Habari wana jf
Nimekuwa tax consultant kwa miaka miwili sasa katika changamoto nimekutana nazo sugu nipamoja ya tra kwa wafanya biashara watu wengi wamekuwa wakisajili makampuni na kuyatelekeza bila kujua madhara yake ninini? Ambayo imepeleke badae kuwa na madeni makubwa sana leo nataka...
Tarehe 5/10/2022 majaji watatu wa Mahakama ya Rufaa kupitia Rufaa Na. 333/2019 kati ya Lawrence Magesa t/a Jopen pharmacy VS Fatuma Omary na Rimina Auction Mart wamesema kuwa pale mpangaji kodi yake inapoisha na akawa hajaondoka katika nyumba ama eneo la pango, basi hadhi yake inabadilika na...
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imesema TRA ilipanga kukusanya kodi ya Tsh. Trilioni 20.7 kwa mwaka wa fedha ulioishia Juni 30, 2021 lakini ilikusanya Trilioni 17.89 pekee.
Upungufu huo ambao ni 14% umetokana na kutoshughulikiwa ipasavyo kwa Madeni na Mashauri ya Kodi ambayo...
Mbunge Luhaga Mpina amehoji ni kwa nini kampuni ya Symbion ililipwa pesa zaidi ya bilioni Mia tatu bila kutozwa kodi ya Serikali?
Amehoji pia ni kwa nini mkataba wa symbion uliokuwa unakoma 2015 ulihuishwa September 2015 bila kufuatwa taratibu na ajabu Serikali kwa uharaka ilikubali kuilipa...
Taarifa zinadai kuwa kuna zoezi la ukusanyaji wa kodi ya mifugo linaendelea wilayani Ukerewe. Inadaiwa kuwa Mbuzi na Ng'ombe sasa wanalipiwa kodi. Yaonekana, kuna kodi nyingi zinarudishwa.
Nasema kodi tena kwa sababu tulikuwa na kodi ya kichwa, ikaitwa kodi ya maendeleo baadaye Utawala wa Mkapa ukaifuta. Mifugo pia ililipiwa kodi na kwa wale wakongwe, kulikuwa na kodi ya baiskeli mitaani.
Taarifa niliyorushiwa, kuna zoezi la kodi ya mifugo inaendelea wilayani Ukerewe. Mbuzi na...
Hebu tujiulize " Kodi tunayolipa ni kwa matumizi gani?"
Tunamfahamu fika kuwa serikali ina vyanzo vingi vya mapato ambayo yanachangia miradi ya maendeleo. Vyanzo hivi ni pamoja na mapato yanayotokana na huduma za bandari, mauzo ya madini na mazao ya kilimo, usafirishaji nk.
Kodi tunazolipa kwa...
Hili limekaa kisiasa zaidi kwanza ukiwa mpinzani hawa jamaa watahakikisha unaishiwa ili mirija isi support tena upinzani.
Hizo mali za mama Bonge mlizochukua badae utasikia hazijulikani zilipo ama haionekani. Na kodi mnazo bambika watu hazisaidii sana zinaua biashara za watu na watanzania...
Kauli hii ya Profesa Kabudi inadhihirisha kuwa Lissu alikuwa sahihi Sana kwa sababu hata kama ni mbinu za kutaka mjadala, kwa wasomi kama maprofesa kutumia mbinu ya uongo "ulio dhahiri" kiasi hiki ulikuwa ni upungufu wa weledi.
Labda tuwasikie Wataalam wa daplomasia ya uchumi waje watufafanulie...
Nimekutana na andiko hili la ndugu yetu, nikaona si vibaya tukashea pamoja, maana naona kaandika vitu vingi vya msingi kwa mtazamo wangu, japo sikulazimishi kuamini kama ni kweli au la, msome ndugu Mushi....
88888888888888
Na Thadei Ole Mushi
Kama kuna jambo ambalo nitasimama kidete...
Uamuzi huo umefanywa kwa lengo la kuwasaidia wanawake na wasichana wasioweza kumudu gharama hizo kutokana na mzozo wa kiuchumi unaolikumba taifa hilo.
Ofisi ya Rais Ranil Wickremesinghe imeagiza kufutwa mara moja kwa Ushuru wa Forodha, Ushuru unaolipwa kwenye Viwanja vya Ndege na Kodi nyingine...
Nina mengi nimeyatafakari Kwa kina, sana ndani ya Juma Ili nikaona,nisubili lifike mwisho naweza kufa na vihoro moyoni mwangu, Bora nife na dhambi kuliko vihoro maana dhambi ntahojiwa Na muumba!
Suala la polisi kuua Kwanza Panya Road linafikilisha sana kimsingi vijana wa Rika dogo wameuawa na...
Kundi la vijana wanaojulikana kama Panya road' limekuwa ni tishio kwa wananchi kwa siku za hivi karibuni!
Vijana hawa wamekuwa wakitishia usalama wa jamii na hata kufanya mauwaji mbalimbali kwa lengo LA kuiba na kupora kila kilicho mbele ya macho yao!
Tunapenda kulishukuru Jeshi la police kwa...
Alipoulizwa kwa nini serikali yake inapunguza kodi wakati huu wa kindumbwendumbwe cha uchumi kote duniani, Liz Truss, Waziri Mkuu wa Uingereza alisema: ' We want people to keep more of the money they earn, so they can have more control over their lives and invest'
Tunataka watu wasalie na kiasi...
Nertherland: Manispaa ya Amsterdam imepanga kujitolea msaada wa baiskeli 2000 kwa nchi ya Ukraine katika mpango mkakati wa kusaidia utoaji bora wa huduma za afya.
Mpango huu una lengo la kuongeza ufanisi miongoni mwa madaktari mbalimbali nchini Ukraine.
==========
Dutch Stichting Zeilen Van...
Mwanamuziki Shakira (45) kufikishwa katika Mahakama ya Uhispania kwa tuhuma za kukwepa kodi ya Paundi Milioni 12.9 (Tsh. 32,314,500,000)
Mahakama imemuamuru mwimbaji huyo kutoka Colombia kujibu mashtaka 6 ya uhalifu wa kodi, ila tarehe ya kesi bado haijapangwa
Shakira amekuwa akikana tuhumu...
Waziri Mkuu wa Uingereza, Margaret Thatcher aliwahi kusema, serikali haina duka wala biashara au shamba. Serikali inaendeshwa kwa kodi zinazotozwa kwa wananchi wake.
Wananchi hawakupenda sana kauli hiyo, lakini akawaambia hivyo ndiyo ilivyo kwenye free market economy.
Hivyo ndivyo ilivyo...
Mtanisamehe!
Kwakuwa sisi watanzania ni watu tusioweza kuungana kupinga jambo linaloumiza wachache, naomba makali yo tozo yaendelee na zaidi kodi ya kichwa ianze kukusanywa kwa vitendo.
Wapinzani waliteswa na kunyanyswa sana lakini kuna wenzetu walikuwa wanabeza Kwakuwa hayawahusu na...
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) leo tarehe 25/09/2022 mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Uboreshaji wa Mitaala inayoongozwa na Profesa Makenya Maboko jijini Dodoma, imependekeza kuingizwa kwa elimu ya kodi katika mitaala ya elimu nchini Tanzania kuanzia kwenye Shule za Msingi hadi Sekondari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.