kocha

The koch (Russian: коч, IPA: [ˈkotɕ] (listen)) was a special type of small one or two mast wooden sailing ships designed and used in Russia for transpolar voyages in ice conditions of the Arctic seas, popular among the Pomors.
Because of its additional skin-planking (called kotsa) and Arctic design of the body and the rudder, it could sail without being damaged in the waters full of ice blocks and ice floes. The koch was the unique ship of this class for several centuries.

View More On Wikipedia.org
  1. Eli Cohen

    Kama Kompany ameweza kuwa kocha wa Bayern basi tambua hata wewe una nafasi ya kufikia malengo yako tu kwa viwango usivyotarajia

    We pambana pambana tu, mishe huzaa mishe nyingine kukuletea mishe nyigine kutoka katika mishe nyingine.
  2. JanguKamaJangu

    Kocha Pep Guardiola kuondoka Man City mwishoni mwa msimu ujao

    Kocha Pep Guardiola anatarajiwa kuondoka ndani ya Klabu ya Manchester City, mwishoni mwa msimu ujao wa 2024/25 mkataba wake utakapomalizika. Guardiola (52) aliyejiunga na Man City Mwak 2016 amesaliwa na miezi 12 katika mkataba wake na vyanzo vya Habari kutoka ndani ya klabu yake vinaeleza kuwa...
  3. Malaika wa Misukosuko

    Zidane ni kocha wa kawaida sana, kimbinu anapitwa hata na Arteta

    Moja kati ya makocha ambao nimekuwa nikitazama mechi zao kadhaa za nyuma basi ni huyu kocha Zidane ila kitu nlichogundua ni kwamba huyu jamaa ni kocha wa kawaida mno kimbinu, aliweza kuchukua makombe ya UEFA back to back kwasababu tu ya uwepo wa CR7 akiwa kwenye peak yake na aina wachezaji...
  4. uhurumoja

    Kwahiyo Bakari Shime ndiye kocha pekee anajua kufundisha mpira wa wasichana Tanzania!?

    Naangalia hapa mashindano ya mashule kwa mpira wa miguu ngazi ya Afrika, Haya mashindano bila shaka yamefana sana lakini nimeona kasoro kwenye team ya Tanzania wasichana ambapo kocha ni Bakari Shime. Kwa ninavyo faham hizi team huwa shule zinashindanishwa ambapo shule mshindi inaenda na...
  5. JanguKamaJangu

    Kocha pekee aliyefika Fainali 6 za UEFA Champions League

    Carlo Ancelotti raia wa Italia ana rekodi kubwa ya kuwa kocha aliyefika Fainali 5 na kubeba mataji manne ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League), mara 2 akiwa AC Milan na mara 2 akiwa Real Madrid Msimu huu 2023/24 amefika Fainali akiwa na Real Madrid ambapo anatarajiwa kucheza dhidi...
  6. mwehu ndama

    Juma mgunda ni kocha anaetembelea upepo wa kufukuzwa kwa makocha wenzake

    Katika soka neno tapeli sio tusi, bali hutumika kumbainisha mtu anaejipatia sifa na umaarufu chanya pasipo juhudi na uwezo wake binafsi kama ilivyo kwa kocha juma mgunda gadiola mnene. Kibonge huyu toka Tanga, ni kocha mzuri ila sio kocha wa kiwango wanachokitaka mbumbumbu fc, achilia mbali...
  7. D

    Yusuph dabo sio kocha atafikisha azam any where? my football review on azam match

    short clear 1. azam awawezi kutengeneza build up. in short ni through ball ndefu then inshallah. foward wapo one on one na 3 defenders every time. ni kama kichekesho. i still believe they got luck to win that yanga match. 2. wachezaji wa azam awajawa couched. honestly amna mipango ni...
  8. Greatest Of All Time

    EPL: Wanaowania tuzo za Kocha Bora & Mchezaji Bora wa Msimu watajwa, Kura yako unampa nani?

    Tuzo ya Kocha bora wa msimu kwa EPL kuna majina matano, ambayo ni; 1. Mikel Arteta - Arsenal 2. Unai Emery - Aston Villa 3. Pep Guardiola - Man City 4. Andoni Iraola - Bournemouth 5. Jurgen Klopp - Liverpool Pia kuna orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu pale EPL ambapo...
  9. Pdidy

    Kocha Mgunda ana moyoo ati badoo tuko kwenye nafasi ya ubingwa

    Dahhhhhh dunian tamuu Sanaa Namsikia redion mgunda l kocha anasemaa hakuna shidaa badoo tukoo kwenye nafasi ya kuchukua ubingwa wala atujakata tamaaa kha
  10. GENTAMYCINE

    Wana Yanga SC kwa huu Utani wenu mbele ya Kocha wa muda wa Simba SC Mgunda mmeniacha Hoi mno

