The kofia is a brimless cylindrical cap with a flat crown, worn by men in East Africa, especially in Somalia, Kenya, Uganda . Kofia is a Swahili word that means hat. The kofia is worn with a dashiki, a colorful African shirt which is called a kitenge shirt in some regions of East Africa. In Uganda, the kofia is worn with the kanzu on informal occasions.
Jomo Kenyatta, the first President of Kenya, was often photographed wearing a kofia. The kofia is popular in Comoros. The traditional kofia has tiny pin holes in the cloth that allows the air to circulate. In West Africa, this cap is called a kufi.
Kuna Dalili ya Kuingia Sherehe za May Mosi Bila Kuwa na Jezi za TALGWU.
Mpaka leo April 29 hakuna mzigo wa kofia wala tisheti ulioingia na kugawiwa, viongoz dako kimya. Inaonekana Wako Kuvutana Aina ya Tsheti. Kweli Mwaka Mzima Hamjaamua ni zipi zakununua, Me naona kuna kajambo wanataka...
Poleni na majukumu wana JF ni imani yangu Mungu anaendelea kutupigania.
Naomba kujua umuhimu wa Valley kwenye Nyumba, pia nitashukuru kama naweza kupata picha ya Nyumba yenye Valley.
Nawatakia weekend njema.
Wakuu habari,
Niko Morogoro natafuta mabati ambayo ni transparent pamoja na kofia na gata zake.
Mwenye kujua Morogoro yanapatikana wapi au Dar anijuze.
Ndio kama kichwa kinavyojieleza,
Unaweza kumsamehe mpenzi wako kwa kukuminya kende au kukupiga kofi kwenye kende? Hivi unaweza kuendelea na mahusiano na msichana kama huyo?
Be honesty and tell honestly
Kila ifikapo wakati wa uchaguzi, watanzania husahau shida zote walizopitia. Ni ajabu sana! Kwa zawadi ya pombe, tisheti na kofia.
Ndugu zangu wakulima, poleni sana kwa yanayowasibu. Mliamini katika kile kibwagizo cha, “Kama mnataka mali mtaipata shambani”
Pengine mateso hayo mnayoyapata ni...
Wataalamu wa #Afya wameifananisha Chanjo dhidi ya Magonjwa mbalimbali ni kama #Helmet anayovaa Dereva na Abiria wa Pikipiki.
Ufafanisho huo umemaanisha chanjo kama ya #COVID19 umetokana na ukweli kwamba inasaidia kukukinga dhidi ya maambukizi ya #CoronaVirus.
===
A vaccine is an additional...
Watakao gombea ubunge 2025 waje na job opportunities kwaajili ya vijana wetu badala ya kofia na mashati.
Huko kwenye majimbo vijana wanahitaji ajira, kama mbunge hawezi kutengeneza ajira asichaguliwe ubunge. Maana huyo hana uwezo.
Huyu mgombea ubunge alikua anapeleka mchele kwa wananchi ili...
Hapa mtaani ninapoishi kuna shule ya sekondari jirani, tena ni o-level. Sasa tangu wiki iliyopita kuna shamra shamra nazisikia, kumbe wanafanya kampeni za uchaguzi wa serikali ya wanafunzi. Jana ndio nimepewa ubuyu kwamba wagombea wote wanaoshiriki wameandaliwa na CCM na wamelazimishwa kugombea...
Kwa kutambua umuhimu wa mradi wa kufua umeme wa Mto rufiji Marais wastaafu na mawaziri wakuu wastaafu wametembelea bwawa la kuzalisha umeme la NYERERE
Hii ni hatua kubwa za kuenzi legacy ya JPM Ndio maana tunasema JPM rest in power
===
Viongozi wakuu wastaafu Rais Ali Hassan Mwinyi na Jakaya...
Wakuu nachofanya mimi ni uchambuzi wangu huru ,TUTAFAKARI!
Ni wazi mabadiliko ya mkuu wa nchi ni hatari na neema kwa makundi mbalimbali maslahi kimaslahi ,Mfano leo wapinzani kwa mara ya kwanza wanapata wasaa wa kutoa dudku duku zao mbazo wasingepata fursa hiyo kwa muongo mzima wa JPM hapo...
Pamoja na kwamba ukiona mwana CCM yoyote anashupalia jambo basi ujue anamaslahi yake binafsi!
Lakini kwa hili la kutenganisha Mamlaka ya kichama na Urais!
Niseme wazi kabisa pamoja na maslahi yao kichama, pia kama taifa tutasonga pamoja!
Ifahamike kwamba Ili mwana CCM apitishwe kugombea...
Uimara na kuendelea kudumu kwa CCM kunatokana na nguvu za dola, nje ya hapo CCM ni chama dhaifu sana. Ndani ya CCM kuna wanachama waganga njaa wengi sana ambao maisha yao nje ya chama hayawezekani. Hivyo ili wanachama hawa waishi maisha ya heshima watafanya kila hila ili mwenyekiti wao awe Rais...
Nawasalimu kwa Jina la Jamuhuri wakuu,
Nisipoteze muda kuna hili swala limetokea pahali kidogo limenishangaza bada ya mzee mmoja kuchachama kwa ukali juu ya tabia ambayo binafsi sijaona kama ni tatizo japo si mumini wa hiyo tabia hapana.
Mzee alikuwa mbogo na kudai kijana hayaheshimu maliwato...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.