Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amesema mfumuko wa bei unaoendelea Nchini kwa bei ya vitu vingi kupanda ni wa Rais na kama akitaka upungue lazima apunguze kodi.
Amesema “Ukipunguza kodi bidhaa zitapungua bei, ila sijasema ifutwe bali ipunguzwe, kwani ni lazima Serikali inununue VX...