Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.
WACHEZAJI watatu wa Klabu ya Azam FC ambao ni Nahodha Aggrey Morris, Salum Abuubakar (Sure Boy) pamoja na Kiungo Mudathir Yahya Abbas walisimamishwa kwa muda usiojulikana kutokana na utovu wa nidhamu.
Kupitia mjadala mkali wa Crown Media imebainika kuwa walipanga matokeo dhidi ya Yanga...
Huu kweli ni mwaka wa ubaya ubwela.
Azam ametolewa kwa penati na Mbeya City katika mashindano ya Shirikisho la CRDB Cup. Tukumbuke kwamba Mbeya City inacheza katika ligi daraja la kwanza.
Timu hizo zilimaliza mchezo kwa kufungana 1-1 ndiyo wakaenda kupigiana penati ambapo Mbeya City ikashinda...
Waamuzi wa Tanzania Ahmed Arajiga, Kassim Mpanga, Said Hamdani na Salum Nasir wameteuliwa na na Shirikisho la soka Duniani (FIFA) kuchezesha mchezo wa Kundi G wa kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026 kati ya wenyeji Botswana dhidi ya Algeria utakaopigwa Mjini Francistown Nchini Botswana Machi 21...
Kikosi kazi cha Utopolo bado kinaendelea kuhakikisha kuwa umoja unapungua ama kufa kabisa ili tuanze kucharurana na hatimaye mwezi Machi washushe maangamizi mengine kwetu, sasa hivi kikosi chao kinasubiri kujua nani amepangiwa kucheza na simba hatua ya robo ili wamalize shughuli kwa kushirikiana...
Kocha wa yanga Side azungumzia jinsi walivyojipanga kuzichabanga teams nyenzao itakazokutana nazo katika Kombe la Shirikisho la CRDB. Kocha amezungumzia umuhimu mkubwa wa kombe hilo na jinsi walivyojipanga kuhakikisha wanalibeba au kufika fainali.
Side ameonekana kuungwa mkono na wanayanga...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Balozi Mahamoud Thabit Kombo, tarehe 14 Januari 2025, amepokea kombe la ushindi kutoka kwa timu ya Wizara yake, Nje Sports Club, baada ya timu hiyo kushinda katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi 2025 yaliyofanyika Mkoa wa Unguja Kusini...
Waamuzi wa Zanzibar wanatia aibu
Inaonekana wanachezesha Kwa maelekezo, yaani wameambiwa Zanzibar laZima afike final
Nimetazama mechi ya Zanzibar na Kenya ila yule mwamzi ni muhuni aisee
Amegawa red card ♦️ mbili , yellow cards 8 Kwa Kenya na kurusha ngumi😂🤣
Zanzibar wakapewa favour za kutosha...
Wakati tumeingia duru la pili la msimu wa NBC mpaka sasa sijasikia mechi zozote zikipangwa au kuchezwa za FA Cup.
Ni kwamba msimu huu kombe halipo au kuna changamoto? Kama wana uhaba wa pesa au CRDB wanazingua waniambie tajiri niongeze mzigo. Msimu huu Simba hatutaki kuacha kitu mezani...
Unajua mbinu waliyotumia Africa kusini kuandaa michuano ya kombe la dunia kwa anani bila wahuni kuivuruga.
Naomba nikiri tu kuwa kipindi tunakua,kulikuwa na mwamko wa vijana kuzamia nchi za America ,ulaya au South Africa.
Unapafahamu Salanander Cafe,down town kabisa mtaa wa Samora zilipo ofisi...
Wakuu
Inaelezwa kuwa Wajumbe wa bodi ya Al Ahly wamependekeza kwa Rais wa klabu hiyo, Mahmoud El Khatib, kujaribu kumsajili Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia la Klabu litakalofanyika nchini Marekani.
Baada ya kuweka rekodi ya mabao...
Mtani amepata pigo lingine, baada ya kichaka alichokuwa anajificha la kuchukua kombe la mapinduzi kucheza na timu za taifa
Tujikumbushe mafanikio ya mtani aliyosomewa kwenye mkutano mkuu ni kama ifuatavyo
1. Bingwa kombe la Mapinduzi 😀
2 Whatsapp channel 😀
3 Kibegi
Mtani Sasa rasmi hatapata...
I salute you kinsmen..
Hili kombe la wazembe mnaloita shirikisho limekuwa likizidi kupoteza mvuto siku hadi siku .
Mtakumbuka CAF walipanga kulifuta lakini wakaghairi, hapo ndipo walipokosea!❌️
Shirikisho Zuri lilikuwa msimu ule yanga aliofika final tu✅️
Baada ya hapo tunaona sasa team legevu...
Ukiwa Mwanasimba uko mitaani ukatamka neno utopolo basi unacheka, unafurahi , unadharau na kubeza , simba ikija uwanjani inaanza mbwembwe Debora anazungusha watu dimba la katikati watu wanakaanga chips shwaaa, raha iliyoje, mara Zimbwe Jr anageuka kwa madoido watu weweee, Kibu anaruka ruka...
Kwa utashi wangu wa kusoma uhalisia, na Hali halisi ya Klabu ya Simba SC. Hasa falsafa za Kocha Fadlu, Basi sioni namba watakayo tumia Simba kuwatoa Al Ahly Tripoli na kutinga makundi.
Sioni namna Kocha Fadlu anaweza kubadilisha namna take ya uchezaji.
Sioni namna ule Moto atalio pelekewa...
Kama mnavyojua tanzania tunawakilishwa na kina mama kwenye kombe la wamama ambalo litaendelea kesho na muwakilishi wetu ni klabu ya simba a.k.a mbumbumbu fc najua kesho hii klabu itaenda kuchezea kichapo kikali sana aisee napenda kuwajulisha taifa linaenda kuingia aibu kesho
Raisi wa Caf Patric Motsepe siku ya jana aliwaacha Waandishi wa habari midomo wazi wakibaki kustaajabu! Hii ni baada ya kuulizwa kuhusu vurugu za mchezo wa Al Ahly Tripoli Vs Simba, Rais akawa hana taarifa yeyote Kama Simba ana cheza! Wala hakuna anacho kijua au kusikia kama kulikuwa na mechi...