Kuna namna yoyote kwa Simba kushiriki kombe shirikisho msimu ujao ? Huku tutajipata ila sio Caf ligi ya mabingwa ?

Kuna namna yoyote kwa Simba kushiriki kombe shirikisho msimu ujao ? Huku tutajipata ila sio Caf ligi ya mabingwa ?

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
Ninauliza kama kuna namna yoyote Simba inaweza kuingia upya kwenye mashindano haya msimu ujao.

Mashindano ya Caf Champions ni magumu sana, tumechoka kuishia robo fainali

1748189852138.png
 
Back
Top Bottom