Michuano itajumuisha Mechi 64 kutoka kwenye timu za Mataifa 32 duniani kote ambazo zinakutana katika taifa hilo lenye tamaduni za Kiarabu.
Mechi ya ufunguzi inachezwa kati ya wenyeji Qatar dhidi ya Equador na michuano itadumu kwa jumla ya siku 28.
Bara la Afrika linawakilishwa na timu za...
Ajabu sana CHANEL ya TBC TAIFA ni bure kwenye kisimbuzi cha azam ajabu mda huu wameanza uchambuzi azam wameifunga hiyo CHANEL ya TBC je hii ni halali hii fungeni CHANEL zote
Hii inchi inachezewa sana
Leo kombe la dunia linaanza. Nawatahadharisha msiangalie. Ni mbinu za shetani kupitia Freemason kuwaingiza mkenge. Chukueni hii tahadhari seriously kuepukana na sintomfaham siku ya kiyama.
Pia Freemason wanawaingiza mkenge bila kujijua kupitia whatsapp, Twitter, paypal, mastercard, western...
Najua mpo humu tena ngoja niwatag TANESCO
Poleni na majukumu makubwa sana ya kutukatia umeme kila uchwao, sasa mimi nikiwa kama mdau wa soka, kombe la dunia linaanza leo hivyo tunawaomba sana msitukatie umeme mkatunyimba burudani ya soka ambayo huja kila baada ya miaka minne.
Kwakuwa TBC1...
Michuano ya Kombe la Dunia inatarajiwa kufanyika kuanzia November 20 mpaka December 18 mwaka huu. Michuano ya mwaka huu ni mara ya kwanza kwa Kombe la Dunia kufanyika katika nchi ya Kiarabu lakini ni mara ya pili kwa michuano hiyo kufanyika katika bara la Asia mara baada ya Korea Kusini na Japan...
Ndoto za mshindi huyo wa Tuzo ya Ballon d'Or 2022 kucheza michuano ya Kombe la Dunia inayofanyika Nchini Qatar imezimika baada ya kupata majeraha ya nyama za paja alipokuwa katika mazoezi ya timu ya taifa ya Ufaransa.
Licha ya kuelezwa atakuwa nje ya uwanja wa wiki tatu, Benzema mwenyewe...
On February 28, FIFA and UEFA, under recommendations from IOC, suspended Russia and Russian clubs from participating in the their competitions including the 2022 World Cup.
Tulikubaliana siasa isiingie kwenye Mpira why now, mbona USA aliingia Iraq bila kibali cha UN .
Wapumbavu sana wote...
Mara kwa mara nimekuwa nikijizuia kuandika chochote hapa JF chenye ubashiri kwa woga wa kuonekana ni muongo au mzushi, lakini baadaye ule ubashiri wangu (niliobakia nao akilini) kwa sehemu kubwa umekuwa ukitokea!
Na kwa kuwa JF ndio umekuwa mtandao wenye kueleweka au kuaminika zaidi hapa...
Nilipanga mwaka huu niwepo viwanjani live na nimefanikiwa kufika Qatar. Ilibakia kidogo sana nikose maana moja ya client wetu alipata changamoto ya mifumo kule Bangkok na ikabidi nisafiri wiki hii kuweka mambo sawa.
Miaka yote kwenye kombe la dunia huwa nazipenda Ufaransa, Ujerumani na Italia...
Moja ya vitu vilivyofanya niandike uzi huu, ni jinsi mchakato wa timu zetu zilivyopatikana, nyingi zimeenda kibahati bahati na figisu za Kiafrika. Hili linajidhihirisha kwenye mechi za kirafiki, yaani Mnigeria ananyanyaswa kama mtoto.
Pia wachezaji wengi wa Kiafrika watakaoenda kuomba omba jezi...
Nauliza, ni kisimbuzi gani cha ndani ambacho kitarusha kombe la Dunia la mwaka huu?
Miaka ya nyuma tulikuwa tunaona shamrashamra za matangazo kwenye visimbuzi vya ndani mfano Startimes kwamba watarusha, lakini mwaka huu kimya na zimebaki siku kadhaa!
CCM tulishawashauri, Watanzania tunapenda...
Beki wa Real Madrid na Timu ya Taifa ya Ujerumani, Antonio Rudiger ameanza kampeni za mashindano ya kombe la dunia kwa staili ya kipekee, baada ya kuagiza fedha zote atakazolipwa Kombe la Dunia ziende kwa watato wenye mahitaji.
Kundi la watoto 11 wenye mahitaji, wanaoishi nchini Sierre Leone...
Wakuu ni hivi, kila panapokucha kumekuwa na lundo la sheria zinazozidi kutungwa nchini Qatar kwa mashabiki na watu mbalimbali watakaoingia nchini humo kipindi hiki cha michuano ya Kombe la Dunia, na mbaya zaidi hizo sheria zinawawekea vikwazo hadi wadhamini wakuu na washirika wa karibu wa FIFA...
Wadau soon tu Kombe la Dunia linaenda kuanza,, je Nani atachukua? Kuna Wadau wanasema mshindi wa michuano ya EURO huwa wanafanyaga vizuri!! Well inawezekana, Euro ya mwaka juziii ule ufaransa alifika fainal, Portugal anachukua kibahati tu, kwenye Kombe la Dunia 2018 , France anachukua Ndoo...
Poleni na tabu za kuishi bila umeme na maji Tanzania!
Ndugu zangu, kwa mara ya kwanza kombe la dunia linanikuta sio mwanafunzi, naishi kwangu na kazi nzuri, na niko na utulivu angalau. Nilitamani sana niangalie hili kombe kwa furaha na utulivu sana.
Nikiwaza umeme unavokatika muda mwingi...
Kumekuwa na hali ya mazoea au unyonge ambao mataifa ya Afrika kuwa nayo katika mashindano ya kombe la Dunia na ni wazi huonekana fikra na mawazo yq kushindwa au kutokufanya vizuri kuanzia katika akili zao(saikolojia) hadi vitendo kwa mara ya kwanza nimemuona rais wa chama cha soka cha cameroon...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.