Hapa mtaani ninapoishi kuna shule ya sekondari jirani, tena ni o-level. Sasa tangu wiki iliyopita kuna shamra shamra nazisikia, kumbe wanafanya kampeni za uchaguzi wa serikali ya wanafunzi. Jana ndio nimepewa ubuyu kwamba wagombea wote wanaoshiriki wameandaliwa na CCM na wamelazimishwa kugombea...