Naomba kuuliza je? Kuna utafiti ulishawahi kufanyika kwa ajali zilizotokea na kuua watu wengi kwenye mabasi, kuwa hao waliofariki hasa waliumia sehemu gani mwilini?
Mm maranyingi nilishuhudia majeruhi wakiwa wameumia vichwani,
Kama kwenye meli watu huvaa life jacket, basi na nchi kavu...