Kömbe is a kind of börek from [[Sivas, Malatya Province Turkey. It exists in both the cuisine of Turkey and that of Azerbaijan and is popular among both Turkish and Azerbaijani people.
Hali ilivyo sasa mitaa ya bloemfontein baada ya southafrica kumfunga uingereza kwenye kombe la dunia la rugby leo hata ukiomba papa unapewa bure.
---
England 15-16 South Africa: Handre Pollard pounces to send Springboks into Rugby World Cup final
A try for...
Tukio hili kubwaa katika ulimwengu wa soka litasherekea miaka 100 kwa shindano hilo mwaka 2030 kufanyika katika mabara matatu ya Amerika Kusini, Ulaya, na Afrika. Uamuzi huo unaweza kuwa mwanya kwa Saudi Arabia kupata nafasi ya kuandaa mashindano hayo mwaka 2034.
Kombe la Dunia la Soka...
Kumekucha!
Mwisho wa kuucheza mpira mdomoni ilikuwa jana. Leo tunasubiri vitendo, zile 5 mlizokuwa mnafunga kwa mechi ya mdomon ubavu mnao wa kuzifunga kwenye dimba la ukweli?
Ni muendelezo wa kuwafunga midomo wale wote waliokuwa wanabwata ya kwamba kombe la shirikisho lilikuwa na timu dhaifu, kwa walioangalia mpira wa Al ahly na USM alger atakubaliana na mimi ya kwamba yanga alicheza fainali na timu bora barani afrika kwa sasa.
Pamoja na yanga kukutana na timu bora...
Leo hii timu ya mpira wa miguu ya Hispania imeshinda kombe la dunia la wanawake mjini Sidney nchini Australia baada ya kuifunga timu ya Uingereza goli 1-0.
Goli la Hispania lilifungwa na Olga Carmona baada ya kupewa pasi maridhawa na Mariona Caldentey. Hispania wamecheza mchezo kabambe khasa wa...
Nani ataweza kutwaa hili kombe la premier League season ya 2023/2024???
1. Manchester City
2. Arsenal
3. Manchester United
4. Liverpool
5. Chelsea
6. Newcastle
7. Brighton
8. Tottenham
Timu ya Taifa ya Wanawake ya Nigeria (The Super Falcons) imeshindwa kutamba mbele ya England huko Brisbane, Australia baada ya kuchapwa goli 4-2.
Licha ya kuongoza katika kiwango cha ubora katika mchezo huo, Nigeria imekwama kutumia vizuri nafasi ikiwemo kikosi cha England kuwa pungufu kwa...
Droo ya Ligi ya Mabingwa Afrika imepangwa, Simba itaanzia Raundi ya Pili kwa kucheza na mshindi wa mechi kati ya Power Dynamos (Zambia) dhidi ya African Stars (Namibia)
Yanga itaanzia Raundi ya Kwanza kwa kukipiga na ASAS ya Djibouti, timu itakayoshinda itaingia Raundi ya Pili na kukutana na...
Kwa sheria za sasa timu zinazoingia CAF mabingwa haziwezi kudondokea CAF Shirikisho, Ukitoka umetoka!
Na kama ilivyozoeleka katika ligi kuu yetu nafasi ya kwanza na ya pili huwa ni Simba na Yanga, Hizo timu moja kwa moja zinaenda CAF mabingwa.
Huko CAF mabingwa tusijizime data, Hio ligi ina...
Nelly alishawai kuimba
Nini kinahitajika kuwa namba moja
Wa pili sio mshindi
Wa tatu hakuna anaemkumbuka
Ukiwa namba moja
Watakaa na kuiandika hata wakichukia
Basi ndivyo ilivyo na kwenye haya mashindano ya caf interclubs (mabingwa na shirikisho).
Kwa level ya timu zetu hizi ni ndoto kuja...
LIONEL Messi amethibitisha kuwa “hafikirii” kama atacheza Kombe lingine la Dunia baada ya kuiongoza Argentina kutwaa ubingwa wa mashindano hayo mwaka jana nchini Qatar.
Messi ambaye ana umri wa miaka 35 alisema hayo katika mahojiano na vyombo vya habari vya China kuhusu mustakabali wake kwenye...
Kabla ya yote ninapenda michezo, ila hili lililotokea jana usiku ni si la dunia hii. Yaani waziri na katibu wake wametumia kabisa magari kutoka mbali, sijui Dodoma kuja mlimani city kufanya kitu kama hiki? Hapo watajaza na overtime kabisa walipwe.
Kweli nimeamini watanzania wengi wana tatizo la...
Baada ya kufungana aggregate ya 2-2, Algeria imepewa kombe kwa vile walitufunga hapa kwetu bao moja zaidi. Ni sheria za CAF ambazo zimepitwa na wakati kwa vile kama wote tulivyoona mazingira ya Mkapa Stadium yalikuwa ya kistaarabu ila mazingira ya July 5 Stadium ulikuwa ya kishenzi sana kiasi...
Wale jamaa wana kila mbinu za kuhakikisha kombe linabakia kwenye ardhi yao, week ikiyopita nikiandika hapa mkanibeza.
Yale mafataki yalikuwa yanapigwa kwa vipindi maalumu siyo kama sisi tunavyoyapigaga hapa kiholela.
Ratiba ya mafataki ilikuwa kama ifiatavyo;
1. Hotelini walipofikia Yanga.
2...
Leo ndiyo nngwe ya pili ya Fainali ya kombe la Shirikisho Afrika ikiikutanisha timu ya USM Alger ya nchini Algeria na Yanga SC ya Tanzania ambapo Yanga itakuwa ugenini. Katika mchezo wa kwanza Yanga ilipoteza 2-1 katika uwanja wa Benjamini Mkapa.
Timu hizi katika historia zimeingia fainali kwa...
Ninashabikia klabu ya Simba. Hakuna timu bora Tanzania kama Simba Sports Club.
Leo ninasimama kama Mtanzania kuanza kushangilia ushindi wa watani zangu Utopolo wahed. Nawaombea kwa moyo mweupe. Kombe la Shirikisho wakilichukua tutanufaika kama Taifa....
Watanzania tusimame na Yanga kwani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.