Yanga ndiyo timu ya kwanza kuingia makundi Klabu Bingwa mwaka 1998 na pia timu ya kwanza kuingia makundi Kombe la Shirikisho mwaka 2016.
Yanga ndiyo timu ya kwanza kufika hatua ya nane bora Kombe la Shirikisho
Yanga ndiyo timu iliyoingia makundi mara nyingi Shirikisho 2016, 2018, 2022, kisha...
Yanga imepangwa kucheza dhidi ya Club Africain ya Tunisia katika Hatua ya Mtoano ya Kombe la Shirikisho.
Mechi za kwanza inatarajiwa kuchezwa Novemba 2, 2022 na marudio ni wiki moja baadaye Novemba 9, 2022.
Mshindi wa hapo atapata nafasi ya kuingia katika Hatua ya Makundi ambayo inatarajiwa...
Msimu uliopita Simba ilipotolewa kwenye CAF Champions League na hatimaye kuishia robo fainali Kombe la CAF Shirikisho aliyekua msemaji wa Yanga Haji Manara aliwaponda Simba kuwa wanacheza kombe la "Losers" na kwamba mabingwa wote wapo CAF Champions League.
Ikumbukwe wakati anatoa kauli hiyo...
wasalaam wadau. napenda kujua Kama chama ataruhusiwa kucheza shirikisho caf kuanzia robo fainali maana napata mkanganyiko kuna wanaosema atacheza wengine wanasema hachezi
Rekodi hii imenitisha, mpaka utumbo umecheza kwa zile beki zile ambazo hazijui kuruka mipira ya krosi kuna maafa makubwa sana. Naiona balaa kubwa sana, yajayo hayafurahishi
Atacheza na Orlando Pirates, mechi moja Dar na nyingine South Afrika.
Then atarudi kutafuta nafasi ya pili katika Ligi Kuu maana ya Yanga hili Kombe mwaka huu ni letu. Hilo halina mpinzani.
Nasema hivi. SIMBA HAWAVUKI ORLANDO PIRATES. PIGA UA. HILI WATAALAMU WAMELIFANYIA KAZI MAPEMA. Ile match...
Droo ya Robo fainali ya Michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe la Shirikisho kufanyika leo saa 10 jioni.
Simba Sports Club wakiwa Wawakilishi pekee wa Tanzania Wanataraji kukutana na timu moja ya TP Mazembe ya DR Congo, Al Ahly Tripoli ya Libya na Orlando Pirates ya Afrika Kusini. Soma...
Ni Jumapili Tulivu, Jumapili Yenye Kimvua Fulani Maeneo Ya Mjini Dasilamu, Litako pigwa Pira Real Madrid, Wakati Timu zingine Zikiwa Mikoani kuendelea kusaka Point, Kama mkoa wa mbeya Na Vitongoji vyake, SIMBA SC atakuwa analiwakilisha taifa kwenye michezo Ya Kimataifa.
Ni Simba Vs Red Arrows...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeiondoa timu ya Biashara United katika Mashindano ya Kombe la Shirikisho kwa kutofika uwanjani kwenye mechi dhidi ya Ahly Tripoli (Libya)
CAF imesema sababu zilizoifanya Biashara United kushindwa kwenda Libya kucheza hatua ya pili ya raundi ya awali...
Leo timu ya soka Azam iko kwenye hatua za awali za kombe la shirikisho, mechi ya kwanza Azam iliibuka na ushindi wa 3-1. Kwa sasa mechi inaelekea mapumziko na Azam inaongoza kwa goli 0-1 goli lililofungwa na Ismail Kader dakika ya 37. Aggregate Horseed 1-4 Azam. Horseed inahitaji magoli matatu...
Wasalaaaam wakuu
Mimi ni mdau na shabiki wa Yanga mkubwa sana ila kwa ndoto nilizopata usiku wa kuamkia leo ni taswira halisi ya kitakacho enda kutokea huko Kigoma katika fainali ya kombe la shirikisho Tanzania baina ya mahasimu wakubwa na watani jadi Yanga na Simba
Ndoto ya kwanza nilianza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.