kombe la dunia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    Afrika Kusini yamfunga Uingereza rugby kombe la dunia yatinga fainali

    Hali ilivyo sasa mitaa ya bloemfontein baada ya southafrica kumfunga uingereza kwenye kombe la dunia la rugby leo hata ukiomba papa unapewa bure. --- England 15-16 South Africa: Handre Pollard pounces to send Springboks into Rugby World Cup final A try for...
  2. R

    FIFA kuandaa Kombe la Dunia 2030 kwenye Mabara Matatu; Amerika Kusini, Ulaya na Afrika

    Tukio hili kubwaa katika ulimwengu wa soka litasherekea miaka 100 kwa shindano hilo mwaka 2030 kufanyika katika mabara matatu ya Amerika Kusini, Ulaya, na Afrika. Uamuzi huo unaweza kuwa mwanya kwa Saudi Arabia kupata nafasi ya kuandaa mashindano hayo mwaka 2034. Kombe la Dunia la Soka...
  3. NEGAN

    Cristiano Ronaldo hatimaye ametupa taulo

    Ule mchuano mkali uliodumu kwa takribani miaka 18 wa wanasoka nguli kuwahi kutokea duniani wenye vipaji vya hali ya juu hatimaye unaelekea ukingoni. Si mwingine bali ni mchuano kati ya Lionel Messi na Cristiano Ronaldo. https://www.jamiiforums.com/threads/messi-vs-ronaldo-nani-zaidi.13334/...
  4. BARD AI

    Timu ya Wanawake Nigeria yashindwa kuingia robo fainali Kombe la Dunia

    Timu ya Taifa ya Wanawake ya Nigeria (The Super Falcons) imeshindwa kutamba mbele ya England huko Brisbane, Australia baada ya kuchapwa goli 4-2. Licha ya kuongoza katika kiwango cha ubora katika mchezo huo, Nigeria imekwama kutumia vizuri nafasi ikiwemo kikosi cha England kuwa pungufu kwa...
  5. Suley2019

    Messi: Sifikirii kucheza Kombe la Dunia 2026

    LIONEL Messi amethibitisha kuwa “hafikirii” kama atacheza Kombe lingine la Dunia baada ya kuiongoza Argentina kutwaa ubingwa wa mashindano hayo mwaka jana nchini Qatar. Messi ambaye ana umri wa miaka 35 alisema hayo katika mahojiano na vyombo vya habari vya China kuhusu mustakabali wake kwenye...
  6. B

    Kinda Nigeria aacha gumzo Kombe la Dunia U20

    Nahodha na beki wa timu ya Taifa ya Nigeria U20 inayoshiriki World Cup ya U20 huko Argentina, kinda mwenye miaka 17, Daniel Kolocho Bameyi imebainika kuwa alidanganya. Imezoeleka wachezaji wengi wa Kiafrika wanadanganya umri, lakini kwa Bameyi imekuwa tofauti kabisa. Bameyi katika taarifa...
  7. Mributz

    Simba SC yatinga Robo Fainali Kombe la Dunia kwenye mtandao wa Twitter

    SIMBA SC ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA Klabu ya Simba Sc kutoka Tanzania imetinga hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia linaloendele kwenye mtandao wa Twitter likiendeshwa na mtandao wa Deportes &Finanzas kutoka Brazil likihusisha vilabu vyenye wafuasi wengi kwenye mitandao ya kijamii. Kombe...
  8. Izy_Name

    Simba SC yatinga Robo Fainali ya Kombe la Dunia huko twitter

    Klabu ya Simba SC Kutoka Tanzania Inatinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia kwenye Mtandao wa Twitter Klabu ya Simba SC kutoka Tanzania imeweka historia ya kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika Mashariki kufika hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia linaloendeshwa kupitia mtandao wa...
  9. JanguKamaJangu

    FIFA yaivua Indonesia nafasi ya kuwa mwenyeji wa Michuano ya Kombe la Dunia U20

    Shirikisho la Soka Duniani (Fifa) limechukua maamuzi hayo baada ya Serikali ya Indonesia kukataa kuipokea timu ya Israel kutokana na mgogoro wa Kidiplomasia baina ya Mataifa hayo. The Football Association of Indonesia (PSSI) said Fifa was forced to cancel the draw after Bali's governor Wayan...
  10. GENTAMYCINE

    Utashangaa baada ya Afrika sasa Kuingiza Timu 10 Kombe la Dunia 2026 kwa Kulaanika Kwetu bado tutatoka Kapa tu

    Nawalaumu mno FIFA kwa Kuamua hivi kwani kwa Waafrika tunavyojijua na tunavyojuana pamoja na Kuingiza Timu (Nchi) Kumi (10) kutoka Bara la Afrika bado tutatoka tu Kapa / Peupe. Kwangu Mimi GENTAMYCINE naona ni Kheri (Bora) hawa FIFA wangeongeza idadi ya Timu / Nchi kwa Mabara yaliyo Serious...
  11. JanguKamaJangu

