Kocha wa timu ya Taifa stars amesimamishwa na CAF kusimamia mechi 8 za timu yake.
Swali ni nani alikasirishwa zaidi na maneno ya kocha dhidi ya Timu ya Morocco kati ya TFF, Morocco na CAF? ni nani alilalamika? Maana Kuna siku Yanga pekee TU ilipewa adhabu na CAF kwa makosa ya kumulika vItochi...