki. Takwimu zinambeba lakini kila siku wanatafuta kocha duu.
  16. Frank Wanjiru

    Vichekesho na aibu ya Bodi ya Ligi tuzo za mchezaji na kocha bora mwezi Mei

    Bodi ya ligi kuu Tanzania (TPLB) imetangaza kuwa Mchezaji wa mashujaa FC, Reliants Lusajo amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi Mei ligi kuu Tanzania bara. Amewashinda wafuatao : ◉ Reliants Lusajo - ⚽ (5) ☑️ ◎ Stephane Aziz Ki - ⚽ (6) ◎ Feisal Salum - ⚽ (5) Pia bodi imetangaza kuwa, kocha...
  17. Titicomb

    Yanga waajiri kocha wa free kicks, na penalty shoots

    Kama Yanga wanataka kubeba kombe la Club Bingwa Africa lazima wafanyie kazi udhaifu uliopo kwenye upigaji penati na mipira ya adhabu. Gamond ni bonge la kocha lakini si mzuri kwenye hizo sehemu nilizotaja. Kama timu inataka kuingia kwenye kuwa professional football club iliyo kamilika inabidi...
  18. JanguKamaJangu

    Rasmi Jose Mourinho atambulishwa kuwa kocha wa Fenerbahce

    Zaidi ya mashabiki 1,000 wa Fenerbahce wameshiriki katika mapokezi ya kocha wao mpya, Jose Mourinho wakati akitambuliwa kwenye Uwanja wa Sukru Saracoglu Jijini la Istanbul. Kocha huyo amerejea katika majukumu hayo ikiwa ni miezi mitano tangu alipofukuzwa katika Klabu ya Roma ya Italia Baada ya...
  19. V

    Ubaguzi wa kocha wa Taifa Star inawafanya wachezaji wengi kukataa kujiunga nayo

    Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani Na anachuki na wachezaji fulani Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari inakuongezea kwenye safari yako ya mpira Ila huyu kocha anabagua wachezaji Tunaomba chama cha Fat...
  20. JanguKamaJangu

    Jose Mourinho kutangazwa kuwa kocha mpya wa Fenerbahce ya Uturuki

    Inadaiwa kuwa Jose Mourinho ameamua kurejea katika Maisha ya kufundisha soka kwa kukubali kusaini mkataba wa miaka miwili wa kuinoa Fenerbahce ya Uturuki. Kocha huyo anatarajiwa kuchukua nafasi ya Ismail Kartal ikiwa na maana itakuwa ni ajira yake ya 11 kwenye ukocha. Timu hiyo imemaiza msimu...
Back
Top Bottom