    Morocco kuomba kuandaa Kombe la Dunia 2030

    Morocco ikifanikiwa katika mchakato huo wa Kombe la Dunia 2030 itakuwa Nchi ya pili kwa Afrika kuandaa michuano hiyo baada ya Afrika Kusini Mwaka 2010. Hiyo ni mara ya 6 kwa Morocco kuomba kuwa mwenyeji wa michuano hiyo lakini safari hii wanatarajiwa kuomba waandae kwa ushirikiano na Hispania...
  12. Lady Whistledown

    Je, una utaratibu wa kupongeza rafiki zako? Messi amewazawadia timu ya Argentina iphone 14 za dhahabu kila mmoja kwa kutwaa World Cup 2022

    Messi amenunua simu 35 aina ya iPhone14 za dhahabu na kuwazawadia kikosi cha Timu yake ya Taifa ya Argentina kwa kutwaa Ubingwa wa FIFAWorldCup2022 Inaelezwa kuwa Nyota huyo wa PSG ametumia takriban Tsh. Milioni 409.5 kununua simu hizo, huku 1 ikikadiriwa kugharimu zaidi ya Tsh. Milioni 14...
  13. Christopher Wallace

    Chelsea leo wanaanza ligi baada ya Kombe la Dunia, Fulham atakufa nyingi

    Wakali wa London, Chelsea leo wanaanza likizo baada ya likizo ya Kombe la Dunia. Ni mchezo wa derby ya London ya Magharibi, Fulham Vs Chelsea. Baada ya kipindi cha muda mrefu Chelsea kupitia magumu kwa kutokupata matokeo mazuri leo Fulham atakufa goli 3. Wale mashabiki wa timu nyingine...
  14. Mohamed Said

    Kwaheri Pele: Kumbukumbu Yangu ya Kombe la Dunia 1966

    KWAHERI PELE: KUMBUKUMBU YANGU KOMBE LA DUNIA 1966 Kombe la Dunia mwaka wa 1966 nilikiuwa na miaka 14 kwa umri huu niliweza kutambua kuwa kulikuwa na mashindano makubwa Uingereza. Hivi ndivyo nilivyokuja kumjua Pele. Mwalimu Mkuu wa Kinondoni Primary School Mr. Reveta alikuwa akija darasani...
  15. Sol de Mayo

    Kwa mujibu wa kura za BBC, kombe la dunia 2022 ndio kombe lenye mvuto zaidi

  16. Dj Aiman

    Je, CHRISTIANO RONALDO ananafasi ya kuchukua KOMBE LA DUNIA kupitia kwa mtoto wake CRISTIANO RONALDO JR?

    Baada ya kumalizika kwa Kombe la dunia nchini Quatar 2022, Baadhi ya mashabiki wa Christiano Ronaldo wamevunjika moyo sana nakuona kama ndoto za mchezaji huyo maarufu Duniani wa Ureno za kutwaa kombe la dunia zimeishia hapo kwani kwasasa anaumri wa miaka 37 hivyo itamuwiya vigumu kushiriki kombe...
  17. JanguKamaJangu

    FIFA kuchunguza kitendo cha mpishi Salt Bae kushika Kombe la Dunia

    Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) limefikia maamuzi hayo baada ya mpishi huyo maarufu wa nyama kuingia uwanjani baada ya mchezo wa fainali kujumuika na wachezaji wa Argentina kushangilia ushindi na kulishika kombe kwenye Uwanja wa Lusail, Desemba 18, 2022. Sheria za FIFA zinatamka kuwa...
  18. JanguKamaJangu

    Picha ya Messi akibeba Kombe la Dunia 2022 yaweka rekodi kwenye Social Media zote

    Picha hiyo ya Lionel Messi aliyoposti kwenye ukurasa wake wa Instagram saa kadhaa baada ya timu yake ya Argentina kutwaa taji hilo, imeweka rekodi ya kuwa picha yenye ‘likes’ nyingi katika mitandao ya kijamii yote kwa jumla kuwahi kutokea. Picha hiyo ina likes milioni 67.5 imeivunja rekodi ya...
  19. mdukuzi

    Tulioangalia Kombe la Dunia mwaka 1986 nyumbani kwa Sheikh Yahya Magomeni tukutane hapa

    Huu uzi kuna watu watapita kama hawaoni maana wengi mwaka huo walikuwa viunoni mwa wazazi wao, wengine mlikuwa Sitimbi huko hamjui hata video ni mdudu gani. Mwaka 1986 kulikuwa na fainali za Kombe la Dunia nchini Mexico, Germany Magharibi anapigwa 3-2 na Argentina, Argentina anachukua ubingwa...
  20. technically

    Kikosi Bora cha Kombe la Dunia

    Duh! Messi anapangwa namba 9 toka lini messi akacheza namba 9 hiki kikosi hapana.
Back
Top Bottom