kombe shirikisho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania Kuna namna yoyote kwa Simba kushiriki kombe shirikisho msimu ujao ? Huku tutajipata ila sio Caf ligi ya mabingwa ?

    Ninauliza kama kuna namna yoyote Simba inaweza kuingia upya kwenye mashindano haya msimu ujao. Mashindano ya Caf Champions ni magumu sana, tumechoka kuishia robo fainali
  2. JamiiForums Tanzania Ikiwa Yanga watabeba kombe la CAF Shirikisho wataheshimika zaidi ya Simba iliyofuzu Makundi ya CAF CL mara 3

    Ingekua vipi, ingekuwa vipi? Navuta taswira kwa nadharia kwamba, Yanga ikiweza kubeba Kombe laCAF Shirikisho je, kwa hapa nchini watakuwa wazito zaidi kuzidi Simba waliofuzu makundi ya CAF CL mara 3 ndani ya miaka mitano?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…