Ili kuondoa mgogoro kati ya mwenye nyumba na mpangaji TRA iwatake wapangaji wapeleke namba zao za mita na kuiwezesha TRA iwaondoe kwenye kulipishwa kimakosa. Hata hivyo tatizo litabaki pale mwenye nyumba na mapangaji wanatumia mita moja ambapo mwenye nyumba atalazimisha wapangaji walipe kodi ya...
Haki yangu ya msingi naona imeporwa, nataka kufungua kesi dhidi ya malipo ya kodi ya jengo kupitia Luku ila shida iliyopo ni hao ninaowategemea wana maslahi na nafuu waliyoipata, wakili ananyumba anapangisha yeye mzigo wa kuilipia kodi wamemtua na hakimu naye nyumba yake anapangisha naye mzigo...
Wakuu, itoshe tu kusema Serikali ya CCM imechoka na haina mbinu mpya tena
Mawaziri na Wabunge hawana lolote la msingi wanaloweza kufanya kwa sasa
Mimi mpangaji mnanilipisha kodi ya jengo? hivi mlikaa kabisa mkanywa na chai mkalipwa na posho mkatoka na hii idea?
Nilikuwa namkubali sana Mama...
Yaani sijui wachumi wa rais Samia ni watu wa namna gani, wako out of touch kabisa na maisha ya mtanzania halisi.
Lakini tatizo kubwa ni kuteua watu wanaojipendekezapendekeza kwa watawala kwa ajili ya ambition binafsi, badala ya kuteua watu ambao wana principles zao, ambao wanawaza faida za...
Matajiri wajanja wametusukumizia kodi za majengo yao wanayowapangisha wageni tuzilipe sisi ambao hata bei ya tofali hatuijui.
Wajanja hawa kama wangekuwa na nia nzuri na sisi masikini wangeweka bima ya afya (NHIF) tuilipe kwenye mfumo wa LUKU, hii ingetuwezesha tusio na uwezo wa kulipa kwa...
Wadau nimemsikia Waziri akitangaza kuhusu KODI ya Jengo kuwa Kila NYUMBA yenye UMEME Kodi hiyo italipwa Kwa kukataa kwenye LUKU. Naomba kujua Machache.
1. Kodi ya Jengo ni Kiasi gani?
2. Je, Kiwanja kama ni kimoja kina Nyumba 3 na kila Nyumba ina LUKU Je Nyumba zote 3 zinalipa KODI?
3...
Asalam-alaekoum Wana-JF!
Kama wapo wataalamu wa sheria na haki za binadamu humu ninapenda wanisaidie kudadavua mada ya hapo juu.
Simu yako kwanza ni chombo chako cha mawasiliano binafsi.
Pili unaponunua line yako ya simu unaingia mkataba na kampuni husika kwamba hatatumia line yako kwa...
Uwezo wa viongozi wetu wa kufikiri una walakini. Wananchi masikini wanakwenda kubebeshwa mzigo wa malipo ya kodi ya majengo tena. Nasema hivi kwa kuwa nyumba nyingi wapangaji ndiyo wanaonunua umeme na wala si wamiliki.
Sasa kitendo cha kukata kodi ya pango la jengo kutoka kwenye umeme ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.