    Yanga SC (Mashabiki) wanasema kuwa Kocha Juma Mgunda hana hata Wiki Simba SC tayari Nazi zimepanda Bei nchini! ==== Pia soma: Juma Mgunda ameridhika kuwasaidia kufundisha Simba SC na kusahau kuwa ana 'profile' kubwa katika Ligi ya Tanzania
  11. M

    Hongera Kocha Benchikha kwa kuikimbia fedheha hii. Tatizo la Simba ni wachezaji wa kiwango cha chini

    Amani iwe nanyi. Huwa nikiiangalia hii timu ya simba na aina ya wachezaji wake wa sasa hivi kisha nikiilinganisha na ile simba ya kampa kampa tena ya Kocha Patrick Aussem au Didier Da rosa huwa najiuliza ,Je hawa wachezaji wa sasa hivi wangepata kweli namba katika vikosi vya wakati ule. Tatizo...
  12. Pdidy

    Wakati Benchika akiwasili niliandika Matola akiwa Simba na kocha wa Kizungu msahau ubingwa

    Dj nipe huu wimboo wa nigeriaaa ambaoo wanaimba wana simba mdaa huu. By the grace of god I shall win this battle x3. Rejea kichwa cha habari hapo juu Benchika akiwasili niliandkka msahau kombe kama matola yuko pale Simba mshinde kombe never n ever. Jiulizeni wanaokuja wote wanaoondoka...
  13. Majok majok

    Simba misimu 3 makocha 7 anatafutwa kocha wa 8, mna uhakika kuwa shida yenu ni makocha?

    Hii sio afya kwa mafanikio ya wenzetu mbumbumbu, muda mwingine inabidi kuwapa ushauri tu ambao mnaweza kuchukua ama kuuacha ikiwapendeza kwa maana akuna Yanga Bora bila Simba imara na akuna Simba Bora bila yanga imara! Aiwezekani makocha ndio wawe mbuzi wa kafara Kila mara pindi mambo...
  14. kalisheshe

    Ni muda wa Simba SC kumchukua kocha Florent Ibenge

    Kama ni kweli kocha Benchika anaondoka mwisho wa msimu, hakuna haja tena ya simba kutafuta kocha kutoka mbali au kocha mwenye rangi nyeupe. Ibenge ni mmoja kati ya makocha wenye CV kubwa barani Africa, kinachomuongezea faida ni ubora wake katika kuwajua wachezaji na kulijua vyema soka la africa...
  15. Pdidy

    Narudia tena kama Matola yuko pale vs Kocha wa kigen Simba mtasikia ubingwa wa Jackpot

    Simsemi kwa ubayaaaaaa Mpwa huyu ajawahii kuwaacha makocha WA kigeni SALAMA kamweee Hii post ya 3 na kama SIMBA wanataka kudonga MBELE wasahauu MATOLA KWENYE bench Sioo kwa nia mbaya nakupaa homework fwatiliaaa NIKOPALE KWA wakala ...... KABLA ya Aug BENCHIKA ATAKUWA SIMULIZI PALE...
  16. Mtini

    Benchika kocha jina, muda utaongea

    Ukilinganisha takwimu za kocha objective na huyu Benchika za mr objective ni nzuri kuliko za huyu. Najua mtakuja na mapovu ila muda utaongea
  17. P

    Kocha Benchika unaharibu CV yako

    Bila kupoteza muda moja kwa moja kwenye mada. Kwa mambo na mwendelezo wa jaribu tena FC aka makolo,kocha Benchika ni vema ukajitenga na timu hii kwa faida yako. Timu ipo kiuswahili Swahili sana na kuendeshwa kijanja janja. Msimuu huu hutaambulia taji lolote hapa utaenda kuchafua CV yako nzuri...
  18. K

    Tetesi: Kocha wa Simba kutimuliwa kwa kushindwa kutikia malengo ya kuipeleka simba nusu fainali

    Kama mnavyojua malengo waliyoku aliana Simba na Bechika ni kuipeleka simba nusufainali na sasa kafeli hivyo amebreach mkataba,hivyo uongozi na eye benchika watajadili jinisi ya kua Hana Kwa amani. Je, hiyo hatua ya kutaka kusitisha mktaba wa benchika ni sawa ukichukulia aina ya team aliyopewa?
  19. mdukuzi

    Kocha wa Al ahly asema anamtaka Kibu Denis kuziba nafasi ya Percy Tau

    Sio maneno yangu bali ya kocha wa Al ahly,msikilize hapa
  20. Frank Wanjiru

    Kocha Mokwena: Yanga walinizidi kila kitu

    “Kwa kifupi sina cha kusema kuhusu Yanga wamenizidi karibia kila eneo kwenye michezo yote miwili hilo napaswa kulikubali, lakini pia siwezi kuzungumzia kuhusu goli lao kama ni halali au sio halali kwakuwa naelewa hata ingekuwa mimi ni Yanga nisingesema tofauti” Coach Rulani Mokwena kwenye...
Back
Top Bottom