Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.
Acheni siasa mnaharibu soka letu mechi ya bara mnapeleka visiwani ili mgundue nini? TFF mnaipeleka Fainali Zanzibar, sehemu ya nje ya utawala wa FA husika?
Lini mmewahi kuona FA ya Uingereza imepeleka fainali Ireland, au Scotland?
Lini mmewahi kuona FA ya Ujerumani imepeleka fainali zao...
Ni kweli tuna zimwi liitwalo Muungano na halieleweki Wala kuandikika na linatugawa Kila kukicha tukafikia hatua tukalipaka rangi kuwa liitwe "KERO za muungano"!
Wazee wetu walioushuhudia muungano Kila kukicha wanatangulia na wao wameona Kuna tatizo kuu la huo muungano wenyewe kwetu Sasa na...
INAONEKANA HII MICHEZO YA KUNYAKUA JUMLA YANGA INAIMUDU SANAA
𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗞𝗨𝗣𝗘𝗪𝗔 𝗞𝗢𝗠𝗕𝗘 𝗝𝗨𝗠𝗟𝗔
Kwa mujibu wa kanuni za ligi kuu.
✨ Yanga SC watakabidhiwa kombe hili JUMLA JUMLA na kuliweka kabatini.
Wadhamini wakuu (NBC) na bodi ya ligi watachongesha kombe lingine la namna hii baada ya klabu hiyo...
Wakuu naomba kufahamu, Je iwapo Coastal Union akabaki kwenye nafasi ya nne ligi kuu ataenda kushiriki kombe la shirikisho Africa?
Je bingwa wa CRDB Confederation akiwa Azam au Coastal ataenda club bingwa au shirikisho?
Na je Yanga kama bingwa wa ligi kuu na akawa wa bingwa wa shirikisho...
Habari za Leo wapenda soccer?
Natumai kichwa/title ya thread hii imejieleza vizuri. Nimewaza nikaona nitumie platform hii kwenu ili kama itawezekana, tushawishi viongozi wa mpira kuiondoa michuano ya Mapinduzi cup na badala yake tubaki na Muungano cup. Nasema hivi siyo kwa lengo la kisiasa ila...
Nendeni katika Ukurasa wa X ( zamani Twitter ) wa Mkenya Mike Sonko muone jinsi Askar Polisi wa Morocco ( Waafrika Wenzetu ) walivyomshambulia na kumpiga vibaya Mwafrika baada ya Kuhoji kwanini Ndege yao imechelewa kwa Siku moja na wako bado Airport lakini kuna Tangazo limetoka likisema kuwa...
Triple C mwamba wa Lusaka kaondoka kambini bila ruhusa baada ya uongozi wa Simba kutompa posho ya kombe la muungano.
Pia ana dai kuwa kwenye mkataba wake walikubaliana kila Simba iki chukua kombe anaongezewa mshahara sasa baada ya kubeba kombe Simba imesema hili sio kombe.
Mambo yamekuwa mambo 🤓😁😂
Simba sc ipo katika wakati mgumu sana inayochangiwa na presha ya mashabiki wanaopiga kelele kuwa timu yao inakiwango kibovu.
Ikumbukwe Simba SC imetolewa katika kombe la shirikisho linalozaminiwa na CRDB na kwenye ligi wanashika nafasi ya tatu kwa kuachwa point kadhaa na mtani wake Yanga SC...
MUUNGANO CUP: Nusu fainali ya kwanza inachezwa leo Jumatano
Mnyama Simba SC kukipiga na KVZ
Kikosi cha Simba kinachoanza
Goool 25 Fred anaitanguliza Simba
Chama ameumia anatoka anaingia Miquisone
Hasa hapa kwetu Afrika kwenye timu ambazo hazifiki hata asilimia kumi ya hicho kiasi
Unazipa timu bilioni 130 kwa kushiriki kombe la mwezi, inakuwa ngumu sana kwa timu zenye bajeti za bilioni 8 kushindana na hao wanaopewa mizigo mizito.
Vuta Picha leo hii hata Mtibwa kavuta hicho kiasi, Yanga...
Ligi ya Muungano limerejea sasa litaanza kutimua vumbi 23/4/2024
Kwa Tanzania bara zitashiriki team mbili ambazo ni Simba na Azam pia upande wa Tanzania visiwani zimetoka KMKM naKVZ.
Yanga hatashiriki mashindano haya kwa kuwa hakualikwa labda angealikwa angebeba kombe lenyewe na mtani msimu huu...
Msimu wa 2024/2025 kutakuwa na mashindano ya African football league na CAF champions league.
African football league itahusisha timu 24 ambazo zitatoka kwenye zone tatu kulingana na rank zao za CAF.
Zone 1) North Africa
Zone 2) West / Central Africa
Zone 3) South / East Africa
Kwa sheria...
Nimeona draw ya nusu fainali ya CAFCL nimezidi kuumia. Mamelodi ambaye ndio kapewa nafasi yetu amepangwa na timu dhaifu ya Esperance.
Kwa tuliyoitazama Esperance ilivyokuwa hatua ya makundi na robo fainali, huu ni mteremko kwa Mamelodi.
Mamelodi anaenda kushinda nje ndani na kutinga fainali...
Ni meza yenye vinywaji ghali ukionekana unataka kuitikisa wata deal na wewe,
mfano ni Yanga alitaka kudiriki kutikisa meza, chap akashughulikiwa.
Mwaka jana Yanga alifika fainali ya shirikisho lakini ikawa ni heshima kubwa sana, Hapa nchini hakuna timu iliyowahi kufikia fainali ya kombe la...
Mamelodi sundowns ni timu yenye CV ya ajabu sana.
Imewai kutwaa kombe la africa mara moja mwaka 2016.
Na hiyo mara moja walitwaa kwa vituko vingi sana. Vinachekesha. Baada ya kushindwa uwanjani waliamua Mpira uchezwe na wanasheria wa mamelodi mahakamani
Mwaka huo 2016 mamelodi alishiriki...
https://www.youtube.com/watch?v=Wi1gdJiCIt4
The Quarter-Final draw for the 2023/24 TotalEnergies CAF Champions League and TotalEnergies CAF Confederation Cup will be conducted Today, 12 March 2024.
The draw will be conducted in Cairo, Egypt starting with CAF Confederation Cup at 14h00 Cairo...
Kombe la Shirikisho ambalo ni shindano pendwa la Yanga limefutwa?
Maana sisikii tena likizungumziwa hata wachambuzi wala mashabiki
Vip hili kombe limefutwa au ndio kuwa halina mvuto kabisa hadi limesahaulika na kila mtu?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.